Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Hahaaaaa! Chungu cha kupikia toka lini kikawa dawa? Au sumu ishakuingia akilini? Nilichoelewa mimi kina kuhusu nini? Toa hoja zako sio kunifata makalioni kwenye hoja zangu bila sababu. Huna haya kama kopo la chooni kutwa kuchaaa kuchungulia nyuchi za rika zoteee. Hahaaaaaa! Kajambe mbele.
Taratibu mama...,
 
Mie mpatanishi hodari sana kiongozi. Ila penye reality huwa simumunyi maneno.
Siki hizi maisha yamebadilika sana, tunashindana na dada zetu kwa kila jambo.
Nina jamaa namfahamu, demu wake ameonekana kuwa na tobo kwenye uterus, doctor kauliza straight bila kupindisha maneno, "amewahi kutoa mimba?" Mdada kakataa kw kuapa kuwa hajawahi kuchomoa. Hivi sasa jamaa anahaha kwenda India kupandikizwa mtoto, which will cost $10,000/-.
Tukichezea ujana tujue itafika kipindi tutalipishwa kwa matendo yetu, whether we confess to God or not, whether we pray or not.

Eli79 you're wiser than this.
Hapa Kosa ni ngono kabla ya ndoa au ni uzazi wa mpango?

Hizi si enzi zile. Watu Tuanelewa miili yetu. Labda shida umasikini na kukosa elimu.

Wazazi wanaozaa bila mpangilio mwishowe kutafuta madaktari wa uchochoroni watoe mimba unasemaje? Au wao sio Kosa kisa wamefanya harusi?

Ukizaa bila mpango utakula consequences ndio. Mdada wa chuo anashindwa kuzuia mimba anaenda kutoa. Je walioshia la saba!!
 
, tutazidi kusikia mkiwa abused na wanaume kila uchao, kwa vile hamjui mali zao wamezipataje.
What exactly were you talking about?

Hakuna kukubali abuse kwa mwanamke. Kama mwanamke ataishi na mtu anamAbuse kisa hela basi kweli tumeumbwa tofauti! Me na kupeleka polisi na hela zako ndo zitakufunga.
 
Shwaini shangingi uliyekubuhu wewe, hakuna mwanaume mwenye pesa zake aliteseka hadi akafanikiwa eti aje aoe takataka na used spare kama wewe, ndo maana mkivamia wanaume wenye uwezo kipesa kila Leo wanawaliza, mmekaa kutamani vilivyo pikwa hamjui hata vilikotoka nyambafu nyie na nilijua tu mashangingi mlioshindikana mtakuja kwa hasira kujibu. hili jiwe limewapiga pabaya sana.

Kidonge beta get help please, yo geting worse n u don realise it, yawezekana wewe na wenzio mna hali mbaya kuliko hao wadada unaodai wasimsumbue Mungu, get that load out n you ll live happily.
 
yaani pamoja na age yake kwenda lakini yupo fresh kifuani, huwezi kujifananisha naye

Nikajua huwa mnachungulia za mabinti tu kanisani kumbe hadi za mama zenu!! Haleluja Lord have mercy
 
Last edited:
Huwezi kusema wadada wenyewe?mpaka uite vidada mshenga vepeeh au kwenu hamna kina Dada huko,tupe heshima yetu sio vidada ndio nini hicho
Msijitie nyiee hamna matatizo,huo mda wa kutusaidia kulia wewe maisha yako yatakua hayana tatizo I hope...punguzeni unafiki kila mtu ana zigo lake shughulikeni na ya kwenu...

Ex darling wangu Eli79 yeye hana shida wala dhambi, so muache atusaidie kulia.
 
@atoto mada hii ni 'akina dada acheni kumsumbua Mungu' tujadili hii mada.....kuhusu wanaume/wavulana wanaomsumbua Mungu au wenye dhambi wekeni thread yake.

halafu ukisema kila mwanaume anaepost humu anajidai hana dhambi si kweli....

