Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Hilo la menopause nimelitolea tu mfano uone kwenye uhalisia maisha yetu wanadamu yamepungua sana kufika hiyo 70 kwa kizazi chetu ni kazi kubwa sana , sawa wacha wenye imani zenu muendelee kuamini kila mtu ataolewa kwa wakati sahihi ambao Mungu amempangia japo tokea na zaliwa sijawahi kuhudhuria sherehe ya mwanamke anaolewa akiwa na miaka 50 kisa ndio wakati wake aliopangiwa na Mungu .
Tufanye yote ila mwisho wa siku try to make choices you can live with
Mama ake Monalisa msanii ameolewa akiwa na miaka 46. It's not all about getting married, but staying married + happiness. Hivi unadhani hakuna watu ambao hawajawahi kuolewa kabisa hadi uzee wao na wanatamani kweli ndoa? Hawakupata potential candidates, wafanyaje sasa?

Ndoa ni kitu kizuri kama mtu ataoa/kuolewa kwa hiari/ upendo wake etc, but sio kwa kulazimishwa na watu au circumstances. Unategemea kwamba wote wataolewa before 30s? Kama mtu hajapata mtu sahihi kwa nini akurupuke kuolewa? Si ndo hayo kila siku ndoa chalii, mara mke wa ndoa kazaa na mchepuko eish. Maana uliolewa ili tu usichekwe na watu, baada ya muda kidogo no compatibility at all.

Me naona ni bora mtu akawie kuolewa ila akiolewa aolewe na mtu sahihi. Kama mtu atabahatika kuolewa at her young age basi ndo fungu lake. Mungu hakawii wala hachelewi mpendwa.
 
Last edited:
Wanajulia wapi hilo sasa wamekajia majungu tu wanaume wazimaaa na kushangaa chuchu za wanawake, kazi hawafanyi wakishakataliwa ndio limtu kurupuuuuu!! Wafanye kazi huko waache success ziongee.
Kwanza akiwa anakufata anaona chuchu sa sita,ukishamkataa zinaanguka vuup sa kumi na moja kasoro... Teh hawa watu hawanaga jema...
 
Tusingepona mbona...
Huyu atakuwa ana nyota ya kukatwa,kila anapogusa anapigwa chini unategemea nini...
Na hapo ni dhahili hana pesa,angekuwa nayo asingepiga kelele hapa...
In short wanaopiga kelele hapa pesa ni shida ingekuepo wasingeyajua hayo....
Hasira zimeanzia kwenye kuachwa hahahaa vigezo na masharti kuzingatiwa,wakiachwa wawe wapole tu wajue kura hazikutosha eboo
 
teh teh mada mbona inaeleweka tu dadaangu, ahsante mleta mada, bado mmoja sijamuona,

Kafanye kazi huko acha kufuatilia wanawake eti mmoja hujamuona, shughuli zako wafanya saa ngapi kama mna kazi ya kuchungulia tu chuchu na nani kachangia nini?? Mkikataliwa gubu linaanza, walah acha tupige kazi tuwawowe tu maana hamna namna
 
Walianza huu mwaka kwa threads kibao, haya sasa! Dongo lao la ukweli hili. Mleta uzi hongera, watakuja wengi na mipasho ma matusi ila ndo ukweli huo!
 
akija mchumba mukimkataa eti hana pesa nyingi.ujuwe huyo mwanamke.atapata majanga tu hapa duniani.laana ya kumkataa huyo kijana anaetaka kuoa lazima itaishambulia hiyo familia iliyokataaaa
Hahahaa wewe kaka hebu usichekeshe umati,laana zingekuwa zinagawika ka pipi basi wengine tunatakiwa tuwe outcasts... We tafuta helaaa
Huna hela mtoto wa watu utamlisha nini..mnataka tuwabebe mizigo yenu....
 
Alijisemea @house girl kuwa kuna wanaume inabidi tu uwashauri kwa upoleee wasizae ili kizazi chao kiishie kwao tu!! Wanawake tuna mizigo sisi acha tu! Ukute huu nao ni mzigo wa mtu anagugumia nao huko!!
Hahahaa @house girl alipo aje ajionee
Wanawake tuna tabu sana,mume kama huyu aisee...
 
Binafsi sijampangia Mungu wala kumhukumu mtu, wala kumcheka mtu kutokana na hali fulani.

ni 30+ na sio 20+ au wengineo ndio age haswaa mleta mada aliyoilenga. Nlichosema nlisema kutokana na uzoefu wangu wa jf. Mtu akileta mada huwa inakuwaje.... kama ilivyotokea (vichambo, panik, matusi n.k) jiwe gizani kama kawaida.

Otherwise ni changamsha genge, this is jf....!

Hiyo ya 30+ nakuonaga umeikazania as if wewe ndio mpangaji wa hizo ndoa, jamani shemeji waacheni watu waolewe kwa wakati waliopangiwa na Mungu, kina kaka wangapi wamesanda hukoo kutafuta wa kuoa kila mtu anamkataa hadi anatia huruma!! Wanawake tu ndio mmewaona?
 
