Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Mijanaume mibahili utaijua tuuuu...na wee mtoa mada si buree utakuwa umezoea kitonga... et screpaa we mwenyewe hapo screpa umetumika hadi umeisha ladha hata ukioa malaika atakukumbia baada ya mda mana huna ladha....
Hahahha Kweli Hii Mada Mbaya Sana Kwa Mwendo Huu.. Naona Kama Wahusika Ndo wanajibu sanaaaa.. Joke[emoji23] [emoji23]
 

Watu tuna hasira tukifanya reflection ya jinsi maisha ambavyo yangekuwa mazuri bila uasi mliotufanyia!

Sema ndo hakuna namna tena.
 
@house girl katoa boooonge la msonyoo akajipitia maana hataki kuchafua jioni yake kwa kumjibu huyu mvulana alokataliwa.
Ngoja nikamsome, maana nimekuta uzi umeenda mbali sana sijamaliza kuusoma wote, hope one army woman @lara 1 naye kaishatoka kanisani sasa, ahaaaa eti vikopo vya chooni kuchungulia.... duuuh!!
 
Ngoja nikamsome, maana nimekuta uzi umeenda mbali sana sijamaliza kuusoma wote, hope one army woman @lara 1 naye kaishatoka kanisani sasa, ahaaaa eti vikopo vya chooni kuchungulia.... duuuh!!

Hajacoment kabisa bwana
 
Watu tuna hasira tukifanya reflection ya jinsi maisha ambavyo yangekuwa mazuri bila uasi mliotufanyia!

Sema ndo hakuna namna tena.

Uasi mliojifanyia kwa michepuko yenu, michepuko mliianza siku nyingi, alafu si ndio wenye akili nyie mlioambiwa muishi nasi kwa akili? Sasa ilikuwaje nanyi mkala tu bila hata kushirikisha ubongo?
 
That is my dada. Halafu kumbe nimerudia maneno yako (kuishi kwa neema). Nilivyoona kurasa zaidi ya ishirini nikasema ni-comment kabla sijachoka kumbe nafanya marudio, lakini nimeongeza msisitizo.
 

Thread closed.
 
Naona wakora walioguswa na huu uzi wanatema sumu kama nyoka!teh teh teh
 
Acha hasira za kitoto wewe, umwombe Mungu akusamehe dhambi zako, kisha akurehemu upate mume, unapoomba uwe unataja mistari ktk Biblia.
Mungu huwa anapenda kuombwa kwa ushahidi, kuhusu kuomba rehema soma Kutoka 34:7 na Zaburi 78:38.Kuhusu kuvunja falme za giza zinazokuzuia kuolewa, soma Amosi 9:1-4.na Yeremia 51:20-24.
Ukiingia kwenye maombi hakikisha unatamka mistari hiyo, Mungu haombwi kwa mazoea kama binadamu, na usiombe maombi ya kiroma hayana upako wa Mungu.
Tafuta watumishi wa Mungu wakufundishe kuomba ila wasiwe waroma hao hawajui kumwomba Mungu, na pia uache dhambi maana maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
 
That is my dada. Halafu kumbe nimerudia maneno yako (kuishi kwa neema). Nilivyoona kurasa zaidi ya ishirini nikasema ni-comment kabla sijachoka kumbe nafanya marudio, lakini nimeongeza msisitizo.
Nimeona kule ulivyocomment Nikasema " that's my sis". Umefunga thread...... Ni kwa neema tu
 

Kwa Majipu yanavyotumbuliwa wengi wenu mtakuwa wahanga.
 
Ni kweli hata mimi nina dhambi. ila Ni vizuri ukweli ukasemwa kina dada wamezidi sana nyodo.
mwenye hekima hukubali kukosolewa bali mpumbavu hukasirika.
 
naweza kuwa nimedandia gari kwa mbele. Huyo mama monalisa kama alizaa ujanani (aliharibu ujana) mbona aliolewa tena uzeeni? Au Mungu alisahau akamsikiliza? Na huyo aliyemuoa hakuona vigori? Na huyo mona aliyetunza ujana wake vizuri akaolewa in her early 20s yuko wapi sasa? Hakuna kanuni ila nakubali ni vizuri kujitahidi kujitunza ila tukianguka tunyanyuke tusonge mbele. Hakuna bingwa wa matatizo. Kulinganisha bibi zetu waliozaa dozen enzi hizo na zetu si sawa. Wangefanya nini kingine baada ya kuvunja ungo? Kusoma? Kufundisha? Kuwa wahasibu? kurusha ndege? Hata mama zetu hawajafata nyao za mama zao. Wamezaa 6, 4, 3. Sisi hata tukioana mapema tunazaa 2, 3,1. Tunakoelekea tutachagua kutokuzaa au tutazaa kwa kubembelezwa na serikali. Ni nyakati.
 
Kwani Mungu ndo alivyokuambia kuwa Waroma hawajui kumuomba?au yy hasikilizi sala zao?
 
Pole sana, you're badly injured, unfortunately you can never have a good looking hubby like me as well as good in doing both old and modern sex.
Hahahahaaaaa! NDO UNAVOJIDANGANYA HIVO? Nyokoooooooo! Mimi born town wewe siwi injured kimaandazi. Mtu wa goals na vision siokoti makopo ya chooni kipompi pompi.

HAHAHAAAAAAA! GOOD LOOKIG LIKE YOU! BEACH PLEASEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Doing good in sex! Mxiuuuuu! THE GREATEST LIES OF ALL ARE THE ONCE YOU TELL YOUR SELF!

I GUESS MKEO HUKUMKUTA BIKRA! Hahahahaaaa! Very predictable couple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…