Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

I think this thread should be closed...imetosha.
 
Kwa niaba ya Mwenyezi Mungu,nasema safi sana kijana kwa ujumbe mzuri.kufuata au kutofuata ushauri wako
 
Hata wanaume pia wapo wakiwa wabichi loh! Zipu zao hazifungi wakishaanza kujikuna kuna na kukohoa ndio wanakuwa wahudhuriaji wa ibada balaa unamkuta hadi chooni anadeki!
 
brenda yamemuuma kanifuata whatsAP kaja kutukana mpaka basi harafu cha ajabu anaandika eti muonee huyo huyo sumbai. nikajiuliza namuoneaje? sijapata pc
Mkuuu ninachoweza kukushauri achana na mambo ya hawa wanawake.

Hawa ni wanawake na ni watu wazima kabisa ambao wanaelewa nini wanafanya, wether ni good or bad, wanajua wenyewe

Binafsi sitaki kuhusishwa na mambo ya behind jf kabisaaa.

Kinachojadiliwa nje ya jf I hope sio vema kukileta hum,

Maana huu uzi ulishapoteza direction badala ya kujadili affairs watu wakahamia kwwnye personalities za watu...Matokeo yake ndio haya paka kupelekana huko nje.
Kwavile baadhi ya watu wanafahamiana behind keyboard kuna athari kwa namna moja au nyingine.

hamna sababu ya kuwa na migongano isiyo na maana...!
 
Endeleeni kuishi kwa ndoto mnapewa ushauri wamaana mnajifanya mnajua kubinua midomo. Chagua chagua itawaponza.mi kuna binti wa ndugu yangu hii tabia imemcost mpaka sasa watu wanajitokeza analeta sababu kibao zisizo na msingi.sasa hivi kabaki kuposti vipicha kwenye whatsapp akimshtakia mungu kuomba ampe uvumilivu sijui nini sasa Kama huu siyo unafiki ni nini? Na Mimi nasema mungu awaadhibu tu hakuna namna.
Safi kabisa Mkuu, wana vichwa vigumu kweli hawataki kuambiwa ukweli, kuna binamu yangu alikuwa mrembo balaa, wanaume wakawa wanajitokeza kumchumbia naye hataki, tukimuuliza kulikoni? anasema, ooh mi staki kuolewa na wanaume weupe, wakija weusi, ooh mi staki hao nataka warefu, sababu haziishi, wee tukashangaa kuona ka andunje kamemtandika mimba kisha kakasepa, sasa Eti naye anashinda kanisani kuomba Mungu aolewe, majuzi nikamuuliza sasa hivi unataka kuolewa na mwanaume wa aina gani, akajibu yoyote tu, nyambafu zake kaisha mwili wote kwa kunyonyesha na kulea mtoto wa andunje wakati yeye mrefu, halafu Eti anataka kuolewa, pumbavu zake kabisa hii ni sawa na kupewa mtaji halafu ukaunywea pombe halafu unakuja kumsumbua Mungu, mi namwangalia tu, umekuwa skrepa ndo unataka mume? wakati unalipa uliamua kuuharibu usichana wako maksudi kabisa, afadhali aliyekuwa kaolewa halafu akaachwa na mumewe kwa uonevu huyo hata kama ana watoto sita lazima ataolewa tena, maana Mungu hukaa na wenye haki na wanaoonewa, sasa wao wanafanya umalaya halafu yakiwakuta bado wanataka mteremko, shenzi zao kabisa, hapa hakuna cha ndoa na watakiona cha moto.
 
Ehehehe the fact is kwann msimkumbuke mungu tangu mkiwa mabikira.....ewe mwanaume ukitaka kupotea KAOE KANISANI.....KAKESHE KWA GWAJIMA UKIOMBA MKE utapoteza muda
Utakutana na Flora Mbasha akitaka kuolewa na yeye wakati alivunja ndoa yake na akataka mumewe afie jela, aisee makanisani kuna skrepa za hatari ni bora ukachumbie bar, maana wakishayabolonga ndo kimbilio Lao huko, Nachukia sana maana imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako.
 
Kwahiyo mmekubali kuwa mnachofanya nimakosa ndo inabidi mbadilike
Heaven sent umejaliwa hekima kubwa kuliko wanake wote JF, yaani wewe hata kama una watoto kumi kwa ulivyo mnyenyekevu Nakuhakikishia Mungu atakupa chochote utakacho, hata mume utapewa tena mzuri tu, siyo hao wengine ambao wanachanua midomo kwa ujuaji, Mungu anapenda sana wanyenyekevu kama wewe.
 
Mswati is savage babarian who worships African idols. Huwezi kumfananisha na Sheikh Naseeb yakheee! Naseeb mtu wa kumtii mtume na sharia zake. Ikitokea kakosea basi atafanya toba, ila ni mtu anaejitambua yupo upande gani.
Picha please!...
 
Back
Top Bottom