wanaume huwa hatu fake vitu kama nyie na kama hatuwezi kujisifu kipuuzi. Umekaa nyuma ya keybord unaandika unachojisikia lakini ukweli upo moyoni Mwako. Mmekuwa kama Vituko mtaani.. Mpo kama makatuni.
Mungu Anatuvumilia kwa Mengi lakini kwa upande Wenu Nyie ni Zaidi. Ukiona shoga ako ana bwana mzuri na mwenye nazo nawe utapiga goti na kumuomba Mungu akupe kama Huyo.
Umetoa mimba zaidi Ya nne kwa makusudi mpaka kizazi kimelegea mimba zinatungwa nje utaenda kupiga goti.
Ukiona mwenzako anamiligi kagari na hujui amekapata kwa njia gani, nawe utakwenda kupiga goti Mungu akupe..
Wakati mwingine hata mtu akivaa wigi na kupendeza nawe unakimbilia kumuomba Mungu Akujalie ulipate.. Sasa huo si ndio Ujinga?
Wengi mnabebwa na Powder na Mawigi.. Ukitembea kama Unarudi Nyuma... Mgongo na kalio havijulikani Vilipo... Harafu eti Mungu nisaidie!!
Jikubalini Mlivyo.. Ukiona ushakula Ujana na Sasa uzee umekupigia Hodi kubali matokeo Tu
@Lala 1 hakuna atakayekucheka lakini kama uliwalingia mtaani basi ni zamu yako kujuta.