Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Mitaani, jf kila mahali ni wanaume kulalamika wanapigwa vizinga, wamepangwa foleni kila mtu ana kazi yake anagharamikia(nywele,kodi,chakula,nguo,mafuta n.k) shame heri mkate TIN number TRA iwe official mmmh

Hivi ni kweli huwezi fanya kazi zako ukawa na maisha yako kama.wewe hadi uwe wa hivyo kuokoteza jaman
je ukiolewa mmeo akiiahiwa una maanisha ajiandae sio jinsi utavyosaka makondoo/ mabuzi?

kuna mambo mengi yakufanya jaman ujipatie kipato, ishi maiaha unayoyaweza, iahi nyumba kodi yake unayoiweza akitokea mpenzi akusaidie poa na sio target yako bila buzi huishi jaman jaman!

.mfano kuna kazi zakufua kwa watu hazihitaj mtaji, hata uwe day housegirl kwa matajiri jion unarudi na buku 4-5
. una smartphone ya laki 5 hapo iuze laki 3 nunua kitecno chaelf 30 hizo 270,000 nunua mitetea 15 baada ya miezi miwili itaanza kutaga kama unaishi sehemu yenye eneo
. kila siku 2 una trei la mayai kienyeji ni shingapi? najua unajiuliza chakula ! jioni pita aokoni okota mabaki yale wape kuku [emoji3] [emoji3] utarudi jf mtaji ukikua

kuuza matunda je? mtaji buku 10& besenen lako
vibarua ni vingi tu upate rizik

ukiwa na mpenz awe tu just kukidhi mahitaji yakuwa na mwenza naturally.

aibu hizi hamchoki?? simaaniahi wapenzi wasisaidiane ! sio yakulazimiaha kama hana masimango!

hela ni rahisi hivyo mbona wewe huna wakati wote?
uhhuuu unataka watumiwe wasipewe hata pesa ya kununua sabuni ya kufua chupi
 
Jitegemee tu bidada. You are on your own in this world. Hawa watu wameumbwa kwaajili yetu tuwategemee wao. Na wala hakuna aibu kwenye hili...na sisi tumeumbwa kwaajili yao kuwafurahisha na kuwaliwaza. Inategemea ni mizinga gani unayoiongelea hapa. Mwanaume mwenye tatizo la kuhudumia abadili tu jinsia!
 
Kwanza sifa moja ya pesa ni kwamba PESA HUWA HAITOSHI hivo ukiwa na milioni mfukoni haimaanishi ukiona sh Mia imedondoka usiokote....
Mishahara ipo na mizinga ipo, hapa tu na mishahara kuwaomba watuongezee basi maneeeno ingekua hatuna mishahara je??? Si wangejichimbia mahandaki wahame kabisa... .
Chief kadri siku zinavyozidi kwenda nakusubiri uokoke sioni hata dalili. Siku hizi umezidi kupinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I like you though.
 
Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
Ila mizinga mingine imezidi. Unakuta muda mrefu hujawasiliana Na kamchepuko unajituma kukapigia simu au kuka SMS kwa ajili ya salamu, kinachofuata ni mzinga.
Kuna mizinga inaeleweka ila mingine sio kabisa.!
 
Sasa kama umekutana na shida face to face?
Asikuorodheshee kwanini? Afuuu hiyo sms ungeituma kwa mkeo ungekutana na mzinga? Mnajitakia wenyewe nasi tuawaahidi mizinga tu.... Hata nikiwa kitandani naumwa ukipiga kunijulia hali nakupigia mzinga tu my dear sikuachi hivi hivi
 
Jitegemee tu bidada. You are on your own in this world. Hawa watu wameumbwa kwaajili yetu tuwategemee wao. Na wala hakuna aibu kwenye hili...na sisi tumeumbwa kwaajili yao kuwafurahisha na kuwaliwaza. Inategemea ni mizinga gani unayoiongelea hapa. Mwanaume mwenye tatizo la kuhudumia abadili tu jinsia!
Swala la kujitegemea ni KUMKOSEA MUUMBA WETU KWA KWELI, hata hapa tu kufanya kazi tumeenda kinyume na maagizo yake.... Alituagiza tutazaa kwa uchungu kwa kiburi chetu kushindwa kumsikiliza hadi tunakula kwa jasho , hii kazi ya kula kwa jasho sio yetu jamani
 
Sasa kama umekutana na shida face to face?
Asikuorodheshee kwanini? Afuuu hiyo sms ungeituma kwa mkeo ungekutana na mzinga? Mnajitakia wenyewe nasi tuawaahidi mizinga tu.... Hata nikiwa kitandani naumwa ukipiga kunijulia hali nakupigia mzinga tu my dear sikuachi hivi hivi
Hahahhaaah sawa Na tutapigika kisawasawa!!
 
Swala la kujitegemea ni KUMKOSEA MUUMBA WETU KWA KWELI, hata hapa tu kufanya kazi tumeenda kinyume na maagizo yake.... Alituagiza tutazaa kwa uchungu kwa kiburi chetu kushindwa kumsikiliza hadi tunakula kwa jasho , hii kazi ya kula kwa jasho sio yetu jamani

mbavu zangu ni kiburi kweli. mi sina shida na wakwako huyo akikutunza ila kila anayekupigisha story tayar eeeehhh kuwa na 1 huyo ndo msaidiane sio huchagui hubagui pesa kama ombaomba wa Dodoma
 
Back
Top Bottom