Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Hahaha daddy nikajua kastaafu kunidongoa, kumbe wapi. Ila ndo mzee wangu, sina jinsi
Hahaaa hapo inabidi uwe mpole hakuna namna

BTW hata mimi nilipaona lakini nikajua umejibu hivo kusudi tu coz nyie ni waarabu wa pemba
 
Hahaaa yaani @NANDERA na @atoto mnachonganisha mtu na dady wake eeeh??!! haahaaaaa nyie wabaya sana aiseee
cc @Heaven Sent

Hapana tunamuelewesha tu maana nae akili za darasani zimepitiliza!! Teh teh teh!
Wee nina ubavu wa kwenda basi, Me na daddy angu tena.. kama wigi na direction

Hahahaaaaaaa!! Yaani nikikumbukaga hiyo comment nacheka, daaah baba yako sio mtu mzuri kwakweli.
 
hahahaaa watu na stress za kuishia kuwa vinyozi na wauza mabucha ya samaki siyo mchezo...... hahahahaaaaaaaaaaaa
 
Hahah sasa hapo uliposema kwa mfano usipoolewa halafu mbele ukaweka God forbid inaonyesha dhahiri hupendi kukaa bila kuolewa ,hivi unaijua nafasi ya mwanamke kwa Mwanaume kwenye ndoa ??? Unafahamu busara za kina Easther ndio ziliwaokoa wa Israel ??? Ndio maana Mungu alimpa Adam msaidizi wa kufanana naye ,kwanini Mungu hakumpa Adam msaidizi mwanaume mwenzake ??? Misingi yote bora inatoka kwenye ngazi ya familia amini usiamini ,unajiskiaje unapo mwona simba dume akiwa kwenye territory yake na wanae na mkewe na watoto na Simba dume mwingine hawezi kuingia kwenye hiyo territory, busara kidogo kama za wanyama zinatushinda wanadamu na ku justify vitu visivyo mpendeza Mungu kuwa ni sawa tu ,
Na busara za kahaba rahabu ndo ziliwaokoa wapelelezi wa israel na upelelezi huo ulifanikisha waisrael kuitwaa ile nchi, na rahabu ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa kwenye ukoo (geneology) ya Yesu kutokana na upekee wao. Wengine ni tamari aliyejingonosha kwa baba mkwe wake, mwingine ni mama wa solomon mke wa mtu aliyechukuliwa kwa hila na mfalme daudi, mwingine ni ruth. Wanawake wote waliokuwa wanahesabiwa ni halali hawakutajwa, ila hawa wametajwa tuone na kuelewa maana ya NEEMA. Halafu usijaribu kumfananisha binadamu na mnyama. Mungu aliona sisi kuwa kama wanyama si sawa ndo akatupa reasoning. Kwa hiyo na sisi tule watotot wetu kama wafanyavyo simba, nyau na nguruwe?
 
Ila kunawatu wanapenda kujifariji kwakusema tumechoka,umechoka peke ako na michezo yako ya kishenzi kutaka kufanywa na kila mwanaume katika umri mdogo,saa hizi huwezi kutulia full frustration kila kitu unahisi umesemwa wewe,umechoka peke ako mxiuuuuu
 
Na busara za kahaba rahabu ndo ziliwaokoa wapelelezi wa israel na upelelezi huo ulifanikisha waisrael kuitwaa ile nchi, na rahabu ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa kwenye ukoo (geneology) ya Yesu kutokana na upekee wao. Wengine ni tamari aliyejingonosha kwa baba mkwe wake, mwingine ni mama wa solomon mke wa mtu aliyechukuliwa kwa hila na mfalme daudi, mwingine ni ruth. Wanawake wote waliokuwa wanahesabiwa ni halali hawakutajwa, ila hawa wametajwa tuone na kuelewa maana ya NEEMA. Halafu usijaribu kumfananisha binadamu na mnyama. Mungu aliona sisi kuwa kama wanyama si sawa ndo akatupa reasoning. Kwa hiyo na sisi tule watotot wetu kama wafanyavyo simba, nyau na nguruwe?
Concept yangu ya wanyama umeilewa ndivyo sivyo mkuu , hapo nilikua najaribu ku potray image ya wanyama wakiwa na familia zao ,na jinsi inavyopendeza ,na je si ingependeza zaidi kwa wanadamu ,na huo mfano niliutoa baada ya baadhi ya wadau kusema ndoa haina umuhimu wowote ,tukaenda mbali mpaka kuongelea watawala wa nchi kwanini mara nyingi wanakua wameoa ,hitimisho likawa familia ndio msingi wa mambo yote
 
