Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Sisi tunaopanda bombardier naona hatuna cha kukoment hapa.
 
kwa kawawa hadi wazo huku madale, ukiwa unaendankigali kuanzia hapa nyakanzi au biharamulo mpaka rusumo ile njia nilikuwa naichukia sana.... sijui kama imerekebishwa.... HUWEZI AMINI INAUNGANISHA NCHI NA NCHI.....
 
mwaka 2016 huyo new force aliua watu wengi maeneo hayo....mi siku hizi najipitia njia ya Lindi, japo ndefu lkn potelea mbali
sku tunapata ajal na new force nlikuwa nmekaa siti moja na mdada mrembo hatari aisee,alivunjika mguu wa kushoto bahati mbaya,alilazwa ikonda hospital huko njombe nikawa natoka songea kwenda kumsalimia,alipoagwa huko nikampatia hifadhi hom kwangu (songea) na akawa anaenda peramiho hospital kuchunguzwa kila baada ya mda flan,alipoanza kutembelea gongo nikawa nampeleka kikosini (411KJ) ruhuwiko kufanya mazoezi,tukapendana sana sana,ad naandika mesej hii yupo pembeni hapa,nampenda sana mama koku,ashapona mrembo wangu,ni mzuri kuliko wanawake wote (kwa mtazamo wangu)
 
Kipande cha shy-maswa-bariadi kilikua kinaboa..kuna siku nilipiga bamzi usiku kichwa kiligusa bodi ya basi..hope nw kimekamilika.
Kingine ni kutoka Nangurukuru-lindi aisee pana boa utadhani km zinaongezwa..parefu pia mapori tu hakuna hata makazi.[emoji53]
 
Daa
sku tunapata ajal na new force nlikuwa nmekaa siti moja na mdada mrembo hatari aisee,alivunjika mguu wa kushoto bahati mbaya,alilazwa ikonda hospital huko njombe nikawa natoka songea kwenda kumsalimia,alipoagwa huko nikampatia hifadhi hom kwangu (songea) na akawa anaenda peramiho hospital kuchunguzwa kila baada ya mda flan,alipoanza kutembelea gongo nikawa nampeleka kikosini (411KJ) ruhuwiko kufanya mazoezi,tukapendana sana sana,ad naandika mesej hii yupo pembeni hapa,nampenda sana mama koku,ashapona mrembo wangu,ni mzuri kuliko wanawake wote (kwa mtazamo wangu)

Daaaa maisha haya, changamoto ilikukutanisha na mkee!
 
Enzi hizo ukiwa unatoka mkoa halafu ndio uwe dereva waruwaru kama kina siye...

Chalinze - Dar kilikuwa kinazingua sana maana barabara ilikuwa na mawimbi, foleni ndio zinaanza, kunguru weupe ndio wa kumwaga...
 
Hakuna moment ninayo enjoy kama kuendesha gari maeneo ya kama Iyovi, au kupanda na kushuka Kitonga au maeneo kama mlima nyoka...

Hakuna moment ninayochukia kama kuendesha gari eneo tambarare na barabara iliyonyooka kiasi unaona kilometa nyingi mbele kama maeneo fulani Singida kwenda Nzega hapo...
 
Kyangasaga- Nyang'ombe- Shirati- Tarime, Barabara ya Vumbi alafu ina hali mbaya mashimo mengi angalau ukifika Mika kuitafuta Tarime mjini, pia hofu juu Ukorofi Watu wa Kanda Maalumu!

Mugango- Majita - Bunda, Barabara mbaya ina mashimo alafu haina rami ni mwendo wa kubugia vumbi tu!

Singida - Manyoni- Dodoma na Morogoro-Dar, parefu panachosha kwa Safari!

Mtera- Iringa Mjini pale Mlima Nyang'oro sipapendi, kona nyingi zinaleta mawazo ya Kifo na zinashusha mudi ya kuendelea na Safari!
 
Hakuna moment ninayo enjoy kama kuendesha gari maeneo ya kama Iyovi, au kupanda na kushuka Kitonga au maeneo kama mlima nyoka...

Hakuna moment ninayochukia kama kuendesha gari eneo tambarare na barabara iliyonyooka kiasi unaona kilometa nyingi mbele kama maeneo fulani Singida kwenda Nzega hapo...
Very beautiful places hizo kama ulaya Fulani hivi! Hapa wanyalu wamependelewa maziingira
 
Hakuna moment ninayo enjoy kama kuendesha gari maeneo ya kama Iyovi, au kupanda na kushuka Kitonga au maeneo kama mlima nyoka...

Hakuna moment ninayochukia kama kuendesha gari eneo tambarare na barabara iliyonyooka kiasi unaona kilometa nyingi mbele kama maeneo fulani Singida kwenda Nzega hapo...
Au dom kwenda singida au shy kwenda mwanza..ile barabara imenyooka mpka inaboa..hakuna hata miinuko na mabonde..
 
Back
Top Bottom