sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Wabejaa....!Asante,mimi hapa nimekuelewa sana....tupo pamoja sasa..
Wabejaa....!Asante,mimi hapa nimekuelewa sana....tupo pamoja sasa..
Mkuuu....!Ile ilikuwa weekend mood.....hii ni blue monday mood au???
Huwezi kusema wadada wenyewe?mpaka uite vidada mshenga vepeeh au kwenu hamna kina Dada huko,tupe heshima yetu sio vidada ndio nini hicho
Msijitie nyiee hamna matatizo,huo mda wa kutusaidia kulia wewe maisha yako yatakua hayana tatizo I hope...punguzeni unafiki kila mtu ana zigo lake shughulikeni na ya kwenu...
Am not biased,kuna mtu huko juu kakuita mchonganishi umekataa lakini ni ukweli utakua ulikua hujui teh...It was a mere expression buana. Haya jadili hoja, ukileta ya unafiki tena humu ndio itakuwa shida. Ni bhita hii mura, me na ke wanakwaruzana kila siku, au wadada hamjadili ya kuimeni, mbona msiambiwe mfate yenu, either way tunajengana tu lakini vijembe vya hapa na pale ni mambo ya kawaida kwenye jamii.
Tuna matatizo kibao, huwa mnayeta na kujadiliwa humu kila siku, au nyie hamjali ya kwenu mnafata yetu tu. Don't be biased mshenga, ukikubali kujadili ya me, kubali kujadili ya me pia.
Ntashukuru kama utanipotezea....hakuna haja ya kuendelea kujielezea we endelea kurusha hayo mawe gizani yatakaowapata pole yao....sisi tupooo...sijali kile unachokisema bali naamini kile nilichokiandika @brenda18 jiwe limepiga watu kilichobaki ni kulia tu.
Na kwa wale walio safi bado endeleeni kujitunza hadi siku ya ndoa na msikubali kuonjwa.
Huu ni ujumbe wangu kwenu kwa huu mwaka mpya.
Source ya sisi kumsumbua Mungu ni nyinyi....kuna correlation hapa hatuwezi kusimama kwa wanawake tu...hivi ni mnajitoa ufahamu au ......huyo mwanamke anachakazwa na nanii hebu ongea kama baba mwenye binti ....@atoto mada hii ni 'akina dada acheni kumsumbua Mungu' tujadili hii mada.....kuhusu wanaume/wavulana wanaomsumbua Mungu au wenye dhambi wekeni thread yake.
halafu ukisema kila mwanaume anaepost humu anajidai hana dhambi si kweli....
ungesema uongo sio ukweli... Umekuwa dhaifu @sumbai lakini najua upo kwenye kutafuta huruma.. Lakini siku hizi umenifanya nikutafakari mpaka sijui nikuweke kundi lipi.... Ubarikiwe sana lakini Jk Nyerere hakusema hivyoAmeeeeni.....!
Na tabia ya ukweli huegemea upade fulani,
Ukweli haupaswi kupuuzwa kamwe... ukiupuuza unatabia ya kujirudi...
J.k nyerere
Toba😱😱90% ya wanawake waliopo humu ndani ni mikweche. Wamekongoloka Zaidi ya Madada Poa wa Uwanja wa Fisi.
Hapa Jukwaani Shobo kibao,
kutana nao uso kwa uso unaweza kudhani umekutana na Mzimu.
Mifupa imewatoka kama Wagonjwa Wa HIV.. Na Mshukuru uwepo wa Powder Otherwise Mngekuwa kama Betina.....
Unakuta msichana titi limekuwa ndala mpaka linafikia kitovuni Harafu eti anajiita Mzuri... Jitazame upya kisha uje hapa.. Usitegemee kutenda Dhambi huku unajua kwa kutegemea kutubu baadae Huko ni Kujidanganya. Jf ina Vibibi vizee Haina wasichana wa kuishtua mioyo ya Marijali kama Sisi. Kila la Heri... Na wote mngeambiwa muweke picha zenu humu nadhani wengine mngejitoa na jd yenyewe.
Hahaha,leo ni hangover ya weekend mood...kesho ntakua powaIle ilikuwa weekend mood.....hii ni blue monday mood au???
Am not biased,kuna mtu huko juu kakuita mchonganishi umekataa lakini ni ukweli utakua ulikua hujui teh...
