Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

yaani hii ni sawa na ufanye dhambi ukijua utatubu, yaani ufanye machaguo wee umri ukikutupa mara kanisani mara kwa mganga
ukiwakuta huko kanisani wanavyojiangusha sasa ha ha ha ha mimi hua nacheka sana.
 
90% ya wanawake waliopo humu ndani ni mikweche. Wamekongoloka Zaidi ya Madada Poa wa Uwanja wa Fisi.

Hapa Jukwaani Shobo kibao,
kutana nao uso kwa uso unaweza kudhani umekutana na Mzimu.

Mifupa imewatoka kama Wagonjwa Wa HIV.. Na Mshukuru uwepo wa Powder Otherwise Mngekuwa kama Betina.....

Unakuta msichana titi limekuwa ndala mpaka linafikia kitovuni Harafu eti anajiita Mzuri... Jitazame upya kisha uje hapa.. Usitegemee kutenda Dhambi huku unajua kwa kutegemea kutubu baadae Huko ni Kujidanganya. Jf ina Vibibi vizee Haina wasichana wa kuishtua mioyo ya Marijali kama Sisi. Kila la Heri... Na wote mngeambiwa muweke picha zenu humu nadhani wengine mngejitoa na jd yenyewe.
Disappointed, kila siku huwa unatoa nondo,leo sijui upepo umepita pabaya....au umekataliwa maana huu ni uchungu unaoutoa....
Wewe anza kwa nduguzo wa kike utakuta wanatumika vibaya mno..hebu ngoja nianze siku yangu kwa baraka wacha niishie hapa....
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwa maana hio wanaume mngeweka picha zenu mngekuwa kitu mnaatoooooo! Wachaaaa! Kila mmoja wenu HB wa nguvuuuu Ramsey Noah anangoja sanaa, six pack na nini, urefu wa hajaaa. Hao nyieeeee!

Nyokoooooooooo!TUSINYOOSHEANE VIDOLE, WOT TU MBWA KACHOKA SI WANAUME SI WANAWAKE. Tunarudi pale pale EITHER WAY LIFE FU.CKS US ALL.
And just to spill this out,wakaka wa humu aaah teh kwakweli hapana ni vile tu mwanaume hatuangalii sura sana ila ukipata HB ni bahati,humu ni sura za kuharibu wanao,na hawa tunaokesha nao hapa kubishana ni chokest tu ka sie...
Tena wangeweka sura zao wangetutisha tu bora hizi avartar zinaficha mengi....
 
hahahaaa watu na stress za kuishia kuwa vinyozi na wauza mabucha ya samaki siyo mchezo...... hahahahaaaaaaaaaaaa
Teh na ndicho kinachowaumiza,wakikataliwa haya ndio yanayowakuta
Aisee huu uzi ungenikuta weekend,mambo mazuri humu....
 
Ila kunawatu wanapenda kujifariji kwakusema tumechoka,umechoka peke ako na michezo yako ya kishenzi kutaka kufanywa na kila mwanaume katika umri mdogo,saa hizi huwezi kutulia full frustration kila kitu unahisi umesemwa wewe,umechoka peke ako mxiuuuuu
I wish I could understand you, sijui jiwe lako unalirushia wapi...ila inaonekana umejaa nyembe...
 
Mkuuu Mungu ndio kimbilio....!

Yesu ndio Mume wa wajane, Baba wa yatima, n.k so hata hawa acha wasogeze mahitaji yao mbele ya Mungu wapate kufunguliwa na vifungo.

Unakumbuka mwana wa adamu alikuja kwa ajili yetu tuliopotea na tunaopotea?
Sio wao wanawake tu, hata nyie mnahitaji huruma ya Mungu
So wote tusogeze maombi yetu mbele ya Mungu,maisha ya ujana is not a joke...hakuna mtakatifu humu wa kumnyooshea kidole mwengine....in such a perspective ntakubaliana kabisa na mleta uzi
 
Jinyenyekeze kwa Mungu. Una tatizo la kuhukumu na ukali na kiburi cha kujua "neno" kuliko wengine. Ushahidi unajionyesha hapo juu. Unapata wapi hata ujasiri wa kusema waroma hawajui kumuomba Mungu? Unakumbuka sala ya yule farisayo? unaelekea huko kama hauko huko. Usiwe farisayo. Kumwa mnyenyekevu (humble) na Mungu atakuinua. Sina hakika kama kuna mroma asiyejua sala ya Baba Yetu aliyotufundisha Yesy mwenyewe. Na Roho Mtakatifu ndiye anayetufundisha kuomba, na sina taarifa kama anachagua madhehebu. Kama mkristo ukiona dhambi unatakiwa uikemee kama Kristo anavyotaka lengo likiwa ni kumrudisha mtu kwa Bwana na kuimarisha umoja katika mwili wa Kristo.. "....if anyone has caused grief, he has not so much grieved me as he has grieved all of you, to some extent - not to put it too severely. The punishment inflicted on him by the majority is sufficient for him. Now instead, you ought to forgive and comfort him, so that he will not be overwhelmed by excessive sorrow. I urge you therefore, reaffirm your love for him..... (2Corithians 2:5-8). Ukisoma hili neno na ukaliweka katika muktadha huu utaelewa ni kwa nini ujumbe wako haukuzaa matunda uliyotarajia.
Unaelezea vizuri sana,unamchanganyia lugha si ndio atatafsiri vibaya zaidi maana bible nayo English yake sio ya kuombea maji,bible verse ya kiswahili ingefaa zaidi ili mstari iingie vizuri...
 