Heeeeey!! Camoooon kila kitu kinajadiliwa humu humu maana mmekuja kwa mrengo wa kujifanya hamna dhambi nyie, hicho ni kichwa tu cha habari ila content yooote ni kejeli,dharau,kujikweza nk nk nk, kwahiyo hata hili lipo ndani ya mada, walaaa haihitaji kuifungulia thread.
 
Hapa tunaongelea wanawake na tabia zao, leteni hoja kwa wanaume na ijadiliwe. Wote tuna dhambi. Naona uzi unakupanikisha sista, take a chill pill n relax, utaelewa hoja.
didn't know

My ex wewe ndio umepanik hadi ukajisahau kabisaaaa, hizo tabia za wanawake ulizoongelea hawazifanyi peke yao wanazifanya na nyie wanaume, kwahiyo huwezi kuwatenganisha ktk kuliongelea hilo kabisaaa, au kwakuwa nyie miungu watu basi kila mtu hataki wanaume waongelewe? Tunaongelea humuhumu maana hatujifanyi,kujifuja,wala kujimimbisha wenyewe remember.
Hope yo good than that!
 
Am not biased,kuna mtu huko juu kakuita mchonganishi umekataa lakini ni ukweli utakua ulikua hujui teh...
Nadhani hujaelewa reaction ya wadada hapa ni nini,mimi binafsi mleta mada nimemwelewa sana na ameongea ukweli,tatizo tu ni kaongea akiwa kajiweka kwenye nafasi ya Mdogo sijui secretary wa mungu sio Mungu wangu nimjuae,lugha aliotumia inshort concept anayo ila kaipresent kiumalaika na wadada kiushetani wewe nae ulipotokea badala ya kuchangia mada wadada wazidi kukuelewa unaleta mere expressions not appropriate kwa sasa
Tema points sio kutoa mipasho ka khadija kopa mwanaume wewe mshenga unashangaza......

Mmmmh!! Hebu fuatilia vizuri comments za Eli79 kuhusu wanawake, kama kuna jema aliwahi ongea naomba unikumbushe, yaani iwe mada inazungumzia me au ke he is always like that with women nahisi ulikuwa hujanote!!
 
Kasome kitabu cha tujisahihishe(let us correct ourself) cha J.K nyerere.....

Sipo kutafuta huruma, wala sihitaji huruma mkuu, maana hazita nisaidia kitu.

Ila nipo kusimamia ninacho kiamini regardless nan atakubaliana na mimi au kukataa.

Onesha nlipokuwa dhaifu mkuu, Please...

sumbai my shem yo toooo way better than that just chilax brother.
 
Ex darling wangu Eli79 yeye hana shida wala dhambi, so muache atusaidie kulia.
Hizi ndio dalili za kupanic, am still awake, teh! BTW leo Mungu amekumbukwa sana, refer zile teaching methods ulizokuwa unazi defend, darling!!

My ex wewe ndio umepanik hadi ukajisahau kabisaaaa, hizo tabia za wanawake ulizoongelea hawazifanyi peke yao wanazifanya na nyie wanaume, kwahiyo huwezi kuwatenganisha ktk kuliongelea hilo kabisaaa, au kwakuwa nyie miungu watu basi kila mtu hataki wanaume waongelewe? Tunaongelea humuhumu maana hatujifanyi,kujifuja,wala kujimimbisha wenyewe remember.
Hope yo good than that!
I could be worse, depends on how you see it.
Kwani we ukiombwa huna msamiati wa "hapana", Haya shetani kakupitia sijui kwenda wapi ukavua, umeenda likizo usiutambue mwili wako, calendar, contraceptives umezisahau? Au ni nani yupo responsible na mwili wako kama sio wewe??
At the end, mnalalamika kufujwa, a grown up analalamika kufujwa, kweli? As I said, I could be worse...
 
Hutakiwi kumkera mtu, akikereka kwa ulichosema hio ni juu yake ndio maana wenzio wamekuona jinsi ulivyobadilika na kuanza kuongea vitu watu wanapenda kusikia. Anyway kila mtu na maoni yake.

