Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,558
hao wakupewa bia kiboko! issue ni wawatunze tena mpendezeshwe ila kwa ustaarabu! lakini kuwa macho juu juu na kila akuomaye namba na kukusalimu kama ndege John hapana . siku hizi waweza kutana na mdada ndugu yako ukichukua namba harakaharaka ukifika home ukamchatisha tu kidogo " nambie pande zipi? mishe gani?
jioni nna shida bae luku imekata gafla hapa ewehhhj
sasa we unachat tu na mtu bila kujua hiyo simu inahitaji chaji?? sasa km umeme umekata watachat vipi?