Kukataliwa ni stress tooosha! Unaweza ukafanya jambo ambalo hata wewe mwenyewe ukikaa unashangaa whts happened!!
Pole sana mleta mada naona uko na wenzio wengi tu, usijali with time you ll heal!!
Mtoa mada umemtia kibuti nini au mi ndo sielewi hahahaahaa
 
90% ya wanawake waliopo humu ndani ni mikweche. Wamekongoloka Zaidi ya Madada Poa wa Uwanja wa Fisi.

Hapa Jukwaani Shobo kibao,
kutana nao uso kwa uso unaweza kudhani umekutana na Mzimu.

Mifupa imewatoka kama Wagonjwa Wa HIV.. Na Mshukuru uwepo wa Powder Otherwise Mngekuwa kama Betina.....

Unakuta msichana titi limekuwa ndala mpaka linafikia kitovuni Harafu eti anajiita Mzuri... Jitazame upya kisha uje hapa.. Usitegemee kutenda Dhambi huku unajua kwa kutegemea kutubu baadae Huko ni Kujidanganya. Jf ina Vibibi vizee Haina wasichana wa kuishtua mioyo ya Marijali kama Sisi. Kila la Heri... Na wote mngeambiwa muweke picha zenu humu nadhani wengine mngejitoa na jd yenyewe.
Waambieni wazazi wengi humu ndiyo wanajiita eti ma bi'dada koma na mkomae nyie vinyamkera..!

Hakuna mwanamke anaye jitambua mpiga mdomo humu km akiingia ni kuja kuwacheka vimbweka vya jf na kutimua hakuna msichana humu jf zaid ya makoma manga/tired mothers utashangaa binti 23yrs old but kachoka kinyama! Sijui uzinzi alianza na miaka 2 ebu jieshimu nyie wamama!

Tabia yenu ya kushindana na wanaume imewaponza na mtaponzeka tena na tena yaani ni sawa ma mpapai kushinda na mwembe kuzaa matunda; mwembe unaishi 200yrs mpapai five yrs na hapo umetunzwa ila mwembe wenyewe porini unatusua madodo tu...! Aisome hii @lara1.
 
Sio wao wanawake tu, hata nyie mnahitaji huruma ya Mungu
So wote tusogeze maombi yetu mbele ya Mungu,maisha ya ujana is not a joke...hakuna mtakatifu humu wa kumnyooshea kidole mwengine....in such a perspective ntakubaliana kabisa na mleta uzi
Yes,
Ni kila mtu anahitaji huruma ya Mungu, hata haya yangu ya mwisho nlimalizia kwa kusema mwana wa adam alikua kutuokoa wakosefu(wanawake+wanaume)
Pia sio vibaya kwa mtoa mada kuanza kuelezea kwa wanawake, ingawa swala linagusa wote
 
Jamani nlikua wapi sikuona hii mada.Ila mtoa mada kuna yalokukuta si bure

Na Mungu angekuwa mwanadamu mwenzetu kuna watu tungeogopa hata kuingia kanisani mana tungerudishiwa mlangoni.
We ni nani hata useme tunamsumbua Mungu?Hahaha tunamsumbua Mungu, umemfanya Mungu shemeji yako eti?

Eti nyonyo zimelala, kuna wanataka za ivoivo ndugu yangu.Na Mungu kawapa waume wazuri tu.We kama unataka chuchu zilizo simama jitathmini kilasi yako je unazimudu?Utafikiri unaenda kula izo chuchu ndoa ni zaidi ya viuongo vya mwili.

Wache watu wamlilie Mungu bahati nzuri kwake ndo tunapata pumziko la nafsi na sio kwenu.Mwisho kila mtu na mipango yake, sio lazima wanawake wote waolewe wakiwa na miaka 18 mana sio guarantee yakua na maisha mazuri.
 
Acha hasira za kitoto wewe, umwombe Mungu akusamehe dhambi zako, kisha akurehemu upate mume, unapoomba uwe unataja mistari ktk Biblia.
Mungu huwa anapenda kuombwa kwa ushahidi, kuhusu kuomba rehema soma Kutoka 34:7 na Zaburi 78:38.Kuhusu kuvunja falme za giza zinazokuzuia kuolewa, soma Amosi 9:1-4.na Yeremia 51:20-24.
Ukiingia kwenye maombi hakikisha unatamka mistari hiyo, Mungu haombwi kwa mazoea kama binadamu, na usiombe maombi ya kiroma hayana upako wa Mungu.
Tafuta watumishi wa Mungu wakufundishe kuomba ila wasiwe waroma hao hawajui kumwomba Mungu, na pia uache dhambi maana maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
Rudia kusoma bible tena na heshimu wanawake
 
Waambieni wazazi wengi humu ndiyo wanajiita eti ma bi'dada koma na mkomae nyie vinyamkera..!

Hakuna mwanamke anaye jitambua mpiga mdomo humu km akiingia ni kuja kuwacheka vimbweka vya jf na kutimua hakuna msichana humu jf zaid ya makoma manga/tired mothers utashangaa binti 23yrs old but kachoka kinyama! Sijui uzinzi alianza na miaka 2 ebu jieshimu nyie wamama!

Tabia yenu ya kushindana na wanaume imewaponza na mtaponzeka tena na tena yaani ni sawa ma mpapai kushinda na mwembe kuzaa matunda; mwembe unaishi 200yrs mpapai five yrs na hapo umetunzwa ila mwembe wenyewe porini unatusua madodo tu...! Aisome hii @lara1.
Umefanya research ya ulichoandika au umeamua tu kuandika ili ujibiwe unachostahili.
 
Back
Top Bottom