sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Acha tuuu mkubwa wa maadui leo ameamua kusimamia show mwenyewe ngoja awanyooshe leo...kwa vichambo...!Na hili ndo kubwa lao humu.
Ilikuwa ni lazima ajitokeze. Hili jiwe lililorushwa lilikuwa kali sana.