Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

UVCCM haifuti bali inavunjwa, viongozi wapya wanatafutwa upya. Viongozi wa UVCMM waliopo saiv wameshajiingiza kwenye makundi ya wanaopigania uraisi, 2015
 
Walikutana vijana Mjini Dodoma katika kikao cha harusi ya Fadhili Ngajiro, mwenyekiti wa UVCCM Iringa, ambaye yuko Dodoma, lakini Mussa Ntimizi, wa Dar akaleta hoja ya kwamba tusikubali kuvunjwa kwa UVCCM, wakaendelea na M.kiti wa CCM Shy, ambaye alikuwapo naye akasema wasikubali... Mengine baadae
 
Ukimuona mwanaume amevaa kanga ya mama yako ujue ndo baba yako huyo.

Ndio magamba ni mwewe wanakula vifaranga.

Moja ya wanaopendwa kupakatwa wanajulikana kwa majibu yao.
Loading...

Ukiona mwanaume anakipini puani na chain mguuni jua huyo ni shoga

Mwewe ndio nani?

Haya yote huwa wanafundishwa na viongozi wa magwanda wakiwa kwenye maandamano.....
 
hawawezi kuwa vua mana moto wa monduli wanaujua kuwa zile nguvu na juhudi za mndoli alizowekeza si kitoto
 
Nimekuta mmoja wa wafuasi Lowassa, ambaye toka jana amekua akilalamika kupambana, Ally Bananga, amebandika maneno haya katika kundi la Tanuri la Fikra ndani ya Facebok;

"Ally Bananga Mwatiga5:29pm Nov 21
eti wanataka kuivunja UVCCM, tumewakosea nn?"

Taarifa zinasema huenda Jumuiya hiyo na nyingine zikavunjwa kwa muda. Hiyo ni wakati sasa hali ikiendelea kufukuta mjini Dodoma ambako mabilioni ya fedha yamemwagwa kwa wajumbe wa NEC kuhakikisha kila azimio linapigiwa kura ili azimio la kuvua gamba lipingwe.

Tayari waraka wa mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu uliokua na mambo mengi mazuri ulishaingia dosari kwa kuchomeka hoja ya kuwasamehe mafisadi kwa lengo la "kunusuru chama"... Mwenyekiti akapinga kwa kusema, "chama kitanusurikaje kwa kulinda uvundo?" Sasa kazi ipo. Magamba yanazidi kuwaka moto, hadi yatapasuka.
Mkuu Halisi,

Heading yako inasema "uvccm yafutwa"

Halisi said:
UVCCM yafutwa, Lowassa, Chenge kupona?
Lakini humu ndani ni habari kutoka mtu huko facebook anayedai wanataka kuifuta.

Hakuna pahala amesema wameifuta....

Halisi said:
"Ally Bananga Mwatiga5:29pm Nov 21
eti wanataka kuivunja UVCCM, tumewakosea nn?"

Tena uelewe kuwa kuna tofauti kati ya "kufutwa" na "Kuvunjwa"

Source ya habari yako inarefer to "Kuvunjwa"

Wewe umeongeza vikorombwezo,na sasa unadai "Yafutwa" kwamba it has already happened!

Hivi wewe ni mwandishi mkuu?

Haya bana,hututendei haki in our home.
 
Group lenyewe mbona limefungwa?
 
Mkuu Halisi,

Heading yako inasema "uvccm yafutwa"

Lakini humu ndani ni habari kutoka mtu huko facebook anayedai wanataka kuifuta.

Hakuna pahala amesema wameifuta....

Tena uelewe kuwa kuna tofauti kati ya "kufutwa" na "Kuvunjwa"

Source ya habari yako inarefer to "Kuvunjwa"

Wewe umeongeza vikorombwezo,na sasa unadai "Yafutwa" kwamba it has already happened!

Hivi wewe ni mwandishi mkuu?

Haya bana,hututendei haki in our home.

Tetesi: si "News" si "Breaking News" na ina question mark (?).. Ila kwa kweli ni changamoto kabla ya taarifa rasmi, kwa kifupi inaweza ikawa tayari maamuzi yameshafanyika, ama yanafanyika ama yatafanyika na yanaweza kuwa kama yalivyoandikwa ama yakafanana na yaliyoandikwa, na itakapothibitika ndio mods watarekebisha heding kulingana na taarifa. Hiyo source ya FB ni kichocheo tu, kwa kuwa wahusika wenyewe wa UVCCM ndio wamepanic kusikia hizo taarifa. Niko tayari kusahihishwa.
 
