Naona wafuasi wa mafisadi presha inapanda, presha inashuka. Mmenusa nini huko? Maana naona mnajitahidi kutoa povu mdomoni na kujitoa akili kumtetea ENL.
Hivi kweli mnataka kusema kwa dhati ya nafsi yenu hamjui ufisadi wa ENL. Mnataka kusema hata Mwalimu Nyerere alikua anamuonea wivu au anautaka Urais baada ya kuwa kastaafu kwa hiari yake. Hebu acheni uvivu, fuatilieni humuhumu kuna thread zinamchambua madudu ya kila wizara aliyowahi kupewa na kote huko ameacha footprints za ufisadi, kuanzia kipindi yuko ofisi ya waziri mkuu-maafa, ardhi, maji na maendeleo ya mifugo, uwaziri mkuu ndo ikatokea the straw that broke the camels back.
Acheni ujuha kwenye masuala ya msingi ya taifa. Rwanda wanapaa sababu ya zeto tolerance kwa corruption halafu hapa anakuja mtu kumpigia debe fisadi mchafu!!! Kisa nawewe umeahidiwa kijipost akiula, na bila aibu unakuja na disclaimer kuuubwa baada ya kujistukia unajitia ujuha kwenye kadamnasi.
Lowasa aliponzwa na uchapakazi wake, katika sakata la richmond, aliingizwa kwa sababu ya Memo aliyomunadikia msabaha akimtaka awaulize richmond juu ya uwezo wao wa kuleta umeme, alikuwa waziri mkuu na alikuwa anahakikisha kuwa umeme unapatikana. Tunakumbuka akiwa waziri mkuu baada ya clouds kutangaza mashimo ya bara bara ya Shekilango alikwenda pale na kuagiza barabara ijengwe na ilijengwa. Akiwa waziri mkuu aliagiza vibanda vyote vilivyokuwa mjini Posta na kariakoo vivunjwe na vilivunjwa mji ukawa safi. Akiwa Premear aliguswa na suala la foleni na alianza kulifanyia kazi kwa kujaribu njia tatu, Akiwa Premier Lowasa alikuwa naogopwa na wakurugenzi wa halmashauri na wizi ulipungua sana,need I say more?
Hajui kuwa waziri mkuu ndio ana mamlaka na serikali za mitaa Tanzania nzima. Hii ndo tatizo la ku discuss siasa na wasioelewa siasa
Toa point. UFISADI wa Lowassa ni nini? lete evidence.
Mwalimu kasema, shehe Yahaya Kasema Mfaume kasema (all RIP) au Sitta kasema haitosaidia. Who are they anyway? Saints, Angels?
Tupe evidence acha blah blah. Nikisema wewe ni Mwizi kwa kua hapo unapofundishia unaiba vitabu inakufanya uwe Mwizi?. Lazima niwe na EVIDENCE.
Acheni kucheza ngoma ya watu msioijua.
Mbona sehemu aliyokaa Kikwete inaonekana mtu ametoka!!!!!!!!????Kuna taarifa kwamba, vikao vya awali vya CCM mjini Dodoma vimeanza kwa kuwahoji vijana kadhaa wa UVCCM wanaotajwa kuwa karibu na Watuhumiwa wa ufisadi walotakiwa kujivua gamba.
Haijafahamika kama vijana hao watakua kafara la baba zao ama ndio kipima joto cha maamuzi magumu yanayotarajiwa kufanywa wiki hii. Hakika mwandishi mahiri wa makala katika Raia Mwema alisema, "mbele giza nyuma kaburi" na sasa uamuzi wa kurudi nyuma ni CCM kuingia kaburini na kwenda mbele ni gizani maana magamba yana nguvu za ajabu na kila kukicha yanakua magumu.
Je, CCM itaamua kuingia gizani kuvua magamba ama kurudi nyuma na kuyaacha iwe ni kaburi la CCM?
Taarifa zaidi baadae.
![]()
Toa point. UFISADI wa Lowassa ni nini? lete evidence.
Mwalimu kasema, shehe Yahaya Kasema Mfaume kasema (all RIP) au Sitta kasema haitosaidia. Who are they anyway? Saints, Angels?
Tupe evidence acha blah blah. Nikisema wewe ni Mwizi kwa kua hapo unapofundishia unaiba vitabu inakufanya uwe Mwizi?. Lazima niwe na EVIDENCE.
Acheni kucheza ngoma ya watu msioijua.
Mbona Mwalimu aliwahi kutuambia Mkapa ni Mr Clean, does that hold now?
Mbona Nape na Chenge hawana furaha????Ha ha ha!Why Chenge doesn't clap for the chairman?Anaonekana anayo Gazabu...
![]()
Nape vipi??Magamba yanavuka hayavuki?
![]()
Awkward position?Kikao hiki ni cha watu nane?Kwa haraa niliowatambuwa ni EL,Pinda,JK,Msekwa,Makinda,Makamu wa Rais,Msekwa,mwingine sijamtambua,hata hivyo ni kikao cha watu nane hapo chini...
![]()
Picha:Kwa hisani ya Haki Ngowi.
Mzee wa kujitenga ili asionekane kakosea! ila hao walolundikana ndo walokosea!!Mbona sehemu aliyokaa Kikwete inaonekana mtu ametoka!!!!!!!!????
Ndugu yangu Halisi,
Tumeshajadiliana sana kuhusu EL. Mie kila ninapokuona una comment kuhusu EL huwa najiuliza. EL kafanya UFISADI upi?. Tupeni ushahidi. Sijawahi kupewa bali kila siku utasikia hooo Richmond mara sijui nyumba London ya mwanae, sasa Key question ni kuwa Richmond ni kampuni na mikataba EL hakusaini sasa anahusikaje mpaka kupewa jina baya?
Andrew C anahusika sana na mikataba mingi lakini hasikiki kutajwa tajwa hata alipokutwa na visenti pia hajatajwa tajwa.
Why EL all the time? Are paid to make sure that EL is seen as a menace to society?, am sure you are not!, but why?
Naomba uje na EVIDENCE kuwa EL ni Fisadi. acha ngojera za magazeti tumeyazoea.