Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

nyie akina nani? mbona unajumuisha tu bila kuangalia,post zinazongumziwa za mwanzo huko mi nimechangia posts za mwisho mwisho wala hazhusiani na za huyo jamaa.
Usiniwekee maneno mdomoni,wapi nimesema nakubaliana na teaching method ya leo? sana sana nakushangaa we uliekuwa unatetea mipasho style yenu leo unaiona haifai.
usijumuishe, mimi binafsi nilishakwambia kwenye dhambi mimi ni shetani. mtoa mada ana teaching method kama yako na wenzio. je ukiacha teaching method yake hamna ka ukweli katika mada yake?

"mipasho style" okey now i get it, kumbe leo inafaa!! Haya.
 
Thot men are different from women!! Kumbe ni the same! Okey.
Kwa hiyo tumefikia conclusion kuwa "men aren't different from women". BTW, bado unajifunza wanaume na wavulana wa jf. teh..atoto bhana!
 
"mipasho style" okey now i get it, kumbe leo inafaa!! Haya.
Brenda, my mshenga alisema natumia mipasho ya Khadija Kopa kufikisha ujumbe.
Kupanic ni kubaya sana, ya juzi haikuwa na shida, ya leo imekuwa nongwa...
 
Hapana sijakwazika mshenga...siwezi kukwazika na fake ID, I agree to disagree...kwa hili la leo tumetofautiana na siwezi kuficha tofauti yangu ili tu nionekane mnavyotaka nyie,nothing is personal here,no grudges...
Grudges are vividly seen. Rejea majibu yako kwangu. Mmechukua kila comment za watu very personal, hadi kuwasemea wanetu ambao bado wapo kwa mbegu zetu, that's being personal.
 
nyie akina nani? mbona unajumuisha tu bila kuangalia,post zinazongumziwa za mwanzo huko mi nimechangia posts za mwisho mwisho wala hazhusiani na za huyo jamaa.

Usiniwekee maneno mdomoni,wapi nimesema nakubaliana na teaching method ya leo? sana sana nakushangaa we uliekuwa unatetea mipasho style yenu leo unaiona haifai.

usijumuishe, mimi binafsi nilishakwambia kwenye dhambi mimi ni shetani. mtoa mada ana teaching method kama yako na wenzio. je ukiacha teaching method yake hamna ka ukweli katika mada yake?
Mkuu, hayo maswali yako hutapata majibu. Zaidi tu utaambiwa we ni malaika, a sign of panic. Arguments zetu zinageuzwa kuwa curse flani hivi.
 
And she ll be the only one to blame maana ni dhambi yake peke yake na utamu ulimnogea peke yake, aimeeeen

By the way Mungu leo kakumbukwa sanaaa maana amehusishwa moja kwa moja na mada, kwahiyo msichukie akitajwa hakuna mwingine wa kutajwa.
Nadiriki kusema mazingira na maisha kwa ujumla hayajawahi kuwa rafiki kwa mwanamke. Mwanamke amekuwa chombo cha kudharaulika na kushutumiwa pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo.

Mtu anasema eti mdada kakutwa na tundu kwenye kizazi kwa sababu ya kutoa mimba. Je walimpima wakathibitisha ni kweli matatizo aliyokuwa nayo yametokana na utoaji mimba?? Na tangu lini kutoa mimba kukasababisha tundu kwenye kizazi? Au ni hisia tu za chuki ndo kumuhukumu dada wa watu.

Maisha ya sasa mdada ukiwa msomi tabu, usiposoma tabu, ukiwa na hela tabu, ukiwa mama wa nyumbani shida, ukiwa single dhambi, ukizaa unabezwa kuwa single mom, usipozaa unaambiwa ulitoa mimba, ukiolewa napo hali si shwari. Yani popote utakapokuwa ni kubezwa tu.

Kweli kuna kila sababu ya wanawake tukamlilia Mungu ipo siku atatukumbuka.

Siamini ktk power struggle kati ya wanawake na wanaume. Naamini ktk kuishi kwa upendo na kuthaminiana kama binadamu tuliojikuta tuko pamoja hapa duniani.

Wanawake na wanaume tupendane tu maana hakuna binadamu wengine hapa duniani zaidi ya sisi.
 
Ndo hapo sasaaaa! Kuna mabinti vibikraaa kabisaa wangapiii Dai angewataka angewaoa hata bureee. Lakini kakolea kwenye K used, K ya bibi, ina video ya pono, na imeliwa na mastar kibao na ina makunyanzi. Ila yeye ndo hasikii wala haoniii. Utamwambia nini?

