Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,426
huyo mungu ktk uzi huu tu,Si mlitaka asikumbukwe sasa mision impossible mmebaki midomo wazi, mfikishieni bwana lucifer taarifa.
huyo mungu ktk uzi huu tu,Si mlitaka asikumbukwe sasa mision impossible mmebaki midomo wazi, mfikishieni bwana lucifer taarifa.
Hizi ndio dalili za kupanic, am still awake, teh! BTW leo Mungu amekumbukwa sana, refer zile teaching methods ulizokuwa unazi defend, darling!!
I could be worse, depends on how you see it.
Kwani we ukiombwa huna msamiati wa "hapana", Haya shetani kakupitia sijui kwenda wapi ukavua, umeenda likizo usiutambue mwili wako, calendar, contraceptives umezisahau? Au ni nani yupo responsible na mwili wako kama sio wewe??
At the end, mnalalamika kufujwa, a grown up analalamika kufujwa, kweli? As I said, I could be worse...
housegirl, don't judge me by two-three comments I make here, I could be very stupid!!
Kosa ni ngono kabla ya ndoa. Haya umezini, vipi ukajisahau basi hata mipira hukumshurutisha sperm donor avae, unadhani yeye atajali wellbeing yako kama wewe hujijali....he'll bang you barefoot and leave you with a swollen limb.
huyo mungu ktk uzi huu tu,
housegirl, don't judge me by two-three comments I make here, I could be very stupid!!
Kosa ni ngono kabla ya ndoa. Haya umezini, vipi ukajisahau basi hata mipira hukumshurutisha sperm donor avae, unadhani yeye atajali wellbeing yako kama wewe hujijali....he'll bang you barefoot and leave you with a swollen limb.
teh teh safi sana ndugu cipro, ulale unono huko ulikoSi yupo hadi kwenye kichwa cha habari?? Au unaumia sana Mungu akitajwa? Maana kila akitajwa naona kama unaungua hiviii, acha atajwe, atatajwa yupi mwingine?
Ndio maana nimefika sehemu nimeamua kuwatazama tu...kama kuna mtu atashangilia hiii post kwa kejeli zilizoandikwa humu Hahaha aisee basi mtaani wanaume wachache..post yake ya kwanza alikuja kiuchonganishi baada ya kumtikisa akaanza kuandika sensibly...nimemnote huyu mshenga...Mmmmh!! Hebu fuatilia vizuri comments za Eli79 kuhusu wanawake, kama kuna jema aliwahi ongea naomba unikumbushe, yaani iwe mada inazungumzia me au ke he is always like that with women nahisi ulikuwa hujanote!!
Na mimi nimenotice, mtu akionekana kuwa upande wetu anaambiwa anafanya hivyo kwasababu hataki kutukera. Hivi matusi yote na lugha inayotumiwa kumuongelea mwanamke humu, kuna nini kipya hadi mtu aogope kutukera!!!Ooooops!! Yaani mlichoongea nyie ndio mnakiona cha kweli ila alichoongelea sumbai ni kibaya, kuna mwanaume pia mwanzo alichangia ukweli ila kwakuwa haukuwa ule ambao bad boys waliutaka kuusikia akaambiwa the same thing, aiseeeee kweli kazi ipo.
teh teh safi sana ndugu cipro, ulale unono huko uliko
Don't bother explaining sana,mimi nafurahi hawa wanaorusha mawe gizani ni wanaume watakao kuwa na mabinti in few years,hapo ndio watajua maharage ni mboga...tena sio kwa watoto wa kizazi hiki au hawajui kama ulichakaza wa mwenzio wako pia atachakazwa...Mungu awasaidie sana kwakweli katika uzao waoWhat a provocative language.... Najua unatumia lugha kumshusha mwanamke. Haijalishi. You don't appear any better in any way, shape or form.
Yes you've made it clear how stupid you can be. Kama huyo dada hajachukua precaution yoyote Kuzuia mimba hadi akaitoa ni kosa Lake Binafsi.
Mfano niliokupa ndo huo huo. Wazazi wanaoishia kuabort, Kosa ni ngono au Kosa ni family planning. Maybe you have comprehension problems..
Ndio maana nimefika sehemu nimeamua kuwatazama tu...kama kuna mtu atashangilia hiii post kwa kejeli zilizoandikwa humu Hahaha aisee basi mtaani wanaume wachache..post yake ya kwanza alikuja kiuchonganishi baada ya kumtikisa akaanza kuandika sensibly...nimemnote huyu mshenga...
Alafu hawa watu tunaobishana nao hapa utadhani hawana madada na mashangazi huko hao ndio mascrepa ajabu huu ukweli hawawezi kuwaambia wanakuja kujificha huku kwa fake ID ati wanarusha mawe teh teh...
Na huyu mshenga anayo biologia yake matata siwezi kubishana nae tena maana tunatofautiana kuanzia hapo,yeye biologia yake imechanganywa na fizikia ukiongeza na experience hahah ngoja niishie hapa
Hahah,Mie mlinzi ndio nimeingia zamu,ulale unono mpenzUwiiiiiiii!! Basi basi mama tulale.
Na mimi nimenotice, mtu akionekana kuwa upande wetu anaambiwa anafanya hivyo kwasababu hataki kutukera. Hivi matusi yote na lugha inayotumiwa kumuongelea mwanamke humu, kuna nini kipya hadi mtu aogope kutukera!!!
And it's not about taking sides. It's about truth.
Na ukweli ni kuwa bado jamii yetu ni ya mfumo dume, mwanamke hayuko huru sexually, na hudhalilishwa akionekana kutumia uhuru wake, wakati mwanaume haongelewi kabisa
Word.Don't bother explaining sana,mimi nafurahi hawa wanaorusha mawe gizani ni wanaume watakao kuwa na mabinti in few years,hapo ndio watajua maharage ni mboga...tena sio kwa watoto wa kizazi hiki au hawajui kama ulichakaza wa mwenzio wako pia atachakazwa...Mungu awasaidie sana kwakweli katika uzao wao
Oooooops!! Kwani naombwa na mwanamke mwenzangu??
Noo siongelei teaching method hataaaaa coz nishaona mara nyingi ukiwa hivyo ndio maana unadhani nashangaa basiiii.
Kwahiyo kumbe kufanya tufanye tuuuu ila tusishike mimba maana mimba tu ndio dhambi?
ndo ulichobakisha hicho, sikutegemea jibu zaidi ya hilo, mmekuja usiku ili mfarijiane, dah!You too get help, utavaa skirt muda sio mrefu, ila usijali ll pray for that not to hapen okey? Sema aimeeen!
Kabisa.Na tunapopaza sauti na kuongea wanakuja na maneno ya kejeli na ya kudhalilisha, aisee we aint backing hataaa, maana udhalilishaji haujaanza leo, mdogomdogo tutaelewana tu, hata waongee vipi haitukatishi tamaa wala haturudi nyuma and they better watch out.
Correction. Ni matokeo ya kutotumia family planning.. Kumbuka mimba, ni matokeo ya dhambi ya uzinzi.
Darling, nadhani ujisome tena. Huombwi na mwanamke mwenzako, then what....ukubali tu kisa ni mwanaume? Do you guys even think of tomorrow when giving out yo punanis... Hivi ukichija unasema wanaume wamenifuja? Wewe ulikuwa wapi ukifujwa?
Nimesema, mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi. Kumbuka mimba, maradhi, pepo za ngono, kubadili wapenzi ovyo ni matokeo ya dhambi ya uzinzi.
ndo ulichobakisha hicho, sikutegemea jibu zaidi ya hilo, mmekuja usiku ili mfarijiane, dah!