Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Mungu anamnusuru na mengi, wee acha tu

Magufuli is not the leader you all think he is. Anajua tu kujionyesha mbele ya media. Ila ukiangalia wizara zote alizo pitia rushwa zilikithiri na wala hakuwezi kupunguza. Generally speaking haja fanya kitu chochote kikubwa bali anajua kujionyesha kwenye yale madogo anayo yafanya.
Kama sikosei hiyo ngoma ilisimamiwa na hao hao Wajapan!

Hapa USA wizara kama mbili zinaongozwa na watu waliotokea upinzani. Hii Wizara wawape wapinzani na wizara ya mambo ya ndani

Magufuli is good only at attracting media attention and showing off his gray mustache before TV cameras but when it comes to actual performance he is a complete failure. He is just exploiting his popularity to undermine other's efforts while in reality he (himself) is behind a number of fraud scandals to be unveiled soon.

Serikali ya Japan [kupitia ubalozi wake hapa nchini] imekubaliana na Wizara ya Ujenzi kuwa Barabara ya Kilwa haistahili kupokelewa.

Kutokana na hali hiyo Magufuli ameshinikiza mkandarasi airudue upya jambo ambalo Wajapani [kupitia Balozi] wamelikubali akiwemo mkandarasi [Kajma] mwenyewe. Ikumbukwe fedha za ujenzizilitolewa na Serikali ya Japan.

Ngereja na Mkulo wanasubili nini kuiga mfano huo kuhusu umeme na misamaha ya kodi?!!
Hii ndio PAERT II ya uchunguzi.huu ni UPUUZI wa hali ya juu. Hapa watu wamekula hela na sasa hawana pa kutokea.Hivi TANROADS hadi jamaa wanajenga na kumaliza, walikuwa wapi?Ukiona kiwango kimeshuka si hapojapo unawasimamisha?
Ngereja kisha irudisha Dowans kwa jina jipya, mbona husemi hilo?
Muulize mkjj kwanini hasemi hilo? yeye si ndio alikuwa mstari wa mbele kuivuruga Dowans? vipi ya Symbion yamemshinda? nna uhakika yuko kimya kwa sasa kwa kuwa ameshajuwa hawa watu ni powerful na wanaweza kwenda kumkokoa hukohuko aliko. Usifanye maskhara.
Balozi wa Japan pamoja na Waziri Magufuli wametangaza kuwa barabara ya Kilwa iliyojengwa chini ya kiwango, kurudiwa tena kujengwa upya.
Balozi wa Japan ameomba msamaha kwa kampuni ya Kajima kutokujenga kwa kiwango barabara hiyo. Kampuni ya Kajima itarudia kujenga kwa gharama zake.
Ahsante Kikwete, ahsante Magufuli, ahsante Balozi wa Japan.
Makosa yametendeka, makosa yameonekana, makosa yamekubalika, makosa yanarekebishwa. Huo ndio uongozi mahiri na si kulalama tu kutwa kucha.
Muulize mkjj kwanini hasemi hilo? yeye si ndio alikuwa mstari wa mbele kuivuruga Dowans? vipi ya Symbion yamemshinda? nna uhakika yuko kimya kwa sasa kwa kuwa ameshajuwa hawa watu ni powerful na wanaweza kwenda kumkokoa hukohuko aliko. Usifanye maskhara.