Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

hizo shida zilinionea huruma lini hadi mimi nikuhurumie? sasa muuza kkaranga umhudumie si utaishia kupewa karanga tu uishie kujazwa genye tu, achia walet uone unavyopendwa hadi uogope.
Na wanavyosimamia kucha hao wauza ujugu mpaka unaomba poo.But love has lost its meaning now days.
 
fanya fasta bando la mwezi.
Kwa principles zangu umeisha nikosa hupenda demu anaeanzia maji mafupi sasa weye umeenda deep sea kabsaa ungeanza na bando ya siku mara wiki kwa mpango huo hujanikamata.
 
Kwa principles zangu umeisha nikosa hupenda demu anaeanzia maji mafupi sasa weye umeenda deep sea kabsaa ungeanza na bando ya siku mara wiki kwa mpango huo hujanikamata.
khaaah!! wauza karanga bwana! vigezo kama naomba visa kumbe bando tu, ilikuea natania tu usijenifungulia thread, ila ukituma napokea.
 
khaaah!! wauza karanga bwana! vigezo kama naomba visa kumbe bando tu, ilikuea natania tu usijenifungulia thread, ila ukituma napokea.
Wala sina ujuha huo wa kulialia mpaka nivimbe vidole kuanzisha thread kwa issue hizi it was funny toka jana so sijutii ku chat nawe kila mtu anajua ilikuwa namna ya kuwa stress free kwa kuchangamshana.
 
H
khaaah!! wauza karanga bwana! vigezo kama naomba visa kumbe bando tu, ilikuea natania tu usijenifungulia thread, ila ukituma napokea.
Hahaha hii ya kutania ila nikituma unapokea inanikumbusha enzi za utoto ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa.
 
IMG-20160112-WA0000.jpg

tehetehete
 
Ndo msosi wao vijana wenyewe wanaita kwa madoido huku wamebana pua "kiepe"
Tulizoea chips ni msosi wa wanafunzi, wanafunzi washaovatekiwa wakasome......

daah eti viepe wanaona raha bora wavichemahe hivyo viazi na mambogamboga ndo waleeee
 
Back
Top Bottom