Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Wote ni wamoja hawatawewza kumuondoa Lowassa, jamaa aliapa lazima aje apigiwe mizinga 21, sasa noja tuone na akiichangajawakatuletea katiba itakayo leta tume huru ya uchguzi, mahakama huru, bunge huru tunachukua nchi kwa uhakika
 
Nimekuta mmoja wa wafuasi Lowassa, ambaye toka jana amekua akilalamika kupambana, Ally Bananga, amebandika maneno haya katika kundi la Tanuri la Fikra ndani ya Facebok;

"Ally Bananga Mwatiga5:29pm Nov 21
eti wanataka kuivunja UVCCM, tumewakosea nn?"

Taarifa zinasema huenda Jumuiya hiyo na nyingine zikavunjwa kwa muda. Hiyo ni wakati sasa hali ikiendelea kufukuta mjini Dodoma ambako mabilioni ya fedha yamemwagwa kwa wajumbe wa NEC kuhakikisha kila azimio linapigiwa kura ili azimio la kuvua gamba lipingwe.

Tayari waraka wa mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu uliokua na mambo mengi mazuri ulishaingia dosari kwa kuchomeka hoja ya kuwasamehe mafisadi kwa lengo la "kunusuru chama"... Mwenyekiti akapinga kwa kusema, "chama kitanusurikaje kwa kulinda uvundo?" Sasa kazi ipo. Magamba yanazidi kuwaka moto, hadi yatapasuka.
Litakuwa kosa kubwa sana kwa CCM kwa sababu siasa za sasa hivi dunia nzima zinaendeshwa na vijana na wao ndio waasisi wa harakati zote hizi tunazoziona duniani iwe Libya, Yemen, Misri, Syria, Bahrain, na kubwa zaidi ya yote -The occupy 99% ktk nchi za magharibi. CCM na vyama vyote lazima wafahamu muda wa vizee kina sisi umekwisha - hii ni dunia ya generation mpya ambayo inarudi kwenye misingi ya UTAIFA wao..
 
Lowasa aliponzwa na uchapakazi wake, katika sakata la richmond, aliingizwa kwa sababu ya Memo aliyomunadikia msabaha akimtaka awaulize richmond juu ya uwezo wao wa kuleta umeme, alikuwa waziri mkuu na alikuwa anahakikisha kuwa umeme unapatikana. Tunakumbuka akiwa waziri mkuu baada ya clouds kutangaza mashimo ya bara bara ya Shekilango alikwenda pale na kuagiza barabara ijengwe na ilijengwa. Akiwa waziri mkuu aliagiza vibanda vyote vilivyokuwa mjini Posta na kariakoo vivunjwe na vilivunjwa mji ukawa safi. Akiwa Premear aliguswa na suala la foleni na alianza kulifanyia kazi kwa kujaribu njia tatu, Akiwa Premier Lowasa alikuwa naogopwa na wakurugenzi wa halmashauri na wizi ulipungua sana,need I say more?
NAHISI WEWE KIPALA CHAKO CHA UBURUNGE yaani zero; aliyekwambia hizo ni kazi za WAZIRI MKUU NANI?
 
Heading ya hii thread imekaa kibiashara zaidi utafikiri mwandishi ana nia ya kuuza gazeti. This is my take..HAWANA UBAVU wa kumfukuza Lowassa, ila wanaweza kumtoza Chenge. Wanachoongea huko behind close doors ni namna ya ku move forward as one, kuheshimiana na kuua makundi, kitu ambacho hakitatokea kamwe.
 
Nimekuta mmoja wa wafuasi Lowassa, ambaye toka jana amekua akilalamika kupambana, Ally Bananga, amebandika maneno haya katika kundi la Tanuri la Fikra ndani ya Facebok;

"Ally Bananga Mwatiga5:29pm Nov 21
eti wanataka kuivunja UVCCM, tumewakosea nn?"

Taarifa zinasema huenda Jumuiya hiyo na nyingine zikavunjwa kwa muda. Hiyo ni wakati sasa hali ikiendelea kufukuta mjini Dodoma ambako mabilioni ya fedha yamemwagwa kwa wajumbe wa NEC kuhakikisha kila azimio linapigiwa kura ili azimio la kuvua gamba lipingwe.

Tayari waraka wa mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu uliokua na mambo mengi mazuri ulishaingia dosari kwa kuchomeka hoja ya kuwasamehe mafisadi kwa lengo la "kunusuru chama"... Mwenyekiti akapinga kwa kusema, "chama kitanusurikaje kwa kulinda uvundo?" Sasa kazi ipo. Magamba yanazidi kuwaka moto, hadi yatapasuka.

Ninachoamini mimi ni kwamba ccm wanaweza kufanya yoooote lakini kuivunja uvccm hawatathubutu kamwe.

Wanatambua ni kiasi gani vijana wanamiminika kwenda chadema, na wanatambua kwamba wakiivunja uvccm kundi kubwa litatimkia chadema, halafu wafanye kosa kubwa la kiufundi kama hilo? haiwezekani.

