ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
JK, rais na CCM chairman, enough is enough. Hakuna nchi inayoendeshwa huku watu walio nje ya serikali wakicontrol sehemu kubwa ya mamlaka.
Yaani Jk ameacha nchi imefika watu wanapledge allegiance kwa Lowassa na kumtetea waziwazi EL against Jk na kuendelea kupeta. Hell no, haiwezekani hata kidogo, kwa sababu je EL akiamua ambadilishe Jk itakuwa vipi??
Usalama kazi yake kubwa ni kuprotect institution ya Presidency, sasa usalama gani huu EL anaendesha nchi nje ya mfumo waziwazi??
Tutajua ukweli kuhusu mwelekeo wa nchi hiyo next week mungu akitupa uzima.
May Almighty God Bless Tanzania.
Una maana kuna USALAMA mbili? Yaani USALAMA WA TAIFA na USALAWA WA CCM? Usalama wa Taifa ni kuhakikisha hakuna matishio ya amani ndani ya Taifa na sio kuhakikisha usalama wa wananchi. Ila kwa democrasia ya Tanzania, Usalama wa Taifa ni sawa na kusema usalama wa Rais, kwani democrasia yetu haimpi mwananchi nguvu ya kutawala, bali inampa mchaguliwa nguvu zote, thus na vyombo vyote vinakuwa vya kwake na sio vya wananchi.
Hii ni kusema kwamba, kwa mtindo huu hatuna utumishi wa UMMA, kwani waajiriwa wengi huwa hawamwogopi mlipa kodi, bali wanamwogopa mkusanya kodi, na wako tayari kutekeleza kila atakachoagiza hata kama kinakiuka sheria.
This is terrible na katiba itakayoundwa bado itaendeleea kuwaenzi political leaders wakati wananchi wanakunya moyo