ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,493
- 119,281
What a provocative language.... Najua unatumia lugha kumshusha mwanamke. Haijalishi. You don't appear any better in any way, shape or form.
Yes you've made it clear how stupid you can be. Kama huyo dada hajachukua precaution yoyote Kuzuia mimba hadi akaitoa ni kosa Lake Binafsi.
Mfano niliokupa ndo huo huo. Wazazi wanaoishia kuabort, Kosa ni ngono au Kosa ni family planning. Maybe you have comprehension problems..
I haven't used a provocative language, nehi...neither do I intend to degrade a woman, my mom is a woman too!
Wazazi hawafanyi ngono, ngono ni kwa wazinzi. Wao hufanya mapenzi, huleta na kuongeza bond ya upendo wao, wazinzi on the other hand, wanajinajisi miili yao. Mimba zisizotarajiwa kwa wanandoa ni lack of family planning education au bahati mbaya tu wanazidiwa na kujikuta wamemimbana.