Hizo ni hisia tu mkubwa,UVCCM hawawezi kuiua kwasasa kwasababu juhudi zote hizo wanazozifanya ni za kuahkikisha kuwa vijana wanafurahishwa kwani mizee imeshakula mnooooo,sasa hawawezi kufanya tena hilo kosa kwa kuiua uvccm,wanajua moto wake na ndo maana Milya peke yake kawaendesha,afterall UVCCM ikifa tu ujue chadema nchi yao 2015 mana vijana wa ccm wote watamwagikia chadema ili kuikomoa ccm na wazee wao.
Ila honestly hizo zitakuwa ni feelings tu za mtu,hakuna kitu kama hicho,LETS SPEAK REALITY PEOPLE.
Hakuna cha hisia, ni mambo yaliyozungumzwa na mikakati imeonekana wazi, maamuzi yanaweza yakafanyika, yamefanyika ama yatafanyika. Ila na wahusika wamejipanga na wako Dodoma kuzuia, na jana na leo wamekua na vikao vya kuzuia maamuzi hayi yasifanyike, ikiwa ni pamoja na kutaka kuonana na Mwenyekiti ama Katibu Mkuu, na walikua wakiangalia uwezekano wa kuitisha kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Dodoma kutoa matamko, na walipanga kufanya Press Conf leo kulaani hatua yoyote ya kuvunjwa kwa UVCCM ama hata kuondolewa madarakani kwa viongozi wake wa juu wakiongozwa na Benno Malisa. Bahati nzuri vijana safari hii wako safi saana, wanatanua katika viunga vya Dodoma. Baadhi wameamua kuonndoka hata kabla ya taarifa rasmi. Hofu ni kubwa mno kwa leo.
 
Hawana kitu na ni unafiki tu kwani wameshaanza kubadilisha kauli zao kukwepa ukweli kuhusu maana halisi ya kujivua gamba
 
Hawawezi kuuvunja. Vijana wana ushawishi mkubwa kwa vijana wenzao. Wakithubutu Ccm kwishnei.

Hao vijana wa nchi gani? They took all da sh*&%t for granted, waliobaki ni wazee tu ambao hawana nguvu ya kupigania haki zao. Ndiyo maana baada ya upupu wa bunge kupitisha muswada wa katiba, JK hakuita kuongea na vijana......bali aliongea na wazee wa CCM ambao wanadanganywa kwa kofia tu.
 
Hakuna cha hisia, ni mambo yaliyozungumzwa na mikakati imeonekana wazi, maamuzi yanaweza yakafanyika, yamefanyika ama yatafanyika. Ila na wahusika wamejipanga na wako Dodoma kuzuia, na jana na leo wamekua na vikao vya kuzuia maamuzi hayi yasifanyike, ikiwa ni pamoja na kutaka kuonana na Mwenyekiti ama Katibu Mkuu, na walikua wakiangalia uwezekano wa kuitisha kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Dodoma kutoa matamko, na walipanga kufanya Press Conf leo kulaani hatua yoyote ya kuvunjwa kwa UVCCM ama hata kuondolewa madarakani kwa viongozi wake wa juu wakiongozwa na Benno Malisa. Bahati nzuri vijana safari hii wako safi saana, wanatanua katika viunga vya Dodoma. Baadhi wameamua kuonndoka hata kabla ya taarifa rasmi. Hofu ni kubwa mno kwa leo.
Nakuamina mtaalam, tangu juzi umekuwa makini kutujuza uhalisi wa mambo yanavoendelea huko. Tupe habari zaidi.
 
Nitashangaa kama watawafukuza Lowassa, Chenge na yeyote yule watakuwa wanajizika taratibu, sababu wote hawafai wote wezi, wote mafisadi CCM yote haifai inanuka rushwa, labda Jakaya ajiuzuru Uenyekiti, Kamati kuu yote ijiuzuru Halmashauri kuu Ngazi za mikoa zote zijiuzuru, wilaya Kata viongozi wote ibaki na viongozi wa matawi tu sababu hao hupelekwa pelekwa, then uitishwe uchaguzi mkuu wale wote waliokuwa viongozi wasigombee wala kupeleka pua zao, na ikiwezeka wairudishe CCM ya enzi zileee kama una mali usigombee, wabaki wakulima na wa fanyakazi tu ikifanyika hivyo chama kitakuwa kimetimiza falsafa ya kujivua gamba lakini kwa mtindo eti wewe umekula sana hadi Chadema wamekutaja sana na wewe vyombo vya habari vimekutaja sana haita saidia sana sana litakuwa ni kaburi

Hiyo ndiyo CCM ya Mwalimu Nyerere ambayo ilizikwa na Azimio la Zanzibar. Tunachoshuhudia sasa ni kufurukuta kwa mnyama aliyekatwa kiini cha uhai wake.
 
Haya yote huwa wanafundishwa na viongozi wa magwanda wakiwa kwenye maandamano.....

naona umeishiwa oxygen mzee unapumulia mashine, jukwaa la siasa sio mchezo nenda MMU na Chitchat ukakimbizane na kina feis buku, smile na DA, maana hata unachokiandika hakieleweki, punguza propaganda na ushabiki usio kua na tija jenga hoja:A S 465:
:A S 465:
 
Back
Top Bottom