Nadhani hujaelewa reaction ya wadada hapa ni nini,mimi binafsi mleta mada nimemwelewa sana na ameongea ukweli,tatizo tu ni kaongea akiwa kajiweka kwenye nafasi ya Mdogo sijui secretary wa mungu sio Mungu wangu nimjuae,lugha aliotumia inshort concept anayo ila kaipresent kiumalaika na wadada kiushetani wewe nae ulipotokea badala ya kuchangia mada wadada wazidi kukuelewa unaleta mere expressions not appropriate kwa sasa
Tema points sio kutoa mipasho ka khadija kopa mwanaume wewe mshenga unashangaza......
ha ha ha ha ha!! Nami nashukuru sanaNtashukuru kama utanipotezea....hakuna haja ya kuendelea kujielezea we endelea kurusha hayo mawe gizani yatakaowapata pole yao....sisi tupooo...
Hii mifano ya wasanii inawafaa wasanii wenzao na wale wanaotaka kuishi kisanii. Kwa wengine ni kinyaa kuyaskia hayo majina ya kisanii na maisha yao. Tupe mifano ya atleast wanasiasa vijana maarufu, wasomi, wachumi, wafanyabiashara n.k waliofanya hayo. Lakini ukija kuchunguza hao wanawake wazee wa dimond na Psquare wako safi wana njuruku za kutosha kijana gani asigande hapo? Ila hawahawa wa kwetu street mtaisoma namba.Ndo hapo sasaaaa! Kuna mabinti vibikraaa kabisaa wangapiii Dai angewataka angewaoa hata bureee. Lakini kakolea kwenye K used, K ya bibi, ina video ya pono, na imeliwa na mastar kibao na ina makunyanzi. Ila yeye ndo hasikii wala haoniii. Utamwambia nini?
Ndo ujue wanaume wenye hela zao hawa banwi banwi na u saint a.ss, na sentimental values zisizokuwa na ishuu. Anaangalia they click basi.
Mwingine Peter wa P square kamuoa Lola Omatayo bibi kampita miaka 8 ila ndo kafika hapo yeye.
Tumefika mbali mshenga...vita iwe kwa kujenga ila ile post yako ya kwanza hukueleweka hata umesimama wapi zaidi ya hizo mere expression ulizotumia...kama kuna ushauri uliotoa wa kujenga plz urudie na mimi kidada niupate teh...Humu kuna michango ya kila aina, and I don't think my opinions look like mipasho, labda kwa maono yako na "wachache wenzako", na hakunifanyi niwe less of a man, unless kama kwenu mtu akiwa tofauti na maoni yako mnamvalisha 'wigi'! Ndio maana nikadokeza kuwa, ukiishi kwa nyumba ya vioo, usipende kurushia majirani zako mawe, hope that's not mipasho!!
Kila mtu kamuelewa mleta hoja, sema dhana ya kuelewa mambo hutofautiana, ndio maana michango ya watu inatofautiana pia, otherwise we'd have similar opinions.
Kasome kitabu cha tujisahihishe(let us correct ourself) cha J.K nyerere.....ungesema uongo sio ukweli... Umekuwa dhaifu @sumbai lakini najua upo kwenye kutafuta huruma.. Lakini siku hizi umenifanya nikutafakari mpaka sijui nikuweke kundi lipi.... Ubarikiwe sana lakini Jk Nyerere hakusema hivyo
Ndo nishakunya sasa na kuharisha umomo. Wanaume wenyewe mnaochonga vikopo tu vya chooni. NA NAFUNGUA MWAKA NA HUU UZI RASMI.
mkuu soma comments zako page ya kwanza na ya pili, utaiona rangi yako halisi, umebadilika baada ya kumuona atoto na heaven, kwasababu hao ni mabeshte zako hutaki wakuone uko againstHujaona nlipoonyesha njia?
Soma page zilizopita!
Teh, mshenga hem ondoa dhana ya vidada na kidada ili tujadili mengine, vinginevyo hutasoma mengine...Tumefika mbali mshenga...vita iwe kwa kujenga ila ile post yako ya kwanza hukueleweka hata umesimama wapi zaidi ya hizo mere expression ulizotumia...kama kuna ushauri uliotoa wa kujenga plz urudie na mimi kidada niupate teh...