Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kwa kazi gani anayoifanya zaidi ya KUCHAMBA INSTA USIKU NA MCHANA? Worse off anamchuna ex wake na kutumia na kaka. Si bora hawa wa kitaaa. Puuuuuu! Njaaa mbaya.
no, ni mfanyabiashara na alikua mwanamziki mkubwa tu na alishachukua tuzo za kimataifa, unadhani diamond ni boya kiasi hicho kweli?
 
Kabla ya kusoma hii thread sikuwahi kuona ukubwa wa hili tatizo, duuh kumbe kuolewa kunaweza kuharibu saikolojia ya mwanamke vibaya mno !!!

KUOLEWA NA WANAUME WENYE PESA NDO KUNAHARIBU SAIKOLOJIA ACHA TU. Ila vikopo vya chooni kelele nyingiiii, kukaza hujui, hela hunaaa, MBURAAAAAAAAAAA! Kinu cha mae!
 
KUOLEWA NA WANAUME WENYE PESA NDO KUNAHARIBU SAIKOLOJIA ACHA TU. Ila vikopo vya chooni kelele nyingiiii, kukaza hujui, hela hunaaa, MBURAAAAAAAAAAA! Kinu cha mae!
Teh teh dada @lara1 ukianza kifika 35 nicheki nitakua na mpunga wa kukutosha
 
mambo mengine humu yanawakatisha wadada tamaa kbs ila vumilien tu yatapita.
 
Kuna walioa lkn wanadharaulika kuliko hata ambao hawajaoa
ok,naona hujanielewa..namaanisha ukiwa na watu wawili wote wanafanana kwa kila kitu isipokua mmoja ni family man/woman na mwingine sio, yule mwenye family anaheshimika zaidi, kama unapingana na hili unapinga ili kujifurahisha ila ndio ukweli
 
kuoa/ kuolewa sio lazima ila inaongeza heshima
NA KUPUNGUZA HESHIMA VILE VILE. Olewa na kapuku mkakae kiluvya, utajifunhua, utabatiza, utapatisha kipaimara, hakuna shoga hata mmoja wa ofisini atakae kanyaga kwako. Miaka 8000000000. Olewa Masaki hapo, ijumaaa simu za kesho upo utachikia mwenyewe. Mwenyewe shoga angu wa Kitunda mtoto ana miaka 4 sijaenda kumuona. Hahahaaaa! INAPUNGUZA HESHIMA KWELI KWELI.
 
The good thing ni kuwa mawazo ya Mungu sio kama ya wanadamu, hivyo endelea kujifurahisha hapa jamvini na kujivisha kofia ya kumuonea Mungu huruma
Ni kweli kabisa mawazo ya Mungu si kama ya mwanadamu, lakini imeandikwa usizini, na Mungu anachukia sana dhambi, kwa hiyo ukitenda dhambi lazima ukutane na adhabu kali, usitafute excuse eti kwa sababu Mungu si binadamu basi atakuangalia tu, au ata entertain upuuzi wako, you must pay the price first, wewe kama binti kwani hujui kuwa wewe ni sawa. na ua tu? kwa hiyo unavyofanya upumbavu unatarajia nini?
 
Back
Top Bottom