Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
Mi najua ile ID yako nyingine unayo tumia your real avatar...usi-shy bhana angalia kidogo i want to see ur smile
Mi najua ile ID yako nyingine unayo tumia your real avatar...usi-shy bhana angalia kidogo i want to see ur smile
mmmmmh we utanirushia ndege wangu Mwali
Hivi mtu akikwambia ameprint picha yako na kuiweka kutani ofisini unamwelewa au unahitaji maelezo ya ziada?
Kama ananitafuta baasi kesha tembea half the way kwa kuanzisha tu hii thread!Ndugu yangu, watu wengine ni wa kuacha tu.
Hivi kweli mtu anaweza kushadadia picha ya mdada mwingine mpaka kuweka ofisini . . . just for nothing??
Kwanini asimweke mkewe, mama, mwanae au hata bibi yake???
Yaani hapa anayetafutwa ni mmoja tu . . i.e Mwali.
Sie wengine tunatumika kurefusha thread tu.
nitamuelewa pia nitahtaji maelezo zaidiHivi mtu akikwambia ameprint picha yako na kuiweka kutani ofisini unamwelewa au unahitaji maelezo ya ziada?
hawindwi wala usijali,hiyo ndo avatar yangu halisi,kwani huyo si wewe?teh tehkumbe kuna ndege anawindwa hapa!!!!!!
Sasa kama wewe utaelewa kwanini mimi nisielewi?nitamuelewa pia nitahtaji maelezo zaidi
Do you believe I know the real you or not?thanks kama ni kweli,.........ila sina ID lingine but nimerudisha tu avatar ya zamani
Sasa kama wewe utaelewa kwanini mimi nisielewi?
Hapo sibishi kabisa.......najua unanifahamu siku nyingiDo you believe I know the real you or not?
Mi namaanisha the real you is cuter than this avatar
hawindwi wala usijali,hiyo ndo avatar yangu halisi,kwani huyo si wewe?teh teh
je utaamini nakufahamu pia?Do you believe I know the real you or not?
Mi namaanisha the real you is cuter than this avatar
owkey,hata mi ni avatar tu siyo mimi halisi nakuzingua tuSio mimi bana.....
I just choose that Avatar cos there are some
qualities that relate with who I am...
Nihakikishe nini, ungekuwa wewe huyo si tungesha kuona mitaani. Weka yako wacha kutokujiamini.