Eeeh ndoa ni ya "muhimu" kwangu, mind you sio lazima. Sio kama nisipoolewa ntajinyonga, hapana, I have too many things to be grateful for. Ila ukiniambia niolewe lazima vigezo na Masharti yangu vizingatiwe. Bila hivyo ntazeeka tu freshhhhhhh. Siolewi kwa mkumbo wala kwa kulazimishwa
Teh God forbid tunaiongelea kwenye kitu ambacho tunawish kisitokee, but kinaweza kikatokea pia vile vile.
Mke ni msaidizi yes, lakini pia mke huyo huyo anaweza akawa your downfall Eg Anania na Safira. Naweza nikawa sijaamua kuolewa pia simply because nazidi kijifahamu nimebeba kitu gani ndani yangu cha kumsupport mwanaume aliyebeba kusudi la aina gani. Nikiolewa tu na mwanaume ambaye amebeba kusudi lisilonihusu, ndoa kushney. Kwa hiyo it's not all about kuolewa, ni unaolewa na nani. Kwa sababu kila mwanaume ni mume, lakini sio kila mume ni mumeo, Msubiri Mr right wako. Mwisho kabisa Ndoa ni wito, na sio wote wameitwa