Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Sio hivyo atoto kuna wenzenu yaani kama fisi umemkabidhi bucha anakula mpaka kigogo cha kucharangia nyamahahahaaaa! ulivyoongea kwa huruma sasa, hamna bwana we tatua tu hizo shida, sasa umezikuta why uone uchungu kumsaidia?