Kafanye kazi huko acha kufuatilia wanawake eti mmoja hujamuona, shughuli zako wafanya saa ngapi kama mna kazi ya kuchungulia tu chuchu na nani kachangia nini?? Mkikataliwa gubu linaanza, walah acha tupige kazi tuwawowe tu maana hamna namna
kwani ugomvi, BTW leo nipo off ndo maana nazurura humu, mada haihusu kukataliwa kumbuka
 
Mama ake Monalisa msanii ameolewa akiwa na miaka 46. It's not all about getting married, but staying married + happinsss. Hivi unadhani hakuna watu ambao hawajawahi kuolewa kabisa hadi uzee wao na wanatamani kweli ndoa? Hawakupata potential candidates, wafanyaje sasa?

Ndoa ni kitu kizuri kama mtu ataoa/kuolewa kwa hiari/ upendo wake etc, but sio kwa kulazimishwa na watu au circumstances. Unategemea kwamba wote wataolewa before 30s? Kama mtu hajapata mtu sahihi kwa nini akurupuke kuolewa? Si ndo hayo kila siku ndoa chalii, mara mke wa ndoa kazaa na mchepuko eish. Maana uliolewa ili tu usichekwe na watu, baada ya muda kidogo no compatibility at all.

Me naona ni bora mtu akawie kuolewa ila akiolewa aolewe na mtu sahihi. Kama mtu atabahatika kuolewa at her young age basi ndo fungu lake. Mungu hakawii wala hachelewi mpendwa.

Natasha ameolewa akiwa na miaka 46 ila Monalisa alimzaa akiwa na umri gani ?? Tuseme asingeolewa vipi angekua analia lia na yeye sasa hivi ???Mara nyingi sisi watoto tunajifunza kutoka kwa wazazi wetu ,hivi wale wa mama hasa wa zamani waliokua wanazaa watoto mpaka 12 unafikiria wali olewa wakiwa na umri gani ??? 30 something ???? Mwisho wa siku kila mtu awe responsible kwa matendo yake sio kupeana mizigo isiyo na maana
 
naona umeamua kutumia fursa vizuri..kuwa baba huruma ili ujipatie likes za mabinti

Yaani MWANAUME akiongea utamtambua tu, huoni hata wewe umemkubali? Thats a talk of a man.
 
akija mchumba mukimkataa eti hana pesa nyingi.ujuwe huyo mwanamke.atapata majanga tu hapa duniani.laana ya kumkataa huyo kijana anaetaka kuoa lazima itaishambulia hiyo familia iliyokataaaa

Dua la kuku hilo, wengi waliwakataa na maisha yanasonga vizuriiii
 
Hiyo ya 30+ nakuonaga umeikazania as if wewe ndio mpangaji wa hizo ndoa, jamani shemeji waacheni watu waolewe kwa wakati waliopangiwa na Mungu, kina kaka wangapi wamesanda hukoo kutafuta wa kuoa kila mtu anamkataa hadi anatia huruma!! Wanawake tu ndio mmewaona?
Teh teh sawa shem, ila hao ndio wanaorushiwa mawe mnoo....

Sipingani na wewe kwamba kiimani hamna ukomo wa umri wa kuolewa. Ila kiutamaduni hususaini hizi za kiafrika ndio hapo matatizo yanapoanzia ndio maana unaona wanawake ndio haswaa huwa wahanga wa umri katika kuolewa.
 
Teh teh..Kuna wagonjwa wanamlilia Mungu deile na hawaponi kumbe kuna hawa viumbe ndo wanamkip Aliyejuu bize kwa maombi yao ya kisumbufu..Angrrrrr
 
@brenda18

Au ukimkubali zinanyanyuka ghafla, ukimkataa weeee hamna rangi utaacha ona, utachambuliwa hadi vinyweleo
 
Last edited:
Natasha ameolewa akiwa na miaka 46 ila Monalisa alimzaa akiwa na umri gani ?? Tuseme asingeolewa vipi angekua analia lia na yeye sasa hivi ???Mara nyingi sisi watoto tunajifunza kutoka kwa wazazi wetu ,hivi wale wa mama hasa wa zamani waliokua wanazaa watoto mpaka 12 unafikiria wali olewa wakiwa na umri gani ??? 30 something ???? Mwisho wa siku kila mtu awe responsible kwa matendo yake sio kupeana mizigo isiyo na maana
Alie lie kwa sababu gani jamani, kukosa ndoa sio kitu cha kukufanya ufe kabla ya wakati wako, Mungu anaweza asikupe ndoa but akakupa baraka nyingine nyingi tu. Kuna watu walizaa watoto 12 but Mungu aliwachukua wote kabla hata mama yao hajazeeka. Nani ambaye hajaolewa kwa sababu ya matendo yake afu kakubebesha mzigo wewe? Atakubebeshaje zigo lake jamani, labda kama umejisikia kumbebea. Sio wote ambao hawajaolewa ni kwamba walichezea ujana wao, au wanaoolewa wote ndo watakatifu please. Na kuna watu wameolewa lakini wameachika na kuna wengine hapa tunavyoongea wanaachika. Ndoa sio kila kitu mpendwa
 
Back
Top Bottom