Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Mxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!

Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.
zari is an independent woman, usimlinganishe na hao wanaoomba hadi hela za vocha eti ampigie mama
 
Utaelewa wapi na umeujaza upofu macho na akili yako maana ushajiandaa na kichambo!! Mkishapokonywa au kukataliwa ndio stress zinazidi sasa mnatafuta pa kutokea.
Acheni wamuombe Mungu kwani lini Mungu alisema hataki kuombwa? Bahati nzuri maombi ya mwenye dhambi ndio Mungu anadeal nayo vizuri, nyie mnaojifanya miungu watu kaeni hivyo hivyo na mtazidi kukataliwa tu.
teh teh mada mbona inaeleweka tu dadaangu, ahsante mleta mada, bado mmoja sijamuona,
 
Yes, nimeona! Bibi shemeji....!
Teh teh wanapita kwetu kupata uzoefu.

Na mkikataliwa msiwe stressed out na kuanza kutapatapa, tulieni pigeni kazi mjijenge mtawapata hao mnaowalilia wakienda kwa wenzenu.
 
ha ha ha ha haaaaa hilo neno eti mapopoma ha ha ha haaaaa
Teh.. Hao wote wanaosema jiwe sijui ukweli mchungu ni upopoma,kutongoza sio lazima ukubaliwe,huna vigezo huna tu wacha watu wachague bana
Mungu sio binadamu naamini hata nyiee wakaka ujana wenu mnautumia vibaya au ukimwi na kunywa ARV ni kwa wadada tu
Like for real mwanaume gani mwenye akili ataishangilia hii post.....
Mnataka hadi Mungu atumie mfumo dume,teh mtakesha sana kwa hilo...
 
Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea. Hakuja kwa wasafi, wala hana hata shida nao

Wanajulia wapi hilo sasa wamekalia majungu tu wanaume wazimaaa na kushangaa chuchu za wanawake, kazi hawafanyi wakishakataliwa ndio limtu kurupuuuuu!! Wafanye kazi huko waache success ziongee.
 
Last edited:
Ujumbe wako mzuri japo umeegemea upande mmoja tu.
Ndiyomaana Mungu aliamua kuwapa wanawake moyo uliopondeka ili waweze kupokea,kuvumilia mabaya,lawama zote zinazoelekezwa kwake . Makosa yanafanywa na jinsi zote mbili lakin mwisho wa siku zigo la lawama na kashfa linamwangukia mwanamke.
Ila pia vizuri tujiulize ,
Je huyu mwanamke anazalishwa na nani?? iwe kwa hiari yake au kwa kubakwa,
Mtoto anapolelewa na mwanamme mwingine( mwelewa na mstaarabu), je Baba Mzazi wa huyo mtoto anakuwa wapi? amekufa? au anangonoka kwingine?? huku akikwepa kuwajibika kwa mwanaye.
Anapewa VVU na nani??,
AU anangonoka na nani??.
Laiti Mungu angekuwa na mawazo au anahukumu kama ya kibinadamu naamini hakuna ambaye angepona kuhukumiwa ksb kwa namna moja au nyingine kila mmojawetu amewahi kutenda kosa iwe NURUNI AMA SIRINI( kufahamu/makusudi au kwa kutokujua kama anatenda dhambi).
HAKUNA MKAMILIFU CHINI YA JUA.
naona umeamua kutumia fursa vizuri..kuwa baba huruma ili ujipatie likes za mabinti
 
Nipe rula, nyie ni akina nani kwanza hadi mumpangie Mungu na watu waolewe lini?? Naona nawe umekazana na hiyo 30+ vipi kwani wanakula kwako? Waacheni watu wachague maisha yao, kama hayakufurahishi nyoosha yako.
Binafsi sijampangia Mungu wala kumhukumu mtu, wala kumcheka mtu kutokana na hali fulani.

ni 30+ na sio 20+ au wengineo ndio age haswaa mleta mada aliyoilenga. Nlichosema nlisema kutokana na uzoefu wangu wa jf. Mtu akileta mada huwa inakuwaje.... kama ilivyotokea (vichambo, panik, matusi n.k) jiwe gizani kama kawaida.

Otherwise ni changamsha genge, this is jf....!
 
