bora wewe umeona mkuu, mimi nililiona nikapotezea nikajua tu jamaa anatafuta sympath ya wadada, penye ukweli tuongee tu, mademu ni kawaida yao kukasirika wakiambiwa ukweli, hata ukimuambia weaving halijakupendeza atakasirika, so mimi nawachanaga tu baadaye tunacheka kama kawa
Sasa mkuu maswala ya wadada wa jf ni wazuri au wabaya mimi inanisaidia nini?
Kama mtu mbaya alafu mwenyewe anajiona mzuri we kinakuuuma nini? Sasa mkuu kuna sehem ulipo wachana alafu mimi nkakwambia hapana ni wazuri?
Maswala mengine ukifatilia na kuchunguza ukweli wa nyuma ya keybod utakuwa unajiumiza kichwa.
Kuhusu Mada hii, lazima ifikie hatua kwamba tukubaliane kutokubaliana.
Wote kwa pamoja tunakubaliana na mtoa mada kwamba wadada wanatakiwa wajitunze,
Tunatofautiana kwa namna ipi ya kuwasaidia wajitambue ili wajirekebishe
Msimamo wangu ni kwamba Lazima warudi kwa mungu tofauti na mawazo ya mtoa mada.
Tofauti nyengine ni kwmba lugha inayotumika kumuelewesha mtu, unaweza ukawa una hoja au wazo zuri la kumsaidia mtu, but unavyo present inaweza kuharibu na kumchanganya unaetaka kumsaidia.
Like mtoa post, the same as you! Siku zote ukitaka kumsaidia mtu lazima utafute namna sahihi ya kumueleza/ kuzungumza nae hiyo sijui kuwachana its okey. But isnt right wayfor u to help some bady, zaidi ya kujenga bifu au kuanza kumpanikisha mtu na ndicho nlichotabiri mwanzo kikatokea watu badala ya kumuelewa mtoa mada wamereact sasa huoni hapo hujamsaidia?
Pia sio lazima ukubaliane na mimi, na sio lazima mimi nikukubali wewe! We do differ