Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Watakimbia wengi hapa coz kwao waliyo wengi wanatuletea ushauli Mara mm ilikuwa hiv hatutaki huo ushauli wenu Wa kila siku na hapa amuwezi changia coz ilo jiwe ni hatari
 
Mxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!

Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.
Wew ni mwanaume?
 
Watakimbia wengi hapa coz kwao waliyo wengi wanatuletea ushauli Mara mm ilikuwa hiv hatutaki huo ushauli wenu Wa kila siku na hapa amuwezi changia coz ilo jiwe ni hatari
Tunachangia vizuriii, na tutamnyoosha mtoa mada na wanaume wote vikopo vya chooni afu mnachonga chonga badala ya kujifunza kwa Dimond mnangaa sharubu tu.
 
Ujumbe wako mzuri japo umeegemea upande mmoja tu.
Ndiyomaana Mungu aliamua kuwapa wanawake moyo uliopondeka ili waweze kupokea,kuvumilia mabaya,lawama zote zinazoelekezwa kwake . Makosa yanafanywa na jinsi zote mbili lakin mwisho wa siku zigo la lawama na kashfa linamwangukia mwanamke.
Ila pia vizuri tujiulize ,
Je huyu mwanamke anazalishwa na nani?? iwe kwa hiari yake au kwa kubakwa,
Mtoto anapolelewa na mwanamme mwingine( mwelewa na mstaarabu), je Baba Mzazi wa huyo mtoto anakuwa wapi? amekufa? au anangonoka kwingine?? huku akikwepa kuwajibika kwa mwanaye.
Anapewa VVU na nani??,
AU anangonoka na nani??.
Laiti Mungu angekuwa na mawazo au anahukumu kama ya kibinadamu naamini hakuna ambaye angepona kuhukumiwa ksb kwa namna moja au nyingine kila mmojawetu amewahi kutenda kosa iwe NURUNI AMA SIRINI( kufahamu/makusudi au kwa kutokujua kama anatenda dhambi).
HAKUNA MKAMILIFU CHINI YA JUA.
 
Last edited:
Tunachangia vizuriii, na tutamnyoosha mtoa mada na wanaume wote vikopo vya chooni afu mnachonga chonga badala ya kujifunza kwa Dimond mnangaa sharubu tu.
hata bila dai wale watoto wangeishi maisha classic, tofautisha na hawa wa uswazi kwetu wanaoringa sana then baada ya kuzalishwa au age kusonga wanajifanya kuomba na kufunga
 
Diamond kwa zari lara1
Ndo hapo sasaaaa! Kuna mabinti vibikraaa kabisaa wangapiii Dai angewataka angewaoa hata bureee. Lakini kakolea kwenye K used, K ya bibi, ina video ya pono, na imeliwa na mastar kibao na ina makunyanzi. Ila yeye ndo hasikii wala haoniii. Utamwambia nini?

Ndo ujue wanaume wenye hela zao hawa banwi banwi na u saint a.ss, na sentimental values zisizokuwa na ishuu. Anaangalia they click basi.

Mwingine Peter wa P square kamuoa Lola Omatayo bibi kampita miaka 8 ila ndo kafika hapo yeye.
 
hata bila dai wale watoto wangeishi maisha classic, tofautisha na hawa wa uswazi kwetu wanaoringa sana then baada ya kuzalishwa au age kusonga wanajifanya kuomba na kufunga
Nyoooooo! Mbona Dida anaenda kuolewa chungu cha 4 na kuna vibikra kanisani havina hata chungu kimoja? Kuolewa bahati na umpate mjinga mwenzio umfunge funge akili na kumzidi maarifa anasign karatasi lile ndo ndoa hivooo. Unafikiri ndoa basi kitu kikubwaaaaa? Hahahaaaaaa!
Wapo kibaooooo, nimechoka tu kutaja.
 
Tunachangia vizuriii, na tutamnyoosha mtoa mada na wanaume wote vikopo vya chooni afu mnachonga chonga badala ya kujifunza kwa Dimond mnangaa sharubu tu.
Haha hilo la Diamond linahitaji moyo unafikiri ni mchezo kulea mtoto ambaye ni almost umri wake hivi anamwamkia kabisa shikamoo baba?? Hata maandiko yanatuambia ndoa tamu ni ile ya ujana ,wote mkiwa na nguvu
 
We unaongea nini? Naseeb Abdul ni muslim safi kabisaa na Mtume mwenyewe alimuoa Bi Khadija, mwanamke wa makamo kama Mke wa kwanza. Itakuwa Dai? Acha mambo zako wewe. Age is nothing but a number. Sasa nafasi ya umri kwenye ndoa ni nini labda?
 
Nyoooooo! Mbona Dida anaenda kuolewa chungu cha 4 na kuna vibikra kanisani havina hata chungu kimoja? Kuolewa bahati na umpate mjinga mwenzio umfunge funge akili na kumzidi maarifa anasign karatasi lile ndo ndoa hivooo. Unafikiri ndoa basi kitu kikubwaaaaa? Hahahaaaaaa!
Wapo kibaooooo, nimechoka tu kutaja.
hahahah ndoa kitu kidogo eenh! ndo maneno yenu hayo
 
Mkuu @lara 1, umeelewa kilichoandikwa na mleta hoja?! Maana naona povu linakutoka kwelikweli.

Chungu ila ndo dawa. Vumilia kwasababu hamna namna.
 
We unaongea nini? Naseeb Abdul ni muslim safi kabisaa na Mtume mwenyewe alimuoa Bi Khadija, mwanamke wa makamo kama Mke wa kwanza. Itakuwa Dai? Acha mambo zako wewe. Age is nothing but a number.
Hahaha sawa Muislam safi ,nenda basi kamsaidie mfalme mswati ku recruit wake zake ,uende kabisa na proposal yako kwamba ni wanawake over age ndio watakao mfaa uone kama ujala shaba hadharani
 
Back
Top Bottom