Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

samahan kuuliza kwani wewe ni mkaguzi wa sura za watu? yako ipo wapi? kwani mwenzangu afu anaetakka ona sura ya mtu asemagi hadharani wengii washaziona sura za wengi humu na tumeridhika haya yakusibu yapi mwanakwetu kutaka picha za watu au mwenzetu.......... mason(jokes)

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Bora wewe umeamua hukuweka picha za wafu.
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Bora wewe umeamua hukuweka picha za wafu.
bado hata sijachelewa kwani we ulikua watakaje nenda basi facebook ukaone vimwana natural humu waache watu na na avatar zao.
 
bado hata sijachelewa kwani we ulikua watakaje nenda basi facebook ukaone vimwana natural humu waache watu na na avatar zao.

facebook ndio nini?

Hebu pitia hii nyuzi mwanzo mpaka mwisho, utajuwa kama umechelewa au bado, ngoja mualiko wa muhula wa pili.
 
facebook ndio nini?

Hebu pitia hii nyuzi mwanzo mpaka mwisho, utajuwa kama umechelewa au bado, ngoja mualiko wa muhula wa pili.
sijachelewa coz sijaona kama kuna mualiko rasmi hapo nimeona wakina dada sasa kama ni inahitaji wadada particularly by their names sawa na msimu ujao upi nabanana hapa hapa kama ingekua imeisha basi ungefunga mada... kaka mentor hebu kuja hapa mana naona Zomba anantafuta
 
Wewe kweli nasty, unaniitia bouncer?

Watu tunapeleka posa, wewe ndio kwanza unaanza mjadala? haya tuendelee, weka picha yako tuone u nasty wako.
 
Wewe kweli nasty, unaniitia bouncer?

Watu tunapeleka posa, wewe ndio kwanza unaanza mjadala? haya tuendelee, weka picha yako tuone u nasty wako.
thubutuuuu utabaki hapohapo kama ushapeleka posa wacha sasa ukurumbembe
 
Kama kina dada wa JF mnajiamini wekeni picha zenu za ukweli na si kuparamia ma avatar ya warembo wa nje.

Nampongeza Mwali, ni yeye mwenyewe orijino na ni mrembo haswa, natural, hakuna mkorogo wala kujificha.

Utakuta miji-dada mingi humu haitazamiki kwa mkorogo na nywele za maiti.

jamani kutafuta mchumba ni kazi, ungesema ukweli ningekusaidia hata mawazo , we endelea subiri picha ujichagulie
 
unatafuta umaarufu kwenye mgongo wa watu eti nawe ujulikane cc, nenda meza ya kwenu kule huku utapata stress bure , heee heeee umaarufu hauji hivyo best, jitangaze wewe mwenyewe sio kudandia migongo ya watu shauriro kwa kwaaa kwaaaaa tehe tehe tehe tehe tehe tehe
Bahati yako swaum imenishika, ningekujibu.

Unapenda brush eenh? naona unaitangaza kwenye avatar ya kuazima.
 
unatafuta umaarufu kwenye mgongo wa watu eti nawe ujulikane cc, nenda meza ya kwenu kule huku utapata stress bure , heee heeee umaarufu hauji hivyo best, jitangaze wewe mwenyewe sio kudandia migongo ya watu shauriro kwa kwaaa kwaaaaa tehe tehe tehe tehe tehe tehe

Umaarufu niupatie kutoka kwako? duh! unaependa brashi. Ajabu.
 
Back
Top Bottom