sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Ha haa raha ya huu uzi ni kwamba umetukumbusha tuzidi kumtegemea Mungu tofauti na nia ya mtoa mada kwamba tukae(mkae) mbali naee....Tupate masong ya kuanzia siku
1.Mungu amenihurumia, Tendo hili kubwa sana
Sikustahili jambo hili, nimelipata bure tu
Sasa najua haya yote, sasa najua haya yote
Nasifu rehema zake, Nasifu rehema zake.............
Song no.2 huu wimbo ni wa Roman Catholic
Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, (nani angesimama)×2
Nani angesimama mbele zako
N:B @atoto na @brenda18 tafadhali muimbe tu kimoyomoyo, I go no trust sauti zenu za mikwaruzo namba 9 na nusu mmmh. Msubiri tu wimbo wenu spesheli
Naona unaanzisha pambio...bado @atoto ataanzisha ile ya kuabudu