Kila siku nikienda kusali mchungaji ananiambiaKwani bwana shemeji wewe una dhambi eti?? Subiri kwanza ukongoroke bwana now we ni handithamu Mungu hakuhusu, sema aimeeeeeeen!!
Wewe sasa ndo unachochea ugomvi. Inaonyesha ulikuwa mchonganishi sana udogoniHahaha nimecheka sana, thread imekaa ndipo haswa.
Bhita ni bhita mura. Alafu vidada vyenyewe siku hizi ni viongo balaa. Vingi hata havijui vinataka nini...! Ngoja vichezee ujana, sisi kaka zao tutawasaidia kulia mda ukifika.
Mie mpatanishi hodari sana kiongozi. Ila penye reality huwa simumunyi maneno.Wewe sasa ndo unachochea ugomvi. Inaonyesha ulikuwa mchonganishi sana udogoni
Hahaha nimecheka sana, thread imekaa ndipo haswa.
Bhita ni bhita mura. Alafu vidada vyenyewe siku hizi ni viongo balaa. Vingi hata havijui vinataka nini...! Ngoja vichezee ujana, sisi kaka zao tutawasaidia kulia mda ukifika.
Kila siku nikienda kusali mchungaji ananiambia
"Tukisema hatuna dhambi twajidanganya bure.....
Tuungame dhambi zetu, tupate kutakaswa na kusamehewa...
Wazifichao dhambi hawata urithi uzima wa milele...
Jiwe limerushwa na mtoa hoja, mimi nimechangia tu. "Ukiishi kwenye nyumba ya vioo, usiwe mwepesi wa kurusha mawe kwa jirani zako"Vipi wewe ujana wako ulijitunza? Hukuuchezea? Hivi dhambi kumbe zinafanywa na wanawake tu, ila wanaume woote ujana wao wanautumia vyema kabisaa!! Oooh okey good.
Mie mpatanishi hodari sana kiongozi. Ila penye reality huwa simumunyi maneno.
Siki hizi maisha yamebadilika sana, tunashindana na dada zetu kwa kila jambo.
Nina jamaa namfahamu, demu wake ameonekana kuwa na tobo kwenye uterus, doctor kauliza straight bila kupindisha maneno, "amewahi kutoa mimba?" Mdada kakataa kw kuapa kuwa hajawahi kuchomoa. Hivi sasa jamaa anahaha kwenda India kupandikizwa mtoto, which will cost $10,000/-.
Tukichezea ujana tujue itafika kipindi tutalipishwa kwa matendo yetu, whether we confess to God or not, whether we pray or not.
Unanioneaa kwakweli teh,it was weekend mood kwa sasa mimi ni mtazamaji tu.... @house girl atakuwa anaandaa shambulizi si unajua kobe akiinama anatunga sheria...Hivi ni coincidence @atoto @brenda18 mmekuwa vinara hii thread? im just surprised @housegirl sijamuona humu sijui anaumwa?!! Hii #TeamPasuaKichwa halafu naona @Lara1 nae kaongezeka huu mwaka kutawaka moto!!!
Jiwe limerushwa na mtoa hoja, mimi nimechangia tu. "Ukiishi kwenye nyumba ya vioo, usiwe mwepesi wa kurusha mawe kwa jirani zako"
Kumbe wenye matatizo ya kizazi wote walitoa mimba, okeeey now i get it, shikamoo ex darling.
Kumbe niliandika "wote", au umenisoma kwa makengeza. Mie sio gyna lakini maneno ya dokta yalikuwa na uzito kwangu, can't share everything here.
Kila mtu atakiwa kujitunza. Men started messing up, na sasa ni zamu yenu. Effects zake ni kubwa zaidi kwenu, lakini kwa vile mmeamua kupigania haki sawa, hasa kwenye idadi ya wanaume mnaowa screw na equality katika kila jambo, huku mkijinadi kabisa na kutambiana bila soni, na kuangalia zaidi walio well off, tutazidi kusikia mkiwa abused na wanaume kila uchao, kwa vile hamjui mali zao wamezipataje.Mbona umekimbia kujibu swali bwana ex? Huo ujana wanawake tuuu ndio wanautunza, nyie wasafiiiii!! Okey basi tumewasikia watakatifu wa nchi tutaacha kutenda dhambi sasa.
Buna ndoaaa Una hasira saaanaMxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!
Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.
Ngoja waje....Hahaha nimecheka sana, thread imekaa ndipo haswa.
Bhita ni bhita mura. Alafu vidada vyenyewe siku hizi ni viongo balaa. Vingi hata havijui vinataka nini...! Ngoja vichezee ujana, sisi kaka zao tutawasaidia kulia mda ukifika.
Thread hii imenisaidia kutambua "wanaume" ni akina nani na ........ ni akina nani, aimeeen mleta mada, taratibu tu mambo yatakuwa safi, watenda dhambi ni wanawake tu ama kweli nyani haoni kinyeo chake.
Kila mtu atakiwa kujitunza. Men started messing up, na sasa ni zamu yenu. Effects zake ni kubwa zaidi kwenu, lakini kwa vile mmeamua kupigania haki sawa, hasa kwenye idadi ya wanaume mnaowa screw na equality katika kila jambo, huku mkijinadi kabisa na kutambiana bila soni, na kuangalia zaidi walio well off, tutazidi kusikia mkiwa abused na wanaume kila uchao, kwa vile hamjui mali zao wamezipataje.