@ledada kwenye makona muleMtera to iringa mjini![]()
@ledada kwenye makona muleMtera to iringa mjini![]()
igunga -Singida-dodoma hakufai hasa ikiwa kiangazi utadhani unapita jangwaniKipande nisichokipenda niwapo safarini
Ni kutoka igunga..singida..dodoma daah yaani adi jioni kama sio usiku unakukuta ujamaliza eneo hilo
Kipande nachopenda ni Kutoka babati mbelembele kuitafuta singida
Parefu pale mahali balaaKwa kuwa naenda sana Kilimanjaro, ile kipande baada ya kutoka hotelini hadi kufika same panaboa sana hasa ukiwa idle tu. Kwa kurudi ni Segera mpaka kuipata Wami. Unaweza hisi umeshinda siku nyingine kwenye gari!
Hahahaaaa!!! Ni kweli ni jangwa nusu paleigunga -Singida-dodoma hakufai hasa ikiwa kiangazi utadhani unapita jangwani
sisi tunaotoka tandika kwenda gerezani tupande nini ukiacha usafiri tuliyozoeaUpande bombadie siku moja moja
Kamwene...Mtera to iringa mjini![]()
Hamia kigamboni uwe unapiga mbizi kama mzee baba alivyosemaga enzi zilesisi tunaotoka tandika kwenda gerezani tupande nini ukiacha usafiri tuliyozoea




Hadi kule juu kituo cha utafiti cha Amani?kupanda milima ya usambara. VUDEeeee----KIHURIO---Gonja---Kisiwani__Same.