Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
doh! hivi kuolewa ni usumbufu eeh?
kuwa na uhakika na unachokisema mkuu!
Ndugu yangu, watu wengine ni wa kuacha tu.
Hivi kweli mtu anaweza kushadadia picha ya mdada mwingine mpaka kuweka ofisini . . . just for nothing??
Kwanini asimweke mkewe, mama, mwanae au hata bibi yake???
Yaani hapa anayetafutwa ni mmoja tu . . i.e Mwali.
Sie wengine tunatumika kurefusha thread tu.

zomba huyo kwenye avatar sio mimi orijino.Kipipi huyo ni wewe orijino? MashaAllah.
Mabwaku! Ana kazi basi, kama kutongoza ndo hivi, basi huyu bila shaka ni domozege! Tena zege la strabag lile linalokauka haraka!
Tuweke ili iweje.........?
Jamani hii thread ilinipitaje??? Thank you zomba for pointing that out.
AshaDii, Kaizer, EMT, snochet, kigungu, King'asti, The Boss
Na wengine wengi wamesha niona live na wanaweza thibitisha originality
I would encourage other members to just put their pictures as avatars
Huu mtindo wa kua anonymous ni wa zamani, no need to worry anymore
JK amesha tuhakikishia uhuru wa maoni, we can comment openly now!
Weka bana! Mi niliweka ya sura ika-create traffic jam on my page, so nimeacha ya sura wazi kule page, huku kwenye threads nafunika kidogo... heheheheheBila ubishi my niece.. Na Zomba hajakosea kabisa. Wacha na mimi nikusanye courage ya kuweka yangu :glasses-nerdy:
Mimi sijiamini, wewe kama unajiamini weka ya ukweli, wacha kulalama.
hapo niliachwa nalilia penzi,
mi hata hiyo avatar yako hoi,hizo kope,lips na kipua kidogo mi hoi
usi-shy bhana angalia kidogo i want to see ur smilea very shy girl.......
Pole kwa kuacha,its not a good feeling at all