Ooooops!! Yaani mlichoongea nyie ndio mnakiona cha kweli ila alichoongelea sumbai ni kibaya, kuna mwanaume pia mwanzo alichangia ukweli ila kwakuwa haukuwa ule ambao bad boys waliutaka kuusikia akaambiwa the same thing, aiseeeee kweli kazi ipo.
 
Eli79 you're wiser than this.
Hapa Kosa ni ngono kabla ya ndoa au ni uzazi wa mpango?

Hizi si enzi zile. Watu Tuanelewa miili yetu. Labda shida umasikini na kukosa elimu.

Wazazi wanaozaa bila mpangilio mwishowe kutafuta madaktari wa uchochoroni watoe mimba unasemaje? Au wao sio Kosa kisa wamefanya harusi?

Ukizaa bila mpango utakula consequences ndio. Mdada wa chuo anashindwa kuzuia mimba anaenda kutoa. Je walioshia la saba!!

housegirl, don't judge me by two-three comments I make here, I could be very stupid!!
Kosa ni ngono kabla ya ndoa. Haya umezini, vipi ukajisahau basi hata mipira hukumshurutisha sperm donor avae, unadhani yeye atajali wellbeing yako kama wewe hujijali....he'll bang you barefoot and leave you with a swollen limb.
 
Tulireact kutokana na post ilivyoletwa...
Ukitaka mtu akuelewe,especially mwanamke cheza na jinsi unavyomuelewesha.....
Mkileta vita message haiwezi kuwa delivered...
Kuna watu huko mwanzoni kabisa walitoa ujumbe kwa ustaarabu na wakaeleweka,how you convey your message matters alot...
Kama mnatoa ushauri kwa mipasho basi mtajibiwa hivyo hivyo....

Kuna mada iliwahi kuletwa humu kuhusu wanaume na vitambi mule ndani wanawake pia waliingizwa na vitambi vyao wakaongelewa, alafu reaction ya wanaume waliowengi ilikuwa worse, mleta mada alitukanwa sanaaaa, na akaambiwa ameleta siri za clients wake ila leo humu Eli79 kaleta siri ya rafiki yake na matatizo yao ya uzazi haijaonekana kama ni kitu kibaya hataaaaa!!

Sio hivyo tu mada nyingi ambazo huwa zinaletwa zikiwazungumzia wanaume huwa wanarecat na mitusi gunia, ila the same ikifanywa na wanawake basi inageuka kuwa wanawake ni wadhambi ila wanaume ni malaika.

Wapo wanawake ambao huwa hutetea mada zinazowaponda wanaume, sijawahi ona wakibadilikiwa na kukashifiwa kama ilivyofanywa kwa sumbai leo kisa tu kaongelea ukweli ambao wanaume hawakutaka kuusikia.

Duuuh kweli kuishi kwingi ni kuona mengi ma kujifunza pia.
 
Nyie watu ni wepesi kusahau ajabu....Unakumbuka thread ya mambo kumi yanayokera niliandika 'nina tatizo na teaching methods na tutors wenyewe yaani wewe, @toto na @housegirl mmoja wenu akasema wanafunzi mnatofautiana wengine lazima wafundishwe kwa method hizo[mipasho] na leo mnakunywa dawa yenu.

Oooh ila hii teaching method ya leo umeielewa vizuriiii, acha unafiki bwana shemeji, teh teh teh teeeeh!!
 
hongera zako cipro hili jiwe ulilenga haswaaa, yaani una shabaha, watu mpaka usiku huu wanashusha magazeti, teh!
 
...teh teh, housegirl.
Wanaume wanaotakwa bongo hii ni wachache sana.
Ajabu dada zetu wanapanga foleni kwa sangoma kwa hao hao..
Mie wala sina shida na 30+, actually I like mature(age wise) ladies.

Teh teh teeeeeeh!! Nicheke tu maana hamna namna
 
Back
Top Bottom