Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

haya nayo ni maajabu mengine ya dunia, tangu lini mwanaume akalia lia katika kutimiza majukumu yake? hebu watuache tipumue huko wakatafute hela, wanadhani kuitwa 'mwanaumel ni kuning'iniza kengele zao tu.
Kama ni kengele hata jogoo anazo....
Kufwanya hawajiwezi kuhonga wanalia hawa vepe qmaneenah
 
Ukipata mwanamke kama uyu ndio anafaa kua mama watoto
 
Mzinga mzinga tu, mzinga wenye certificate mzinga wenye PhD yote ni mizinga

kwa hiyo nikujiuza kidizaini? hapa natofautisha wapendanao wakisaidiana kukiwa na shida kweli sio mtu kila daily akipata mpenzi mara bibi kafa mchango, kila week analipa kodi, wigi 1 wamelipia watu 6 ndo mana hata yananuka
 
Aibu ni kwa hao wanaume wanaolialia kisa wanahudumia, kama hawako tayari kuhudumia basi wasitongoze,walisema" Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga"
Yani tuokote mabaki majaani tukalele kuku ili tujihudumie na wao aje kibembea free? No thank you madame.
Kama wamekutuma waambie hivi "sweat for sweet men"

Mwenzenu katoa ushauri wa msingi kabisa na wakati mwafaka wa 50% ya ushiriki mwanamke na mwanaume kila eneo. Nadhani wanawake wanaojitegemea wanaona fahari kubwa na wana amani maishani mwao. Badala ya kupiga vibomu hivyo, bora uamue kuwa changudoa.
 
Yote 9 kumi ingia kwenye mitandao wanapiga mizinga mpaka kizunguzungu, yaani uki like tu picha yake au post kinafata mzinga mpaka utakoma,
 
Kuongezeka kwa idadi ya wanaume wanaolalamika kupigwa mzinga hivi karibuni kunatokana na wanaume kutotaka kuwa responsible.Jamani wanawake wamejiongeza kutafuta hela sana siku hizi kuliko zamani.Ila na Mariooo nao wameongezeka haswaaa.So changamoto ipo kote kote.Wanaume wanataka kulelewa na wanawake wanataka kuchuna,kwa hiyo zikikutana hizi sampo mbili ni lugha gongana.
 
kwa hiyo nikujiuza kidizaini? hapa natofautisha wapendanao wakisaidiana kukiwa na shida kweli sio mtu kila daily akipata mpenzi mara bibi kafa mchango, kila week analipa kodi, wigi 1 wamelipia watu 6 ndo mana hata yananuka
Matatizo tumeumbiwa binadamu, sa kama bibi kafa nisiombe rambirambi jamani.....
Ndo bwana ananitendea MUUJIZA ananiletea mtu wa kunisaidia kipindi nna matatizo ha ha ha ha ha
Kodi imeisha ananiletea mtu wa kunisaidia kulipa, nimefiwa ananletea mtu wa kunisaidia sema nene nyie mnadhani mtu anavokuja ndo matatizo yanakuja nooo mtu anakuja anakuta matatizo ninayo ndo hapo naanza kuyaorodhesha ha ha ha ha ha
Kaboom hebu nipe ile mic ya kuimbia kwaya
 
Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
Duh!umejua kutudhalilisha yaani kuna watu humu wauza karanga?tena umefanya kutusitiri ni zile karanga za kutembeza barabarani njugu mia ujugu mia!bora ungesema tuna mashamba ya karanga tunauza jumla basi sawa tumekusoma.
 
Kama ni kengele hata jogoo anazo....
Kufwanya hawajiwezi kuhonga wanalia hawa vepe qmaneenah

chipsi mayai zishawazeesha kabla ya wakati nguvu pekee walobaki nayo ni pesa,eti nayo now wanailalamikia, ebo! kama vipi tuolewe wote tujue moja.
 
