Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Mmoja wapo najuwa ni Mwali na moja katika picha yake nimeikuza na kuiweka ofisini katika ukuta wa ofisini kwangu kama 'wallpaper", kila mtu akiingia anasifia kuwa hilo ni toto la ukweli.

Kumbe una interest na mwali eeh!

mcheki na my buddy MMAHE.. afu unipe jibu
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni O......a? kuna mtu unafanana nae sana pande za suomi....(Moi)
siyo mimi huyo mwingine na wala sipo hizo pande naona umesahau mbona mi na wewe tushafahamiana siku nyingi sema tukawa kimya kwa mda
 
Hahahahaha zombaaaaaaasa haya ndio madhara ya kutumika lumumba hadi umesahau namna ya kusocialize sasa unaishia kujivua nguo.

zomba Mimi nina mademu wengi tu sema unamtaka nani nikugawie mmoja!

Mwali jihadhari sana na hii midude ya lumumba haina ubinadamu hata kidogo. Usije ukang'olewa kucha na meno kwa jina la mapenzi!

Wewe kula ngunga na avatar za ma-star wa JF. Kama una mademu wa JF basi sishangai watakuwa ni misongodinyo kama wewe.
 
Mwali njoo huku, wanakuonea gere!
 
Last edited by a moderator:
Kama kina dada wa JF mnajiamini wekeni picha zenu za ukweli na si kuparamia ma avatar ya warembo wa nje.

Nampongeza Mwali, ni yeye mwenyewe orijino na ni mrembo haswa, natural, hakuna mkorogo wala kujificha.

Utakuta miji-dada mingi humu haitazamiki kwa mkorogo na nywele za maiti.
Hivi tofauti ya JF na FB ni nini?
 
Back
Top Bottom