Wanaweza wakavunja jumuiya nyengine lakini uvccm hawawezi kuthubutu!!
 
Hali ni tete hapa nchini enzi za mchonga meno hawa jamaa wangekuwa history kwani Seif shariff hamad alipigwa ki-boot kule dom kwakutopewa even single chance to bounce back sasa EL na C wanachezanao rumba na kuleta commotion ya bila sababu.
 
Litakuwa kosa kubwa sana kwa CCM kwa sababu siasa za sasa hivi dunia nzima zinaendeshwa na vijana na wao ndio waasisi wa harakati zote hizi tunazoziona duniani iwe Libya, Yemen, Misri, Syria, Bahrain, na kubwa zaidi ya yote -The occupy 99% ktk nchi za magharibi. CCM na vyama vyote lazima wafahamu muda wa vizee kina sisi umekwisha - hii ni dunia ya generation mpya ambayo inarudi kwenye misingi ya UTAIFA wao..
Mkuu Mkandara, sisiemu kilishakoma kuwa chama cha wananchi, kwahiyo uamzi wowote wenye kuwafurahisha matajili unaweza ukafanya bila kujali kesho utakuwa na madhara gani.
 
Watafuatailia mwelekeo wa huku JF,halafu watafanya tofauti.
 
UVCCM Haijafutwa na Hilo kundi la TANURI LA FIKRA MIMI NDIO ADMN NILICHOKIONA NI MIJADALA YA KWAIDA TU...
 
Ninachoamini mimi ni kwamba ccm wanaweza kufanya yoooote lakini kuivunja uvccm hawatathubutu kamwe.

Wanatambua ni kiasi gani vijana wanamiminika kwenda chadema, na wanatambua kwamba wakiivunja uvccm kundi kubwa litatimkia chadema, halafu wafanye kosa kubwa la kiufundi kama hilo? haiwezekani.

Wanaweza wakavunja jumuiya nyengine lakini uvccm hawawezi kuthubutu!!

Hivi mkuu unaamini kabisa kwamba UVCCM hii ya akina Bashe, Malisa, Millya inamuwakilisha kijana wa kitanzania au wamechagua kuwa matarishi wa mabwana wakubwa zao?...

Kiukweli kabisa heshima ya UVCCM machoni mwa vijana haijawahi kushuka kiasi hiki. Kama wakiamua kuvunja
UVCCM ni bora mara 100 kuliko kuendelea kufuga madonda ndugu yanayoeneza propaganda za makundi kwa kupiga siasa za bora nishibe.

Watimuane tu!
 
Did you mean "kama za wanawake malaya"? Unabahati Bigirita yuko kifungoni,lakini wengi wapo,subiri...

Umewavunjia heshima magwanda,na wakirudi hapa ku retaliate lazima kuna ban zitatembea,ngoja nikamate popcorns.

Watakachotea ni mwanamke au malaya? maana hapo katukanwa mwanamke aliye malaya.
 
Did you mean "kama za wanawake malaya"? Unabahati Bigirita yuko kifungoni,lakini wengi wapo,subiri...

Umewavunjia heshima magwanda,na wakirudi hapa ku retaliate lazima kuna ban zitatembea,ngoja nikamate popcorns.

Watakachotetea ni mwanamke au malaya? maana hapo katukanwa mwanamke aliye malaya.
 
Mkuu Mkandara, sisiemu kilishakoma kuwa chama cha wananchi, kwahiyo uamzi wowote wenye kuwafurahisha matajili unaweza ukafanya bila kujali kesho utakuwa na madhara gani.
Thubutu yao...Wanaweza kufikia muafaka wakawashawishi vijana waondoe fikra za kuwavua magamba...Na kusema kweli hakuna sheria inayoweza kumvua mtu uanachama kwa makosa ya kazi za serikali..Nguvu kubwa ya Lowassa na Chenge ni ndani ya chama na maadam watabakia ndani ya chama kuna uwezekano mkubwa wa vijana kupunguza makali kwa sababu tatizo la Kitaifa ni Lowassa na Chenge kubakia kama wabunge..

Na sii kweli Lowassa na Chenge are powerful kwa sababu ya Ubunge wao isipokuwa nguvu kubwa ya kimamlaka waliyonayo ndani ya chama. Kwa hiyo wanaweza jivua Ubunge lakini wakaendelea kuwa na nguvu kubwa ndani ya chama kama alivyokuwa mzee Kingunge na wakashinda pande zote.
 
Tusubiri, tuone. Bado ni tetesi, ikithibitika tutajua, ila hali si shwari kabisa. Ni moto hasa. Na vijana wamefika Dodoma kutaka kuendesha kikao cha UVCCM kwa nguvu na wanalipana posho nono nje ya bajeti, na wamerudishiana nauli, so wako 'kibiashara zaidi'
 
Back
Top Bottom