Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

We nawe kama gaguro la muhindi, cha ajabu vilio vyenu ndio vimekuwa vingi shemeji, unajua vilio vya wanaume machozi hurudi ndani!! Hii mbaya zaidi.

Hivi mdogo wangu anapigwa baridi huko we unachepuka huku muda huu!! Haya kalale.
Leo.....! Khaaa. Kweli umeniamulia shemdarling duuh.
Asante kwa kunikumbusha.

Majukumu nimeshatimiza shem, nime relax tuu, naangalia...
 
Na sio kupenda tu!! Unampendaje mtu asojielewa wala kujipenda yeye kwanza? Maisha yake yenyewe kamari ukajitumbukize tanuruni!!
Kweli kabisa unakuta limtu halijui hata wajibu wake kama baba wa familia,,uwezo tu wa kureason mamba ni F kama mtoa mada alaf unasema eti ngoja tu niolewe nae ivo ivo lool nani kasema,tunaishi mara moja ivo lazima tufurahie maisha siyo kuishi kwa shida kisa kuridhisha watu no kwakwel
 
Ukute Adam alienda kujisaidia tu na nyoka akaitumia ile nafasi jamani, sasa wewe ulitaka muda wote Adam amchunge Eva?
angejisaidia pale pale. kumbuka kabla hawajala tunda walikuwa kama wanyama tu. baada ya kula tunda ndo wakagundua wako uchi.
 
Na kama unaona hao hawakufai kwan wamekulazimisha uwafuate kuna watu hao ambao unawataka wewe nenda uwafuate na wanaume ambao wanajielewa na kujimudu watawafuata hao ambao ww huwataki mbona simple tu ukute hata mtoa mada na yeye kalelewa na baba na baba mlezi alaf anaongea ongea hapa what if uyo baba asingekubali kukuhudumia wewe leo ungekuwa apo?
 
Kwendeni zenu huko ,mnajifanya mid 20s wapi?mnafikiri mnavyolopoka haitoshikujua nini kinasumbua?wewe kaachini kama bahati yako utaolewa hata kama maziwa yamefika magotini,hatakama unawatoto mia,ila haibadilishi ukweli kama ukiwa binti ulichemka kwa umuch know wako ukazeeka kabla ya muda,
Watu wameolewa na 40s na wanaonekana wakawaida tu,tuseme ukweli michezomichezo ya wanaume inafubaza,atakuoa hata kwambia ila anajua we ulikuakijamvi.
sasa mpaka aoe kijamvi kakosa nini naye?? ndo kusema ana huruma sana au????
 
Pole kwa waliopigwa na jiwe kuuubwa la gizani
 
sasa nimeona mlio yao wacha waisome tu no maana hakuna namna na waache kusumbua Mungu wetu kabisa
Mkuuu Mungu ndio kimbilio....!

Yesu ndio Mume wa wajane, Baba wa yatima, n.k so hata hawa acha wasogeze mahitaji yao mbele ya Mungu wapate kufunguliwa na vifungo.

Unakumbuka mwana wa adamu alikuja kwa ajili yetu tuliopotea na tunaopotea?
 
Acha hasira za kitoto wewe, umwombe Mungu akusamehe dhambi zako, kisha akurehemu upate mume, unapoomba uwe unataja mistari ktk Biblia.
Mungu huwa anapenda kuombwa kwa ushahidi, kuhusu kuomba rehema soma Kutoka 34:7 na Zaburi 78:38.Kuhusu kuvunja falme za giza zinazokuzuia kuolewa, soma Amosi 9:1-4.na Yeremia 51:20-24.
Ukiingia kwenye maombi hakikisha unatamka mistari hiyo, Mungu haombwi kwa mazoea kama binadamu, na usiombe maombi ya kiroma hayana upako wa Mungu.
Tafuta watumishi wa Mungu wakufundishe kuomba ila wasiwe waroma hao hawajui kumwomba Mungu, na pia uache dhambi maana maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
Jinyenyekeze kwa Mungu. Una tatizo la kuhukumu na ukali na kiburi cha kujua "neno" kuliko wengine. Ushahidi unajionyesha hapo juu. Unapata wapi hata ujasiri wa kusema waroma hawajui kumuomba Mungu? Unakumbuka sala ya yule farisayo? unaelekea huko kama hauko huko. Usiwe farisayo. Kumwa mnyenyekevu (humble) na Mungu atakuinua. Sina hakika kama kuna mroma asiyejua sala ya Baba Yetu aliyotufundisha Yesy mwenyewe. Na Roho Mtakatifu ndiye anayetufundisha kuomba, na sina taarifa kama anachagua madhehebu. Kama mkristo ukiona dhambi unatakiwa uikemee kama Kristo anavyotaka lengo likiwa ni kumrudisha mtu kwa Bwana na kuimarisha umoja katika mwili wa Kristo.. "....if anyone has caused grief, he has not so much grieved me as he has grieved all of you, to some extent - not to put it too severely. The punishment inflicted on him by the majority is sufficient for him. Now instead, you ought to forgive and comfort him, so that he will not be overwhelmed by excessive sorrow. I urge you therefore, reaffirm your love for him..... (2Corithians 2:5-8). Ukisoma hili neno na ukaliweka katika muktadha huu utaelewa ni kwa nini ujumbe wako haukuzaa matunda uliyotarajia.
 
Hahaaaaa! Chungu cha kupikia toka lini kikawa dawa? Au sumu ishakuingia akilini? Nilichoelewa mimi kina kuhusu nini? Toa hoja zako sio kunifata makalioni kwenye hoja zangu bila sababu. Huna haya kama kopo la chooni kutwa kuchaaa kuchungulia nyuchi za rika zoteee. Hahaaaaaa! Kajambe mbele.
mh eti kopo la choo kutwa kuchungulia nyuchi ha ha ha ha ha laaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom