Kama hiyo avatar ni wewe, nakuomba radhi, kama si wewe, basi unalo.
....hakana kamera mwaya! Kumbe mwenzetu unatumia zile bwaku bwaku!Nitumie japo kwenye pm, kwani kamchina kako hakana camera?
Hivi wewe ungekuwa na ka-akili japo kadogo, ungetumia picha ya marehemu kama avatar yako?