Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

ukiona nape anageuka hivyo ujue lowasa kasafishwa.....haya majitu hayafai
Kwa sisiemu si ajabu, lakini hakuna kitu kama hicho, let's wait and see. Mambo bado ni moto, washaanza kwa wanyonge vijana, waliokua wanatumiwa, nawaonea huruma.
 
Nimekuta mmoja wa wafuasi Lowassa, ambaye toka jana amekua akilalamika kupambana, Ally Bananga, amebandika maneno haya katika kundi la Tanuri la Fikra ndani ya Facebok;

"Ally Bananga Mwatiga5:29pm Nov 21
eti wanataka kuivunja UVCCM, tumewakosea nn?"

Taarifa zinasema huenda Jumuiya hiyo na nyingine zikavunjwa kwa muda. Hiyo ni wakati sasa hali ikiendelea kufukuta mjini Dodoma ambako mabilioni ya fedha yamemwagwa kwa wajumbe wa NEC kuhakikisha kila azimio linapigiwa kura ili azimio la kuvua gamba lipingwe.

Tayari waraka wa mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu uliokua na mambo mengi mazuri ulishaingia dosari kwa kuchomeka hoja ya kuwasamehe mafisadi kwa lengo la "kunusuru chama"... Mwenyekiti akapinga kwa kusema, "chama kitanusurikaje kwa kulinda uvundo?" Sasa kazi ipo. Magamba yanazidi kuwaka moto, hadi yatapasuka.
 
Kwa hatua walipofikia hakuna msafi huko. Waanze upya tu. Kuanza upya si ujinga.
 
Mimi naomba Mungu wavunje kila kitu...!
 
Hizo ni hisia tu mkubwa,UVCCM hawawezi kuiua kwasasa kwasababu juhudi zote hizo wanazozifanya ni za kuahkikisha kuwa vijana wanafurahishwa kwani mizee imeshakula mnooooo,sasa hawawezi kufanya tena hilo kosa kwa kuiua uvccm,wanajua moto wake na ndo maana Milya peke yake kawaendesha,afterall UVCCM ikifa tu ujue chadema nchi yao 2015 mana vijana wa ccm wote watamwagikia chadema ili kuikomoa ccm na wazee wao.
Ila honestly hizo zitakuwa ni feelings tu za mtu,hakuna kitu kama hicho,LETS SPEAK REALITY PEOPLE.
 
Hiki chama kisambaratike ili utaifa na uzalendo urudi nchini. Maendeleo yataendelea kuwa finyu kama hiki chama kitaendelea kuwepo uongozini.
 
Hawawezi kuuvunja. Vijana wana ushawishi mkubwa kwa vijana wenzao. Wakithubutu Ccm kwishnei.
 
Nitashangaa kama watawafukuza Lowassa, Chenge na yeyote yule watakuwa wanajizika taratibu, sababu wote hawafai wote wezi, wote mafisadi CCM yote haifai inanuka rushwa, labda Jakaya ajiuzuru Uenyekiti, Kamati kuu yote ijiuzuru Halmashauri kuu Ngazi za mikoa zote zijiuzuru, wilaya Kata viongozi wote ibaki na viongozi wa matawi tu sababu hao hupelekwa pelekwa, then uitishwe uchaguzi mkuu wale wote waliokuwa viongozi wasigombee wala kupeleka pua zao, na ikiwezeka wairudishe CCM ya enzi zileee kama una mali usigombee, wabaki wakulima na wa fanyakazi tu ikifanyika hivyo chama kitakuwa kimetimiza falsafa ya kujivua gamba lakini kwa mtindo eti wewe umekula sana hadi Chadema wamekutaja sana na wewe vyombo vya habari vimekutaja sana haita saidia sana sana litakuwa ni kaburi
 
Hizo ni hisia tu mkubwa,UVCCM hawawezi kuiua kwasasa kwasababu juhudi zote hizo wanazozifanya ni za kuahkikisha kuwa vijana wanafurahishwa kwani mizee imeshakula mnooooo,sasa hawawezi kufanya tena hilo kosa kwa kuiua uvccm,wanajua moto wake na ndo maana Milya peke yake kawaendesha,afterall UVCCM ikifa tu ujue chadema nchi yao 2015 mana vijana wa ccm wote watamwagikia chadema ili kuikomoa ccm na wazee wao.
Ila honestly hizo zitakuwa ni feelings tu za mtu,hakuna kitu kama hicho,LETS SPEAK REALITY PEOPLE.

Nakuunga mkono mkuu.
 
Hadithi za kusadikika msiweke jamvini magamba kujichimbia kaburi ni ngumu sana wezi wale ni wajanja.
 
Back
Top Bottom