Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Duuh..Huu uzi ndo umefika huku..Mbombo ngafu
 
Bikra ushamba tu,sema anachonga sanaa kuhusu mkewe ndo nikampiga swali dogo tu, JE BIKRA? Kama sio bikra ajue tu wenzie walikula kwa fujo, walikula bila kumbakishia baba basi.
Ok, nlijua ndio TOOLS yako sasa ya kuturingishia....!
Teh teh..!
 
Hujaviona tu mkuu? Page ya 4o na kituu bado?

We nawe kama gaguro la muhindi, cha ajabu vilio vyenu ndio vimekuwa vingi shemeji, unajua vilio vya wanaume machozi hurudi ndani!! Hii mbaya zaidi.

Hivi mdogo wangu anapigwa baridi huko we unachepuka huku muda huu!! Haya kalale.
 
Kwaiyo hata kama sijakupenda nikubali tu kwavile umri umeenda lool hapana na mwanaume strong tu ndo anaweza.kulea mtoto wa mwingine nyie nguvu ya soda ndo mnajua kutelekeza tu,mbona sisi tunawalelea wenu
 
Mleta wewe ni great thinker ulichokiandika ndicho tunakishuhudia humu mtaani. Unakuta mdada wakati chuchu saa sita anakupita bila hata salamu na ukimpa hai utakuta wengine hawapokei sasa wameishia kuzalishwa tu na kuachwa. Ukikutana na shida analeta storii nyingi zisizo na tija ili mradi ajipendekeze kwako huku chuchu zishakua kama lapulapu nani akuoe
 
Kwaiyo hata kama sijakupenda nikubali tu kwavile umri umeenda lool hapana na mwanaume strong tu ndo anaweza.kulea mtoto wa mwingine nyie nguvu ya soda ndo mnajua kutelekeza tu,mbona sisi tunawalelea wenu

Na sio kupenda tu!! Unampendaje mtu asojielewa wala kujipenda yeye kwanza? Maisha yake yenyewe kamari ukajitumbukize tanuruni!!
 
Back
Top Bottom