Ndugu yangu Halisi,
Tumeshajadiliana sana kuhusu EL. Mie kila ninapokuona una comment kuhusu EL huwa najiuliza. EL kafanya UFISADI upi?. Tupeni ushahidi. Sijawahi kupewa bali kila siku utasikia hooo Richmond mara sijui nyumba London ya mwanae, sasa Key question ni kuwa Richmond ni kampuni na mikataba EL hakusaini sasa anahusikaje mpaka kupewa jina baya?
Andrew C anahusika sana na mikataba mingi lakini hasikiki kutajwa tajwa hata alipokutwa na visenti pia hajatajwa tajwa.
Why EL all the time? Are paid to make sure that EL is seen as a menace to society?, am sure you are not!, but why?
Naomba uje na EVIDENCE kuwa EL ni Fisadi. acha ngojera za magazeti tumeyazoea.