Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Hakina haja ya kurekebishwa, kibaki hivyo hivyo ili kila mtu ajue mada yenyewe imeletwa na mtu mpuuzi. We picha yako iko wapi mpaka ukawatake kinadada?

Kama ndio gia ya kumtongoza Mwali basi umeshachemka. We sema mambo yako mbele zake na sio kukandia wanawake wengine. Usikute we mwenyewe unabusha, si mwinyi wewe, bisha!

nimeamini kuwa gwiji kwenye siasia unakosa vipaji vingine, likiwemo kutongoza hahahahaha
 
Daa zomba pole sana yani ndio hii njia unayo tumiakurusha mshale kumbe target ni Mwali?
Hahahahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha zombaaaaaaasa haya ndio madhara ya kutumika lumumba hadi umesahau namna ya kusocialize sasa unaishia kujivua nguo.

zomba Mimi nina mademu wengi tu sema unamtaka nani nikugawie mmoja!

Mwali jihadhari sana na hii midude ya lumumba haina ubinadamu hata kidogo. Usije ukang'olewa kucha na meno kwa jina la mapenzi!
 
Last edited by a moderator:
we mwenyewe hujiamini ndo maana ukaweka avatar ya mkuu wa nchi, hata tukiweka zetu original utasema sio kweli, waulize baadhi ya MMU member wakuambie jicho langu na mdomo wangu ukoje (sijisifii) nilishaweka hizo picha as my avatar
Zikiwekwa wanaanza usumbufu
 
Kwani JF ni mashindano ya profile pics??kama ID ni fake kwanini sura ziwe original?? By the way watu ni maphotogenic hata wakliweka hapa ukaja kuwaona live utashangaa kama kweli ndio wao. So jusshatapyabigmouth .......
 
nani ang'olewe kucha,meno, bila nganzi!!
 
Chocs avatar yako nikiona huwa naivutia feelings kama ndo we kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kwani JF ni mashindano ya profile pics??kama ID ni fake kwanini sura ziwe original?? By the way watu ni maphotogenic hata wakliweka hapa ukaja kuwaona live utashangaa kama kweli ndio wao. So jusshatapyabigmouth .......
Ila yako nimeipenda we ndo mwenyewe
 
najikuta naanza kumpenda mwenye avatar na avatar yake

Kama nafsi yako inakutuma kupenda kitu basi utakuwa unakipenda tu.......kiwe ndicho au sicho. inshort mimi niko natural, sina mkorogo wala manywele kama zombie
 
Kama nafsi yako inakutuma kupenda kitu basi utakuwa unakipenda tu.......kiwe ndicho au sicho. inshort mimi niko natural, sina mkorogo wala manywele kama zombie
sasa mi hiyo ndo inanidatisha maana kuwa natural ndo inalipa zaidi si unajua mtu ukimwona kumbe nywele za brazili siku unamkuta amezivua mbona utakimbia
 
sasa mi hiyo ndo inanidatisha maana kuwa natural ndo inalipa zaidi si unajua mtu ukimwona kumbe nywele za brazili siku unamkuta amezivua mbona utakimbia

Hahaha unapenda vitu natural kumbe...kumbuka sio kila kitu natural kinafaa kupendwa, vingine vikiliwa vikiwa natural vinaua
 
Back
Top Bottom