Ndo ujue wanaume wenye hela zao hawa banwi banwi na u saint a.ss, na sentimental values zisizokuwa na ishuu. Anaangalia they click basi.

Mwingine Peter wa P square kamuoa Lola Omatayo bibi kampita miaka 8 ila ndo kafika hapo yeye.
Acha kujifariji wewe ajuuza. Kwan hujaona vigori walioolewa na watu wenye pesa yao!!?? unabaki kujifariji na vimifano vinavyohesabika. Kweli jiwe gizani!!!!
 
Wasichana wengi wakiingia 30+ ndipo hapo utauona uhalisia wao!Wakiwa 20+ too many options to them

Mm isha kataliwa posa kwa mdada under 25 sababu sina nyumba Masaki na Vogue ya kutembelea lkn alipofikisha 33+ akaniambia yupo tayari aolewe na mm hata kama ninaishi Itigi

Ehehehe nilicheka sana!
 
Nadiriki kusema mazingira na maisha kwa ujumla hayajawahi kuwa rafiki kwa mwanamke. Mwanamke amekuwa chombo cha kudharaulika na kushutumiwa pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo.

Mtu anasema eti mdada kakutwa na tundu kwenye kizazi kwa sababu ya kutoa mimba. Je walimpima wakathibitisha ni kweli matatizo aliyokuwa nayo yametokana na utoaji mimba?? Na tangu lini kutoa mimba kukasababisha tundu kwenye kizazi? Au ni hisia tu za chuki ndo kumuhukumu dada wa watu.

Maisha ya sasa mdada ukiwa msomi tabu, usiposoma tabu, ukiwa na hela tabu, ukiwa mama wa nyumbani shida, ukiwa single dhambi, ukizaa unabezwa kuwa single mom, usipozaa unaambiwa ulitoa mimba, ukiolewa napo hali si shwari. Yani popote utakapokuwa ni kubezwa tu.

Kweli kuna kila sababu ya wanawake tukamlilia Mungu ipo siku atatukumbuka.

Siamini ktk power struggle kati ya wanawake na wanaume. Naamini ktk kuishi kwa upendo na kuthaminiana kama binadamu tuliojikuta tuko pamoja hapa duniani.

Wanawake na wanaume tupendane tu maana hakuna binadamu wengine hapa duniani zaidi ya sisi.

Reina Princess, najibu post yako kwa sababu kuu mbili;
Moja, ni kwa vile umegusia mfano wangu kwa huyo sista aliyekutwa na tatizo. Hilo swali hakuuliza mtu mwingine bali gyna mwenyewe. Wewe ungelichukuliaje? Mengine kuhusu lifestyle yake then, anayajua yeye na Mungu wake, I have nothing to comment.
Mbili, hapo mwisho umemaliza vizuri. Power struggle, men vs women equality nk. Imefikia mahali wanawake wanapigania usawa, hicho hakipo na hakitakuwepo, you'll always be inferior to men coz hata vitabu vya Mungu vinasema hivyo. Na mtakapowaheshimu waume zenu ndipo mtaishi nao kwa upendo na furaha, la hadha mtakuwa watu wa kutafuta usawa na hamtaupata...
 
wewe, housegirl na atoto kwenye thread moja niliwaambia 'nina tatizo na teaching methods na nyie tutors' mmoja wenu akasema wanafunzi wenyewe vichwa ngumu lazima methods ziwe tofauti na method iliotumika ndio inafaa....sasa thread hii naona mnavyokerwa na method iliotumika,mbona hamna msimamo??

Nawauliza tena,ukiachana na hii teaching method mbaya,je hii mada haina ka ukweli? hamna wanawake wa aina hii? mind you kuuliza hivi sio kushangilia, ni kujaribu kupata kitu kitakachojenga.

Hivi ni ligi???? You keep on mentioning that thread. It's like ile mada imewaumiza sana mkawa mnatafuta come back. Ile mada imewapa free tutoring "Kiswahili" na sio kuwatukana. Unless unipe quote ya tusi. And sijacomplain, I came equipped with a foul mouth too.

Hii ya leo ni kusema tu wamama wa watu wala haina ujumbe wowote zaidi ya kudhihirisha mfume dume. Eti maskrepa yanalazimisha kuolewa,kuna mama amelazimisha umuoe? Ulivyoona ni skrepa ulitoka naye wa nini?

