Mitaani, jf kila mahali ni wanaume kulalamika wanapigwa vizinga, wamepangwa foleni kila mtu ana kazi yake anagharamikia(nywele,kodi,chakula,nguo,mafuta n.k) shame heri mkate TIN number TRA iwe official mmmh
Hivi ni kweli huwezi fanya kazi zako ukawa na maisha yako kama.wewe hadi uwe wa hivyo kuokoteza jaman
je ukiolewa mmeo akiiahiwa una maanisha ajiandae sio jinsi utavyosaka makondoo/ mabuzi?
kuna mambo mengi yakufanya jaman ujipatie kipato, ishi maiaha unayoyaweza, iahi nyumba kodi yake unayoiweza akitokea mpenzi akusaidie poa na sio target yako bila buzi huishi jaman jaman!
.mfano kuna kazi zakufua kwa watu hazihitaj mtaji, hata uwe day housegirl kwa matajiri jion unarudi na buku 4-5
. una smartphone ya laki 5 hapo iuze laki 3 nunua kitecno chaelf 30 hizo 270,000 nunua mitetea 15 baada ya miezi miwili itaanza kutaga kama unaishi sehemu yenye eneo
. kila siku 2 una trei la mayai kienyeji ni shingapi? najua unajiuliza chakula ! jioni pita aokoni okota mabaki yale wape kuku [emoji3] [emoji3] utarudi jf mtaji ukikua
kuuza matunda je? mtaji buku 10& besenen lako
vibarua ni vingi tu upate rizik
ukiwa na mpenz awe tu just kukidhi mahitaji yakuwa na mwenza naturally.
aibu hizi hamchoki?? simaaniahi wapenzi wasisaidiane ! sio yakulazimiaha kama hana masimango!
hela ni rahisi hivyo mbona wewe huna wakati wote?