sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Ndio hapo sasa kila mtu anamizigo yake kuipeleka huko teh teh....Oooh kumbe mnajishaua hapa kutufukuza kumbe mnataka tupunguze jam? Tunabanana tu hadi atusikie wote, unless atuambie mwenyewe maana ndie alituambie twende kwake sisi tanaoelemewa na akina nyie!
Ngoja nilipeleke furushi langu huko, but msubiri tujibiwe sie tukipata pesa tuje tuwaoee sasa....
Hapo Bwana aliyejuu atakuwa amesolve two problems..