Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Habari nusunusu hauzitaki....ila nahisi mpasuko mkubwa unakuja!! matter of time
 
tupeni update za ukweli coz gamba la lowasa halivuliki hivihivi kama la chatu
 
Jamani hivi kwanini mnapenda kusema uongo? Kwamba Redio Mwangaza FM. ndio chanzo cha habari hii si kweli kabisa.Mimi hapa nilipo nasikiliza redio hii kuanzia saa 2.00 na hakuna kitu cha namna hiyo.Haipendezi kwa watu wazima kuwa waongo jamani. Kama kuna source nyingine,sawa,lakini sio Redio Mwangaza FM.

Ya Radio mwangaza kasema Mwita25 ambae si mleta mada kwa hyo amini ya mleta mada mkuu
 
Amini usiamini gamba lowasa na chenge wametemwa katika chama cha Mapinduzi muda huu tnitawajuza zaidi yanayojiri

Wasalaam

Mmemkwa.

Waende mahakamani kupinga kufukuzwa wana haki kikatiba
 
Is it? Rostam yupo katika chama still!. Mbele giza, nyuma kaburi, I believe it
 
Ni mapema mno siamini kama JK anaweza kumwajibisha rafiki yake kipenzi ikumbukwe hawajakuna barabarani.
 
Nimearifiwa na Mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ya CCM kuwa Kamati Kuu imemkumbusha Mwenyekiti Kikwete kuwa maamuzi juu ya kuwafukuza Wajumbe 'wachafu' ndani ya CCM kama Lowassa na Chenge ulishafikiwa na hakuna haja ya kuwajadili tena. Wakamtaka atoe mara moja uamuzi wake.

Kikwete alikwepa mtego huo kwa kuzungumzia bei ya sukari na kuhamia kwenye ajenda nyingine.Wajumbe wa Kamati Kuu na wale wa NEC wanajiandaa kumtwisha zigo zito Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara,Makongoro Nyerere.More to come....just sit and receive.

Nipo hapa nje...
 
Back
Top Bottom