Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Wakati nakuwa niliambiwa mwanangu tusi malaya ni kawaida kwa kila mwanamke kutukanwa....
Mtoto wa kiume alivyolelewa na mama yake ndivyo atakavyowaheshimu wanawake wanaomzunguka,sikatai inawezekana wadada waliochangia humu michango yao haijakupendeza ila jambo moja ulikuwa hulijui mama yako pia ni malaya ndio maana huoni uzito kumuita mwanamke mwingine malaya, hatujashtuka lakini kawaida.....
Dada inaonekana hii thread imekugusa sana naona umepoteza hadi uwezo wa kufikiri
 
Nakukumbusha mkuu ( mungu ) hachoki wala hasinzii abadan hayo mengine umewapo ushauri mzuri kabisa kazi kwao.
 
Kuna aina ambazo hazijashuka kama zako. Kuna ambazo zimeshuka akijitingingisha anatengeneza simple harmonic motion.

Manyonyo makubwa hulala, whether yamenyonyesha au hapana.

I'm a health care taker nimeona mengi
Basi sawa....
Ila kama hujaolewa jitahidi kwenda kanisan..i mwaka huu sagodi anaweza kukufikiria
 
Wakati nakuwa niliambiwa mwanangu tusi malaya ni kawaida kwa kila mwanamke kutukanwa....
Mtoto wa kiume alivyolelewa na mama yake ndivyo atakavyowaheshimu wanawake wanaomzunguka,sikatai inawezekana wadada waliochangia humu michango yao haijakupendeza ila jambo moja ulikuwa hulijui mama yako pia ni malaya ndio maana huoni uzito kumuita mwanamke mwingine malaya, hatujashtuka lakini kawaida.....
Nani asiyeelewa jamii hii.
Wanaume wengi wanakuzwa kuita wanawake malaya. Mwanaume akijihisi kashushwa ndo tusi Lao hilo.
Hajui akiita hilo Jina mbele ya mamake itakuwaje. Umemsikia huyu huku eti mama yangu aliolewa na ndoa Hahaa. Kibao wanaolewa kabla ya kuzaa walishaonja kuliko hata huyo unayemwita skrepa.

Halafu umeona wanavyojitetea hapa . Walitegemea watukane maumbile ya mwanamke ili kujipa confidence. Wamesahau na wao wana ya kwao mengi. Wengi wanao comment hapa ni vivulana tu. Hata real life ziwa hajawi ona. Ndo wanawapa insecurities wadada na matusi yao.

Wadada muangaliage na akili za wanaume mnaochukua.

Waendelee na matusi yao kujipa ego. I'm done here.
 
Honey,couldn't argue more.....
 
Ibra87 na Cipro you guys are wonderful mmepiga hawa warembo kwa unguided missiles mpaka wametawanyika kwa njia saba! i salute you in the name of kichwa cha familia.you stole the show kwa kweli.
 
The good thing ni kuwa mawazo ya Mungu sio kama ya wanadamu, hivyo endelea kujifurahisha hapa jamvini na kujivisha kofia ya kumuonea Mungu huruma
Mwenye uzi njoo hapa ......mambo yashaanza
 
NYOTA ZINAPOWAKA/KUNG'AA KUWENI WATULIVU WADADA! WENGINE HATA SHULE WANAACHA! WAKITEGEMEA NYOTA ITAWAKA DAIMA!
 
Mkuu na ww hapa kuna mengi yanakuhusu so take a lesson, samahani lakini
Ama kweli waarabu wa pemba tunajuana kwa vilemba maana huwezi jua kama yananihusu ikiwa wewe hayakuhusu, samahani lakini
 
Ndo hapo sasaaaa! Kuna mabinti vibikraaa kabisaa wangapiii Dai angewataka angewaoa hata bureee. Lakini kakolea kwenye K used, K ya bibi, ina video ya pono, na imeliwa na mastar kibao na ina makunyanzi. Ila yeye ndo hasikii wala haoniii. Utamwambia nini?

Ndo ujue wanaume wenye hela zao hawa banwi banwi na u saint a.ss, na sentimental values zisizokuwa na ishuu. Anaangalia they click basi.

Mwingine Peter wa P square kamuoa Lola Omatayo bibi kampita miaka 8 ila ndo kafika hapo yeye.
Mkuu mimi somo lako nimelielewa hebu ni pm tufanye mpango flani wa maana
 
Ni sawa wadada tumekuwa warahisi mno sku hizi. Lakini pia kumbukeni anyewafany wanawake wawe maskrepa ni nyie wanaume... Mimba wanapewa na nyie na ukimwi wanapewa na nyie nyie wanaume kwahiyo wanaume kwanza nyie punguzeni demand ya wanawake ndipo wanawake(supply) watapungua pia na yote hayo hayatotokea
 
Back
Top Bottom