Hahahaa hata nije kuishiwa wanaume mimi type za mleta mada siziwezi,huyu atakuwa hata akiongea ni ovyo tu....nimechangia sababu tu alichoandika kajikuta ye ni mdogo wa mungu eti anamuonea huruma mungu sio Mungu,Hahahaa watu jamaniii kitu gani nikaolewe na khadija kopa,watu wapo na class zao wametulia na ndio wamedata na sie vibibi....
Nshasema ntachagua tu hata nifike 40+......

Alijisemea @house girl kuwa kuna wanaume inabidi tu uwashauri kwa upoleee wasizae ili kizazi chao kiishie kwao tu!! Wanawake tuna mizigo sisi acha tu! Ukute huu nao ni mzigo wa mtu anagugumia nao huko!!
 
Sure thing! Ndio maana Mungu hajaweka secretary wa kumsaidia imagine mtoa mada ndo angepewa cheo cha kumsaidia Mungu ingekuwaje?
Tusingepona mbona...
Huyu atakuwa ana nyota ya kukatwa,kila anapogusa anapigwa chini unategemea nini...
Na hapo ni dhahili hana pesa,angekuwa nayo asingepiga kelele hapa...
In short wanaopiga kelele hapa pesa ni shida ingekuepo wasingeyajua hayo....
 
Kuolewa mapema sio guarantee ya kuzaa mapema. Kuna watu waliolewa wakiwa na 20s na hadi wanazeeka hawana watoto. Kila mtu ataolewa kwa wakati sahihi ambao Mungu amempangia. Na huko kote kwenye milima na mabonde anakopita, Mungu ana kusudi maalumu na hiyo njia yake.
Hilo la menopause nimelitolea tu mfano uone kwenye uhalisia maisha yetu wanadamu yamepungua sana kufika hiyo 70 kwa kizazi chetu ni kazi kubwa sana , sawa wacha wenye imani zenu muendelee kuamini kila mtu ataolewa kwa wakati sahihi ambao Mungu amempangia japo tokea na zaliwa sijawahi kuhudhuria sherehe ya mwanamke anaolewa akiwa na miaka 50 kisa ndio wakati wake aliopangiwa na Mungu .
Tufanye yote ila mwisho wa siku try to make choices you can live with
 
Na mkikataliwa msiwe stressed out na kuanza kutapatapa, tulieni pigeni kazi mjijenge mtawapata hao mnaowalilia wakienda kwa wenzenu.
Ameeeen,
Wanaume halisi hawalii...! Labda wavulana...unaanzaje kulia!?
 
According to mtoa mada huwa tunajitia mimba wenyewe

Ooooh!! Sasa kama tumejitia wenyewe yeye inamuuma nini? Hivi kweli unaweza kuishi nyumba moja na mtu kama huyu kabisa na ukamuitacmume!! Alafu umzalie na watoto wamuite baba kweli!! Duuuh imbombo ngafu
 
akija mchumba mukimkataa eti hana pesa nyingi.ujuwe huyo mwanamke.atapata majanga tu hapa duniani.laana ya kumkataa huyo kijana anaetaka kuoa lazima itaishambulia hiyo familia iliyokataaaa
 
According to mtoa mada huwa tunajitia mimba wenyewe
Hahahaa nimecheka sana.. Kweli wadada tuna safari ndefu..maskini bado kuna mdada anakubali kukazwa na mtu kama mleta mada hapa,asalaleee dada huko ulipo natanguliza pole,huna bahati,mmeo akili ka za kuku teh..
 
Teh.. Hao wote wanaosema jiwe sijui ukweli mchungu ni upopoma,kutongoza sio lazima ukubaliwe,huna vigezo huna tu wacha watu wachague bana
Mungu sio binadamu naamini hata nyiee wakaka ujana wenu mnautumia vibaya au ukimwi na kunywa ARV ni kwa wadada tu
Like for real mwanaume gani mwenye akili ataishangilia hii post.....
Mnataka hadi Mungu atumie mfumo dume,teh mtakesha sana kwa hilo...
Kimsingi hii post sio mbaya kabisa, mtoa mada kasema ukweli juu ya vijana kwa ujumla ingawa kawagusia wanawqke kwamba wajitunze enzi za ubinti wao

Hajamanisha wavulana wasijitunze,

Ila alichokosea mtoa mada ni pale aliposema si sahihi kumkimbilia mungu baada ya kuuharibu ujana,

Na kuhusu kugeneralize kwamba wasio olewa wote waliutumia ujana wao vibaya.



Na pia ni kwa kutumia lugha fulani kali tuuu,

Na watu kwa kujihisi daaah hawajambo.....
 
Back
Top Bottom