Komaaaa tena koma we no Mungu kwani? Tuache tumsumbue kwani wapi kasema hataki usumbufu ? Hata we unamsumbua vile vile na vitatizo vyako uchwara ... Umeniudhi watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao
Hata wewe nalo limekupata?
 
hahahaaa watu na stress za kuishia kuwa vinyozi na wauza mabucha ya samaki siyo mchezo...... hahahahaaaaaaaaaaaa

Hahahaaaaaaaa!!! Life likikugonga unapoteza muelekeo, akili,ufahamu na kila kitu, yaani walaaa usiombe, ukijumlisha na kukataliwa na kupondwa pondwa kila siku ndio yeleuwiiiiiiii!!
 
hahaaaa ngoja niondoke hapa sikujua kumbe hata nao huwa desperate.
 
Na busara za kahaba rahabu ndo ziliwaokoa wapelelezi wa israel na upelelezi huo ulifanikisha waisrael kuitwaa ile nchi, na rahabu ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa kwenye ukoo (geneology) ya Yesu kutokana na upekee wao. Wengine ni tamari aliyejingonosha kwa baba mkwe wake, mwingine ni mama wa solomon mke wa mtu aliyechukuliwa kwa hila na mfalme daudi, mwingine ni ruth. Wanawake wote waliokuwa wanahesabiwa ni halali hawakutajwa, ila hawa wametajwa tuone na kuelewa maana ya NEEMA. Halafu usijaribu kumfananisha binadamu na mnyama. Mungu aliona sisi kuwa kama wanyama si sawa ndo akatupa reasoning. Kwa hiyo na sisi tule watotot wetu kama wafanyavyo simba, nyau na nguruwe?
I ain't proud of you, I'm so grateful for your wisdom. Ubarikiwe wewe na kizazi chako
 
Hahaaaa hebu na tunyamaze sasa, make akili zilivyomzidi asije kuanza kutuchangania humo humo na kidhungu tukapata kazi ya kutafuta mtafsiri bure

Kingreza kwake ni nehiii, kwahiyo hataa usipate shida, mpaka aje akiunge unge kiandikike ashasinzia zamaniiiii.
 
Concept yangu ya wanyama umeilewa ndivyo sivyo mkuu , hapo nilikua najaribu ku potray image ya wanyama wakiwa na familia zao ,na jinsi inavyopendeza ,na je si ingependeza zaidi kwa wanadamu ,na huo mfano niliutoa baada ya baadhi ya wadau kusema ndoa haina umuhimu wowote ,tukaenda mbali mpaka kuongelea watawala wa nchi kwanini mara nyingi wanakua wameoa ,hitimisho likawa familia ndio msingi wa mambo yote
na ukatoa mfano wa mchango alioutoa malkia esta kwa sababu alitumia nafasi yake ya kuolewa na mfalme kuokoa taifa lake tena baada ya kushtuliwa na mordekai. Hivi hivi asingejiongeza. Ndo maana na mimi nikatumia mfano wa malaya rahabu ambaye naye alitoa mchango wake kuokoa wapelelezi wa israel katika nafasi yake ya ukahaba. Kwa hiyo ester mwanandoa na rahabu kahaba wote Mungu aliwatumia kutekeleza mipango yake. Huo mfano wa wanyama nami nimekuonyesha upande wa pili wa familia za wanyama pia.
 
Back
Top Bottom