Wanawake wanaosali kwa ajili ya mume ni wote tu, waliozaa na mabikra. . Nishasema huko juu wanaume wanaotakwa ni wachache. Wako walio tayari kusettle for less na wako ambao hawawezi kufanya upumbavu wa kuolewa kuonyesha jamii.

Sio single mothers wote ni wanyonge kama mnavyolazimisha hapa. Na bikra zingine hukaa hadi kuliwa na panya.
 
, you'll always be inferior to men coz hata vitabu vya Mungu vinasema hivyo. Na mtakapowaheshimu waume zenu ndipo mtaishi nao kwa upendo na furaha, la hadha mtakuwa watu wa kutafuta usawa na hamtaupata...

Disgusting.
Yani me kuishi na mwanaume wa hivi sitaki hata uwe na shingapi kwakweli.

Nilishajua toka zamani ziwezi kuolewa na mbongo.

I need a man with a more developed cognitive abilities. This is too low for me.
 
Wasichana wengi wakiingia 30+ ndipo hapo utauona uhalisia wao!Wakiwa 20+ too many options to them

Mm isha kataliwa posa kwa mdada under 25 sababu sina nyumba Masaki na Vogue ya kutembelea lkn alipofikisha 33+ akaniambia yupo tayari aolewe na mm hata kama ninaishi Itigi

Ehehehe nilicheka sana!
I'll speak for myself. Kama humpendi mtu humpendi tu! Kuna watu wana kufuata na kukupromise maisha mazuri. Hata kama unaona potential, humpendi tu. Mimi siwezi kulala na mwanaume simpemdi kisa ana Vogue.
 
Mhhh housegirl ina maana ww maisha mazuri huyapendi?
 
.

Siamini ktk power struggle kati ya wanawake na wanaume. Naamini ktk kuishi kwa upendo na kuthaminiana kama binadamu tuliojikuta tuko pamoja hapa duniani.

Wanawake na wanaume tupendane tu maana hakuna binadamu wengine hapa duniani zaidi ya sisi.
I don't believe in equality myself. Just fairness.
Jamii ya kibongo sio fair kabisa. Angalia couples huko overseas, unaona kabisa ni "couple". Lakini ya hapa ni mtu na baba yake.

I'll never be with a man who underestimates my intelligence. Nataka mwanaume alieelimika na mwenye confidence. Haya maskrepa yenye inferiority complex siyataki.
 
Nayapenda.
Lakini kulala na mtu ambaye simpendi siwezi. Kwanza kule patauka tu tutaumizana.
KY ipo na baadae utanizoea tu utaanza kuyamwaga directly so utakuwa unakula maisha mazuri na kufurahia game at the same time

Mwanzo mgumu bana
 
Reina Princess, najibu post yako kwa sababu kuu mbili;
Moja, ni kwa vile umegusia mfano wangu kwa huyo sista aliyekutwa na tatizo. Hilo swali hakuuliza mtu mwingine bali gyna mwenyewe. Wewe ungelichukuliaje? Mengine kuhusu lifestyle yake then, anayajua yeye na Mungu wake, I have nothing to comment.
Mbili, hapo mwisho umemaliza vizuri. Power struggle, men vs women equality nk. Imefikia mahali wanawake wanapigania usawa, hicho hakipo na hakitakuwepo, you'll always be inferior to men coz hata vitabu vya Mungu vinasema hivyo. Na mtakapowaheshimu waume zenu ndipo mtaishi nao kwa upendo na furaha, la hadha mtakuwa watu wa kutafuta usawa na hamtaupata...
Hivi gyna kumuuliza hivyo maana yake ni kuwa katoa mimba? Hilo swali ndo ushahidi kuwa mdada alitoa mimba?

Hilo lingine nimeshaliongelea your majesty.
 
Last edited:
Disgusting.
Yani me kuishi na mwanaume wa hivi sitaki hata uwe na shingapi kwakweli.

Nilishajua toka zamani ziwezi kuolewa na mbongo.

I need a man with a more developed cognitive abilities. This is too low for me.

Pole sana, lakini hayo sio maneno yangu bali ya vitabu vitakatifu labda useme huvifuati tena.
Sijui ni dunia gani unaishi, lakini hao unaopenda kuengage nao wengi wana tabia kama za wanaume wa kiafrika, ni sharia zao kali tu zinawabana.
Hata hivyo, unaweza kutumia msuli mkubwa hadi uipate ndoa na westerners.
 
Back
Top Bottom