Mwanaume wa dar?Barabara ya kuelekea mawasiliano (simu 2000)
Nanganga-Nachingwea...cjui kwanini hawaweki lamiNanganga -- Ruangwa! Vumbi la mtu!
Wasalaam
Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau!
Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Katika safari zangu za mkoa wa Rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika Mbeya Mjini nikianza kuitafuta Tunduma.
Sijui wewe mdau kipande gani kinakutesa kutokana na Barabara kutokuwa rafiki na hali ya safari kwa ujumla
Hiki Kipande kinaboa hakuna mfano.Nanganga -- Ruangwa! Vumbi la mtu!