Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Madame come oooon yani mtu mmoja nimuombe kodi, nimuombe hela ya msosi, ya pombe, sijui nimeona kigauni nakitaka, nna kiu na kitimoto khaaaa ntampa vidonda vya tumbo acha wagawane majukumu mwingine kodi mwingine msosi hiyo poa

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na wao ngoja wagawe majukumu tu hna namna ! akitaka mweupe/mweusi, flat, alojaaaliwa neema, mwenye jicho n.k eti eeehhj
 
Swala la kujitegemea ni KUMKOSEA MUUMBA WETU KWA KWELI, hata hapa tu kufanya kazi tumeenda kinyume na maagizo yake.... Alituagiza tutazaa kwa uchungu kwa kiburi chetu kushindwa kumsikiliza hadi tunakula kwa jasho , hii kazi ya kula kwa jasho sio yetu jamani
Mpo wengi kuliko wanaume ndo maana, otherwise njoo nikuweke ndani uwe mke wa 3
 
Unaweza toka jela na akakuuliza bby umeniletea zawad gan, yan sio watu wazur kabisa

taratibu na mbavu zangu, kesho siku ya kazi[emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji134] [emoji134] bora huyo kama ni mkeo au mchumba huyo evalin chumvi hata mtu walosoma naye sekondar akimchatisha tu nna shida bae[emoji3] [emoji3]
 
Inasemekana kwamba wanawake wote wenye ngozi nyeusi wanajiuza,tofauti ni bei tu...

Wanawake wa Kijerumani au Norway ukimtoa OUT mfano ya dinner bili ikiletwa pamoja anamwambia mhudumu tenganisha hiyo bili halafu kila mmoja analipa yake.
 
taratibu na mbavu zangu, kesho siku ya kazi[emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji134] [emoji134] bora huyo kama ni mkeo au mchumba huyo evalin chumvi hata mtu walosoma naye sekondar akimchatisha tu nna shida bae[emoji3] [emoji3]
Hayo ndo yale maswala ya kuombwa hela na dem wa mshakaji wako sijui yy anakuwa anafanya nn had akuombe ww
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na wao ngoja wagawe majukumu tu hna namna ! akitaka mweupe/mweusi, flat, alojaaaliwa neema, mwenye jicho n.k eti eeehhj
Wagawane tu mama mie sina shida wala, shida angu hela tu
 
kwa hiyo kufanya kazi mnatufanyia ihsani?sikatai sisi ndio tumepewa jukumu la kuwalisha na kuwavisha ila tatizo pale gharama za uendeshaji unapoongezewa sifuri mbele.
We nae umekomaa garama garama nshakuambia tafuta wa garama ndogo huwezi kuna geisha, hata bamia nayo mbona ina utelezi tu
 
Si lazima kuwapa au kuwahonga wanawake, maana hayo ni madhaifu yako binafsi,

Jambo la msingi ni kutazama huduma unayopata inaendana na bidhaa husika unayolipia? Maana kumbuka wanajiuza kimya kimya.

Ukiona hakusomeke unakuwa tapeli tu unachapa unasepa
 
Madame come oooon yani mtu mmoja nimuombe kodi, nimuombe hela ya msosi, ya pombe, sijui nimeona kigauni nakitaka, nna kiu na kitimoto khaaaa ntampa vidonda vya tumbo acha wagawane majukumu mwingine kodi mwingine msosi hiyo poa

hahahaha...Evelyn hilo jukumu la kukata kiu ya kitimoto naliomba.
 
Si lazima kuwapa au kuwahonga wanawake, maana hayo ni madhaifu yako binafsi,

Jambo la msingi ni kutazama huduma unayopata inaendana na bidhaa husika unayolipia? Maana kumbuka wanajiuza kimya kimya.

Ukiona hakusomeke unakuwa tapeli tu unachapa unasepa
Umetisha mkuu...!!
 
Dada zetu...muwe mnajishughulisha basi hata kidogo duh...we ni mizinga tu hata hela ya kununua mswaki kizinga..kununua pedi kizinga..kununua pichu kizinga..kununua blezia kizinga...aaaah jaman sawa mwanaume kuhudumia mwanamke si issue ila basi pale panapo bidi ndo ahudumie....mkisemwa mwaja juu oooh mwanaume gani analalamika kutimiza majukum yake...mara oooh wanao lalamika ni hao wasio na pesa..ila wenye pesa hawalalamiki...huyo mwenye pesa halalamiki coz anakutumia ipasavyo yaan anazitaabisha private parts zako ipasavyo.....
Jamani mkiombwa hela kubwa ya kulipa kodi na kununua vitz taabu, mkiombwa hela ndogo pia napo taabu, Sasa mnataka nini, kupigwa vizinga ni lazima ila unapigwa vizinga kutokana na uwezo wako. Kama we uwezo wako ni wa pedi utaombwa pedi kama we ni wa kulipa kodi utaombwa Kodi Hakuna free p kama vipi oeni mpate hizo free p msisumbue wadada wa watu. Kwanza Kuna wanaume humu huwa wanasema wanagonga wadada kwa Kuwanunulia bia tu. Wanasema wanawake siku hizi ni rahisi sana. Sasa sijui hizo Kelele za nini.
 
hao wakupewa bia kiboko! issue ni wawatunze tena mpendezeshwe ila kwa ustaarabu! lakini kuwa macho juu juu na kila akuomaye namba na kukusalimu kama ndege John hapana . siku hizi waweza kutana na mdada ndugu yako ukichukua namba harakaharaka ukifika home ukamchatisha tu kidogo " nambie pande zipi? mishe gani?
jioni nna shida bae luku imekata gafla hapa ewehhhj
 
Wa kusimamia kucha yupo wapi? Hawa hawa wala chips kwa soseji???

yaani hizi chipsi za mafuta ya transfoma na mayai ya kisasa yamewaharibu hawa viumbe hatari, sijui yanaathiri hadi uwezo wa kufikiri!!!
 
Back
Top Bottom