KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Waambie wasikie! Tumechoka aisei afu hawa single mother hawasumbui ata kidogo..
Hahaha sawa Muislam safi ,nenda basi kamsaidie mfalme mswati ku recruit wake zake ,uende kabisa na proposal yako kwamba ni wanawake over age ndio watakao mfaa uone kama ujala shaba hadharani
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....Mkuu @lara 1, umeelewa kilichoandikwa na mleta hoja?! Maana naona povu linakutoka kwelikweli.
Chungu ila ndo dawa. Vumilia kwasababu hamna namna.
Anayo ? Hiyo kitu kidogo? Khe heeee kheeee... mkuu hi vita na 30+ single dada ni vita ya nne ya duniahahahah ndoa kitu kidogo eenh! ndo maneno yenu hayo
Mkuu @lara 1, umeelewa kilichoandikwa na mleta hoja?! Maana naona povu linakutoka kwelikweli.
Chungu ila ndo dawa. Vumilia kwasababu hamna namna.
Unakoelekea huu uzi utakuwa haufai kwa matumizi ya binadamuUnasubiri kuona jiwe likisababisha keleleee
mbona yanakutoka hivyo jiwe limejupata utosini...??? Utakuwa uko hatua za lala salama hakusomeki..Nyoooooo! Mbona Dida anaenda kuolewa chungu cha 4 na kuna vibikra kanisani havina hata chungu kimoja? Kuolewa bahati na umpate mjinga mwenzio umfunge funge akili na kumzidi maarifa anasign karatasi lile ndo ndoa hivooo. Unafikiri ndoa basi kitu kikubwaaaaa? Hahahaaaaaa!
Wapo kibaooooo, nimechoka tu kutaja.
Hahaha haya bana kaka mtumishi. Afu unaweza kukuta hao wanaowajibu hawajafika hata 30.Anayo ? Hiyo kitu kidogo? Khe heeee kheeee... mkuu hi vita na 30+ single dada ni vita ya nne ya dunia
Hahaha huu mfano nimeupenda, ana mtoto kaachika mara 3 na bado anaolewa ya nne, kuna ambao wamejitunza na hawajui hata wataolewa lini?hata wa kuwaambia "dada hujambo" hamna, kwenye maisha kila mtu kapangiwa fungu lake, let people beNyoooooo! Mbona Dida anaenda kuolewa chungu cha 4 na kuna vibikra kanisani havina hata chungu kimoja? Kuolewa bahati na umpate mjinga mwenzio umfunge funge akili na kumzidi maarifa anasign karatasi lile ndo ndoa hivooo. Unafikiri ndoa basi kitu kikubwaaaaa? Hahahaaaaaa!
Wapo kibaooooo, nimechoka tu kutaja.
Anayo ? Hiyo kitu kidogo? Khe heeee kheeee... mkuu hi vita na 30+ single dada ni vita ya nne ya dunia
Teh TehHii thread itageuka chungu, naona usha pull the trigger. Matokeo yake itakuwa disaster hapa.
Ahaa haaa.....yes. but kuna wale hawajafika thirty but wapo stressed na disperate....Hahaha haya bana kaka mtumishi. Afu unaweza kukuta hao wanaowajibu hawajafika hata 30.
C.c @atoto
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....
Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi
Oh ila ni kwenye mafundisho ya kiislamu waumini wana amini ni bora asidhini hapa duniani ili akakutane na virgin 70 akhera ,wondeful narudia tena Virgin ,sio vitu vilivyotumika vibaya kwenye ujana wao , kazi kulia na Mungu ,bora hata Ghadafi walau alitimiza hayo akiwa hai kuwachagua wanawake bikira kuwa kwenye buble ya walinzi wakeMswati is savage babarian who worships African idols. Huwezi kumfananisha na Sheikh Naseeb yakheee! Naseeb mtu wa kumtii mtume na sharia zake. Ikitokea kakosea basi atafanya toba, ila ni mtu anaejitambua yupo upande gani.
Teh Teh akanana @lara 1 happy New year..Mxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!
Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.
hahahah anamtii mtume kwa kufunua watoto za watu na kuwaacha, mwenzake alikuwa anaoaMswati is savage babarian who worships African idols. Huwezi kumfananisha na Sheikh Naseeb yakheee! Naseeb mtu wa kumtii mtume na sharia zake. Ikitokea kakosea basi atafanya toba, ila ni mtu anaejitambua yupo upande gani.