Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Kina Dada wa JF kama mnajiamini...

Kama unanitaka naomba uonane na Uncle wangu Kaizer,
It should not be complicated maana naona we match well
Najua una mke tayari na nimekubali kua mke wa pili.
Kuna msemo unaosema ndoa ni ndoa tu, hakuna ndoa ndogo!

Nahisi BP imeshuka! dah! ngoja kwanza nasikia "kisunzi".
 
Kama unanitaka naomba uonane na Uncle wangu Kaizer,
It should not be complicated maana naona we match well
Najua una mke tayari na nimekubali kua mke wa pili.
Kuna msemo unaosema ndoa ni ndoa tu, hakuna ndoa ndogo!

Well well...... Mwali kwa hapa, ngoja aje huyo zomba ntakuwa na jibu la kumpa
 
Last edited by a moderator:
Well well...... Mwali kwa hapa, ngoja aje huyo zomba ntakuwa na jibu la kumpa

"Uncle" nimekuletea zawadi:

106937209_854ea80f36.jpg
 
wewe mwana umeongea nadhani zile stress zake kwenye siasa kapigwa ban sasa naona kaamua kuja huku nako

Bahati yako swaum imenishika, ningekujibu.

Unapenda brush eenh? naona unaitangaza kwenye avatar ya kuazima.
 
Kama kina dada wa JF mnajiamini wekeni picha zenu za ukweli na si kuparamia ma avatar ya warembo wa nje.

Nampongeza Mwali, ni yeye mwenyewe orijino na ni mrembo haswa, natural, hakuna mkorogo wala kujificha.

Utakuta miji-dada mingi humu haitazamiki kwa mkorogo na nywele za maiti.
samahan kuuliza kwani wewe ni mkaguzi wa sura za watu? yako ipo wapi? kwani mwenzangu afu anaetakka ona sura ya mtu asemagi hadharani wengii washaziona sura za wengi humu na tumeridhika haya yakusibu yapi mwanakwetu kutaka picha za watu au mwenzetu.......... mason(jokes)
 
Back
Top Bottom