Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,427
teh teh na huko ndo wengi sasaBora wanaokimbilia kwa Mungu kuliko huyo bwana mkubwa kwenye red
teh teh na huko ndo wengi sasaBora wanaokimbilia kwa Mungu kuliko huyo bwana mkubwa kwenye red
Hahahaha......nitumie no ya mpesa nikutoe sio kwa kuwanyea hivyo watabisha lakini habari ndio hio....Ndo nishakunya sasa na kuharisha umomo. Wanaume wenyewe mnaochonga vikopo tu vya chooni. NA NAFUNGUA MWAKA NA HUU UZI RASMI.
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....
Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi
Teh teh shem upo? Naona leo mtoa mada anajaribu kutikisa kiberiti....Kukataliwa ni stress tooosha! Unaweza ukafanya jambo ambalo hata wewe mwenyewe ukikaa unashangaa whts happened!!
Pole sana mleta mada naona uko na wenzio wengi tu, usijali with time you ll heal!!
Sure thing! Ndio maana Mungu hajaweka secretary wa kumsaidia imagine mtoa mada ndo angepewa cheo cha kumsaidia Mungu ingekuwaje?Msemaji wa Mungu ngoja tumwache apunguze stress zake
Ni nanii atasimama kumnyooshea kidole mwingine ilihali yeye pia ni mdhambi
Labda mleta mada ni mtakatifu
Maisha sio kuolewa tu,kuna mapito na changamoto nyingi hata kwa yeye anaejiona mkamilifu kuna mahali tu anakwama....
Kheri yako akili zimo,sio hawa mapopoma waliokazana jiwe jiwe,jiwe my foot... Kwa style hiii wanaume ni wachache kwakweli....Ujumbe wako mzuri japo umeegemea upande mmoja tu.
Ndiyomaana Mungu aliamua kuwapa wanawake moyo uliopondeka ili waweze kupokea,kuvumilia mabaya,lawama zote zinazoelekezwa kwake . Makosa yanafanywa na jinsi zote mbili lakin mwisho wa siku zigo la lawama na kashfa linamwangukia mwanamke.
Ila pia vizuri tujiulize ,
Je huyu mwanamke anazalishwa na nani?? iwe kwa hiari yake au kwa kubakwa,
Mtoto anapolelewa na mwanamme mwingine( mwelewa na mstaarabu), je Baba Mzazi wa huyo mtoto anakuwa wapi? amekufa? au anangonoka kwingine?? huku akikwepa kuwajibika kwa mwanaye.
Anapewa VVU na nani??,
AU anangonoka na nani??.
Laiti Mungu angekuwa na mawazo au anahukumu kama ya kibinadamu naamini hakuna ambaye angepona kuhukumiwa ksb kwa namna moja au nyingine kila mmojawetu amewahi kutenda kosa iwe NURUNI AMA SIRINI( kufahamu/makusudi au kwa kutokujua kama anatenda dhambi).
HAKUNA MKAMILIFU CHINI YA JUA.
Heaven sent ,human nature in actions ,wrongdoers blaming everybody but themselves ,we are all like that .....ila pendekezo langu ni hilo la ujana wetu tunapo utumia vibaya mwisho wa siku tunalia na MunguDeleted
Hahaha haya bana kaka mtumishi. Afu unaweza kukuta hao wanaowajibu hawajafika hata 30.
C.c @atoto
ha ha ha ha haaaaa hilo neno eti mapopoma ha ha ha haaaaaKheri yako akili zimo,sio hawa mapopoma waliokazana jiwe jiwe,jiwe my foot... Kwa style hiii wanaume ni wachache kwakweli....
We nae hio 30+ umetupa wewe...mnadhani mtatutisha tusichangie huu uzi, ndio kwanzaaa tupo....Anayo ? Hiyo kitu kidogo? Khe heeee kheeee... mkuu hi vita na 30+ single dada ni vita ya nne ya dunia
Hahaaaaa! HAO MLIO WAOA MNAWAFUJAAA KUWAVISHA LUNYAAAA NA KUWALISHA MICHICHA KAMA MBUZI MBONA HAMSEMI HAPA?
mada haizungumzii kupokonywa tonge mdomoni, bali wale wanaojifanya walokole baada ya maji kuwa shingoni, au mimi ndo sijaelewaAloandika mada na wanaomsapoti angalia miandiko yao you'll notise something amaizing.
Wafanye kazi kwa bidii watapendwa tu sio wakishapokonywa tonge mdomoni ndio wanatapatapa!!
Karibu kuchangia...!We nae hio 30+ umetupa wewe...mnadhani mtatutisha tusichangie huu uzi, ndio kwanzaaa tupo....
Sisemi kama watu tutende dhambi makusudi kwa sababu tu Mungu anasamehe. Lakini je mtu akikosea na akafika uzeeni akaamua kutubu, Mungu hatomsamehe kwa sababu ni mzee tayari? Afu huo uzee mnaouongelea nyie ndo huo wa miaka 30+ au?Heaven sent ,human nature in actions ,wrongdoers blaming everybody but themselves ,we are all like that .....ila pendekezo langu ni hilo la ujana wetu tunapo utumia vibaya mwisho wa siku tunalia na Mungu
Shikamoooooooooooooooooooooooo!!!!!!.Mxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!
Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.
Kwa hiyo tukizalishwa ni kwamba tumemsahahu Mungu au tumeanguka dhambini kaa unavyoanguka kwenye dhambi za uongo na mambo mengine acha kuwa bias ..sawa kaBisa,, coz hata MUNGU kupitia Mandiko Matakatifu anaseMa "MUKUMBUKE MUUMBU WAKO SIKU ZA UJANA WAKO" sasa hao wanao kula uJana MkitegeMea kuMrudia MUNGU Baadae iMekula kwenu,,!
Kwa hiyo wanaolalamika hapa wapo stressed? Wamekimbiwa....!Si mpaka wawaoe? Wanakimbiwa wanaenda kuolewa na "wanaume" wao wanabaki full stress kama hivi