Matatizo tumeumbiwa binadamu, sa kama bibi kafa nisiombe rambirambi jamani.....
Ndo bwana ananitendea MUUJIZA ananiletea mtu wa kunisaidia kipindi nna matatizo ha ha ha ha ha
Kodi imeisha ananiletea mtu wa kunisaidia kulipa, nimefiwa ananletea mtu wa kunisaidia sema nene nyie mnadhani mtu anavokuja ndo matatizo yanakuja nooo mtu anakuja anakuta matatizo ninayo ndo hapo naanza kuyaorodhesha ha ha ha ha ha
Kaboom hebu nipe ile mic ya kuimbia kwaya
Invoice ndefuuu mtatuua jamani mtu mpaka unajuta kutongoza pengine hata kuzoza hujamzozea ana force king ukiyakanyaga unazoa.
 
Uzuri mmoja hatuwashikii bunduki, silaha ulimi tu.....
 
Matatizo tumeumbiwa binadamu, sa kama bibi kafa nisiombe rambirambi jamani.....
Ndo bwana ananitendea MUUJIZA ananiletea mtu wa kunisaidia kipindi nna matatizo ha ha ha ha ha
Kodi imeisha ananiletea mtu wa kunisaidia kulipa, nimefiwa ananletea mtu wa kunisaidia sema nene nyie mnadhani mtu anavokuja ndo matatizo yanakuja nooo mtu anakuja anakuta matatizo ninayo ndo hapo naanza kuyaorodhesha ha ha ha ha ha
Kaboom hebu nipe ile mic ya kuimbia kwaya

Teh teh..Mtumishi bangi unazotumia mbona hunishirikishi?
 
Invoice ndefuuu mtatuua jamani mtu mpaka unajuta kutongoza pengine hata kuzoza hujamzozea ana force king ukiyakanyaga unazoa.
Jamani geisha mbona zipo buku mbili tu mwezi mzima unajipa mambo ya nape hakuna wa kukusumbua....
Bamia nazo zipo fungu mia tano tu unateleza kama umekanyaga ganda la ndizi
 
kwa hiyo nikujiuza kidizaini? hapa natofautisha wapendanao wakisaidiana kukiwa na shida kweli sio mtu kila daily akipata mpenzi mara bibi kafa mchango, kila week analipa kodi, wigi 1 wamelipia watu 6 ndo mana hata yananuka

kwenye hii dunia kitu cha bure ni salamu tu! kila mtu anajiuza, kuna kujiuza ili upate love(burter trade) huku unagugumia na maumivu kibao na stresd za kutosha, kupanga ni kuchagua, we kama umechagua burter trade its good for you.
usiwafanye hawa watu wawe legelege.
 
Jamani geisha mbona zipo buku mbili tu mwezi mzima unajipa mambo ya nape hakuna wa kukusumbua....
Bamia nazo zipo fungu mia tano tu unateleza kama umekanyaga ganda la ndizi
Hatutaki fake tunataka original ila gharama za uendeshaji zimepandishwa %1000000 kuliko gharama halisi hilo ndio tunapiga mayowe.
 
kwenye hii dunia kitu cha bure ni salamu tu! kila mtu anajiuza, kuna kujiuza ili upate love(burter trade) huku unagugumia na maumivu kibao na stresd za kutosha, kupanga ni kuchagua, we kama umechagua burter trade its good for you.
usiwafanye hawa watu wawe legelege.

simaanishi wawe legelege watimize majukum yao kwa wenza wao ila shida nikujiombea tu hela hovyo una shida huna ndo style yakuishi hufanyi kazi kutwa kucha macho jujuu kama unasubiria operation nikubeep watu 20 kila mtu ooohhh luku imekata, mamangu anag'oa jino, babangu ana tezi dume bla blaa fanyeni kazi, nwa wanaume waplay role zao kwa wanaowahusu tu
 
Back
Top Bottom